Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Sina Cha kusema umenena kila kitu wawanake tujipende,tujithamini na tujue utu wetu la sivyo koneksheni hazitakaa Ziache kuvuja milele
Irene kwanza hajali anakula Bata mpk kuku wanaona wivu yaani anaoana
Mtu kwa tzshaderoom au Milly Yule Ana mavideo yake ya uchi yashawahi postiwa Tena na alikua anamdeti mume wa mtu Askari akaanikwa hvyo lazima awe mchungu kwa mange by any means,ukiangalia wengine wabibi eti wanajichukua mavideo[emoji853]ya hovyoo

Tubadilike tu kwa namna Bora kabisa ili huyo mange akose content za uchi.
 
Si passport yake ishaachiliwa anaweza kurudi bongo
 
😂😂 naendelea kusoma comments
 
Hii ni kweli ....eti maadili

Kinachowauma ni hizo hela anazoingiza, hakuna kingine
Ama kweli Bipolars mpo wengi humu,
Yaani Mange aonewe wivu wa kuingiza pesa kwa ajili ya kudhalilisha wengine yaani hapo ni sawa useme Muuza madawa ya kulevya aonewe wivu au jambazi aonewe wivu kisa tu anaingiza pesa wakati anaua na kuumiza wengine,

Kama kwako Maadili unaona ni kitu kidogo again mjiunge mtengeneze kikundi chenu mkapange foleni Muhimbili ya kuonana na Wataalam wa Magonjwa ya Akili.
 
Huwa najiuliza wanaofuata hizo habari za udaku au kuona utupu wa wengine Wana akili Gani sipatagi jibu. Wamfungie milele tu huyu mama akili yake haifai
Ni Machizi Fresh unakuta mwengine kajifungia ndani kabisa anajichua kwa kuangalia nyuchi za wengine,
Sasa kufungiwa sites za Porn kufungiwa na Mange wana haha unajua Uraibu unavyotesa.
 
Haya kamwambie Mange akupe pipi upooze machungu yako
 
Wewe mbona unalazimisha kile ulichoandika kila mtu akubaliane nacho? Hujui kwamba humu tunatofautiana mitazamo? Umekazania bipolar bipolar[emoji848][emoji848]

Wewe mawazo yako yamesikilizwa na kila mtu ana uhuru wa kuongea au kuandika chochote! Sawa?
 
Yaaan hili ndo lilivyo[emoji57][emoji57]

Linapenda sana kulazimisha mawazo yake kila mtu akubaliane nayo, ukimpinga kidogo tu linaporomosha matusi sijui bipolar, full ujuaji mwingi[emoji1784][emoji1784]

Tukisema na sisi tumjibu kwa mitusi tutafika kweli?
 
Duuuuuh!!!

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa Witty J, lakini Mawazo yangu ni Chanya ndio maana hata Insta wamechukua action lakini pia serikali yetu imefanya jambo pia,

Hakuna Mtu anayekatazwa kutoa mtazamo wake lakini je huo mtazamo ni hasi au chanya kwa jamii hapo ndipo kwenye kipimo cha akili sasa kinapohusika,

Maradhi ya akili sio matusi yakhee ni sawa ukasirike Mtu kukwambia ukapime Malaria sababu amekuona una joto kali,

#Tusichangie kwa Matusi wenye Forum yao watatupiga Ban na sie bado tunataka kufaidika na Forum hii.
 
Milly anazingua sana[emoji23][emoji23] its very personal. Anakosea. Anaamini she won.
Tuache kujidhalilisha tu aisee
 
Nipm ya lulu diva
 
Wanaomtetea mange humu JF wapuuzi akili kama za kuku. Mange anatengeneza ile hali ya kutaka kuogopwa. Anachokifanya uwoya kipindi hiki ndicho wanachotakiwa kukifanya victim wote wa bullying za mange. Uzuri ni kwamba lulu shujaa hadi muda huu mange kamshindwa alitegemea ataogopwa lakini kila akitoa pumba anakula za uso. Hizi sio zile zama za kushobokewa mara huyu akose raha hadi kutishia kujiua kisa kibetina kinachoishi nyumba za kupanga na child support
 
Shoga unapambana naona umekosa kuona nyuchi mpya basi hapo unahisi kama kuna kitu kimekosekana kwenye Maisha yako, kama nakuona ulivyoboreka kurudia videos za zamani, lol [emoji2960]

#Utani tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zipo koneksheni za watu wengine wasio mastaa mbona anaweka Tena wale wanajichukua wenyewe selfie kabisaa,hazipo za mastaa tu ntaborekaje Sasa!
 
Hatufiki kokote zaidi tutapoteza energy na muda [emoji38] [emoji16]
 
Milly anazingua sana[emoji23][emoji23] its very personal. Anakosea. Anaamini she won.
Tuache kujidhalilisha tu aisee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]yaani Milly namuona kabisaa kununua ugomvi wakati hao mastaa Wala hawampendi yaani washamsweka mpk lupango sijui ndo anajipendekeza Tena

Milly Yuko too personal namuona kabisaa yaani kanunua ugomvi, ningemuona mtu km angesimama na menina kipindi kadhalilishwa. Ila nae mnaafiki Kama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…