Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Inasemekana online App yake imesajiliwa Tanzania,ana wafanyakazi Tz, physical address ipo Dsm na ilikuwaonyesha yeye ni exceptional alionana na kupiga Picha na Rais wenu ,Kifupi Serikalini haijashindwa bali inawezekana watendaji wanaogopa kupoteza vibarua vyao Kwa kisingizio Cha Mama kaleta Uhuru wa habari.......
Kwa hiyo Uhuru wa Habari ni kuangusha wengine kwa Presha!!!

Uhuru ukizidi hugeuka Kilio
 
Tatizo ni la anayefanya kitu ambacho ni natural (wengi wanafanya), au anayerusha faragha za watu / mununuzi au wale ambao wanalipia / wanasumbuka kuangalia faragha ya watu ? Kwangu mimi Mrushaji na mtafutaji wote ni walewale

Ukiangalia sana kinachoendelea sababu kina gap in market (wapenda umbeya, kufuatilia maisha ya watu na wakosa kazi) basi huyu ni kwamba anakidhi ile need.., (Rightly or Wrongly) lakini wale wawezeshi wake ndio wanaompa pumzi
Una Point ila Mimi nataka huyo Mwanamama asimamishe madhila anayosababishia wengine kwa kudhibitiwa mara moja asiendelee kuumiza wengi zaidi.
 
Kwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....

Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...

Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...

Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
 
Connection zinaondoa stress. Acheni kujichukua video na App ya Mange itakufa yenyewe tu. Ukikata mirija ya connection baaaasi. Dawa ni kutojirecord so Mange atakosa raw marterials na kiwanda chake kitakufa.

Connections kadhaa ambazo nimefanikiwa kuziona zilizotoka kwa huyu bidada utaona kabisa wengi wamerekodiwa bila idhini yao. Ya Uwoya japo nasubiri part 2 (Ile part 1 imenitoa mchezoni) ila utaona kabisa alikua kalala na hajui kinachoendelea; ya Luludiva sikumaliza I felt sorry for her alifanya jambo kwa nia njema na mtu wake ila ndo hivyo jamaa kavujisha etc etc. So sio wafungwa wote wana hatia.

Wadada kuweni makini sana mnapokuwa faragha na watu wenu maana nyie ndo wahanga wakubwa. Ukimtumia mtu wako connection, I know it happens it's the 21st century, usiweke sura au utambulisho wako kwa namna yeyote ile.
 
falaa sanaa yule kengee yani nyie kajua kusepa na kijijii... watu 100k mara 1000... ni 100,000,000 SIO MCHEZOO.. kuna kipindi alikuwa anatuma bank za bongo mwanzo kabisa wee wale jama wenyewe walidataa jinsi figure zinavyokimbiaaa 😀 😀 😀 walifreeze mpaka acc zake
Walo freeze acc ikiwa na Mil 103 na chenji. Afu app ilikua na week 3 tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yule sahiv anacheza kwenye Mil 200 kupanda juu.
 
Kwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....

Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...

Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...

Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
naweza kuamini aisee... mange hashindwi kumpa uwoya hata 10mil kwa sasa
 
Ila kwanini urekodi au urekodiwe hizo video?

Kwanini usifike chumbani kila mtu aweke simu yake sehemu moja?

Utasingizia ulevi, je kuna ulazima wa kulewa hadi kutojitambua?
Pombe inasingiziwa sana, kingine kwann unaokotwa okotwa na watu huwajui tabia zao.

Ni upumbavu wao, tuwaachie wao.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....

Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...

Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...

Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
Ila hii ya uwoya waligombana na mtu wake, ndo akatshia utaona, uwoya akajibu mapigo, ndo jamaa alituma kwa mange, hii video ilichukuliwa 2018.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom