Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hapo ndo anakwama sasa aweke za waheshimiwa mimi niko tayari kumkodi Kibatala akaimalize kesi.Mbunge wa tmk ndio![emoji16][emoji16]za waheshimiwa hazipo anaogopa mkono wa chuma,Ana akili yake pia nyingi tuuu
Yaani siasa zao ni ujingaMbunge wa tmk ndio![emoji16][emoji16]za waheshimiwa hazipo anaogopa mkono wa chuma,Ana akili yake pia nyingi tuuu
watu waache kupata kwasababu ya mjinga mmoja tu kahaba wa insta kuna watu video zao zikivuja kweli ata roho inaweza kukuuma ila siyo Irine uwoya ndio mahana mwenyew hata habari hana anaendlea na mambo yake kama kawaidaSizungumzii App nazumgumzia malipo wananchi wa tanzania wanayolipa kwenye App kutumia simu.
Serikali idhibiti malipo kutoka voda, airtel ... kwenda kwenye App. Atabaki na wateja wachache walio nje ya nchi na waliopo ndani wanaolipa kwa kadi za benki. Akishakosa hela za wapenda umbea wengi ambao wanalipa kwa simu atafunga Apo.
Serikali ilaumiwe.
Yeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?Hapo ndo anakwama sasa aweke za waheshimiwa mimi niko tayari kumkodi Kibatala akaimalize kesi.
Your right.Yeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba, ana green card huyo, ana rights zote kasoro kupiga kura na za kudeal na siasa, analindwa na sheria kama mmarekani.
[emoji16][emoji38][emoji38]haweki ng'oo anaweka za mastaa mavi tuuuHapo ndo anakwama sasa aweke za waheshimiwa mimi niko tayari kumkodi Kibatala akaimalize kesi.
Hana Cha kumfanya chochote mpuuzi tu Yule Uwoya na wengine ,inshort wamuache mange walimfuga Sana kipindi anatukana watu wazito alianza na Lowassa ,akaja na Magufuli Leo zamu yaoYeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana laana yule kwenye hela ata ndugu yake wa damu au mama yake anaweza kumuweka conectiionYeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yaani hiyo hesabu unapiga kwa mwaka au wiki? Maana kwenye Insta ana followers 6,800,000+ kama kwenye APP waki-subscribe watu 800,000 tu anakuwa anatengeneza Milion 800 kila mwezi. Akili Kunkichwa, angalia kwenye soko watu wanataka nini wape walipie hela kidogo tu kama Babu wa Liliondo alivyofanya kesho tu unakuwa Millioneayule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
kisa nimetembea na mama yako... take easy mwanangu wa kamboMbona wewe hata andika yako unaonekana kwenu mna laana?
Tatizo mwenye laana huwa hajioni kama nae ana laana !
unaish Tz ipi, enzi za JK ulikua na umri gani..? nisije kuwa najibishana na mtoto...Umeongea kwa hasira hayo ya kubakwa una ushahidi nayo
Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa 'doromesha', mtu anawekewa dosage ndogo tu kwenye kinywaji au hata kwenye chakula then baada ya hapo kila anachoambiwa anatekeleza tu na dosage ikiongezwa kidogo ndiyo analala anakuwa hajielewi kabisa mjuba anamfanya atakavyo.Ila kwanini urekodi au urekodiwe hizo video?
Kwanini usifike chumbani kila mtu aweke simu yake sehemu moja?
Utasingizia ulevi, je kuna ulazima wa kulewa hadi kutojitambua?
Serikali haina hizo resources kuzuia malipo kwenye app ya umbeya, is almost impossible kwa yeyote au serikali kuzuia malipo kwenye google play na kuna crypto siku hizi sasa sijui nazo utazuia vipi, Mange ni mmbeya tuu na wala sio tishio kwa serikali au security ya nchiSizungumzii App nazumgumzia malipo wananchi wa tanzania wanayolipa kwenye App kutumia simu.
Serikali idhibiti malipo kutoka voda, airtel ... kwenda kwenye App. Atabaki na wateja wachache walio nje ya nchi na waliopo ndani wanaolipa kwa kadi za benki. Akishakosa hela za wapenda umbea wengi ambao wanalipa kwa simu atafunga Apo.
Serikali ilaumiwe.
Msako uanzie hapakauza alawi junior na ndiye aliyemrekodi akiwa amemzimisha, kaanza ku m blackmail tangu 2019 na hiyo clip kalipwa pesa sana hadi muhusika kachoka
Kweli kabisaYule akivurugwaa ataanza kutoa madongo ya udhaifu wa serikali Sasa viongoz hawatak Hilo kwa kuwa Kuna Cha kumfanya awe bize ngoja awe anaingiza pesa huko na aache kusumbuana na serikali
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Serikali haina hizo resources kuzuia malipo kwenye app ya umbeya, is almost impossible kwa yeyote au serikali kuzuia malipo kwenye google play na kuna crypto siku hizi sasa sijui nazo utazuia vipi, Mange ni mmbeya tuu na wala sio tishio kwa serikali au security ya nchi
Niko kwenye mitandao yote lakini nafatilia yale ninayoyapenda tu....Labda uwe haupo kwenye Mitandao ya Kijamii yaani unaishi chini ya Jiwe ndio unaweza kuuliza hilo swali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jitekenyee tuuNiko kwenye mitandao yote lakini natilia yale ninayoyapenda tu....
Niko kwenye Xvideo,Telegram,Facebook,Tinder, WhatsApp,..nk,lakink Mengi Kimambe simjui,..
Umbea sio mambo yangu,sifatilii kitu kisichonipa faida katika maisha