Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange anachofanya ni kurudisha watu kwenye mstari.

FARAGHA ziheshimiwe. Watu mko faragha, mtu anakuja na makamera....yanini!?
Watu wakijitambua, Mange atayeyuka taratibu kama barafu na kutokomea kusikojulikana.
Nimecheka hiyo Watu mko Faragha Mtu anakuja na Makamera, [emoji23]

Lakini ukumbuke sio Wote walirekodiwa wakiwa wanajua, kuna wengine walikua usingizini, kuna wengine ilikua ni Video chat kumbe mshenzi anarekodi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan DA mange, yule babu aliporwa au waliachana kwa amani, then ndo akaenda kwa rafik ake??
Waliachana kwa Amani??
Uliwahi kusikia kuachana kuna Amani kweli?
Nani anapenda Maisha ya kudanga danga kwa vibabu badala ya kutulia kwenye Ndoa mlee Watoto,

Alichokwaaaaaaa
 
Wakati anamdhalilisha JPM vijana wa ovyo walichekelea na kumpachika udada wa taifa wakati ni bully wa taifa. Hata akija leo hakuna anayeweza kumfunga sababu wanaomtuma na kumlinda ndo hao hao waliopo ngazi za juu.

JPM aliifungia passport yake wengi wakamuona anamuonea.
 
Hako kapuuzi mi nilikatumia ujumbe nikakashauri kakaniblock.

Nilikashauri kasiwekeze pesa kwenye biashara ya kipuuzi inayotegemea kuzalilisha watu ndo biashara iende.

Ila alipaswa awatumie wajinga ambao tayari amewakusanya kama sehemu ya mtaji afanye biashara nyingine.
 
Wamefungia xvideo ila mwngine hawawezi
 
Nakumbukaaa, alikua anaitwa Da Mange,
Nadhani wengi walikua hawamjui kwa sie tunayemjua tangu ni blogger tulijua tu kuna siku watalia wengi,

Kwanza ni Mwanamke Mwenye Wivu na Chuki kwa Wanawake wenzie ni kama anatamani Maisha ya wenzie ambayo yeye kayakosa, hata hizo Pesa za App hawezi kuzitumia kwa kujiachia anajua fika anawindwa.
 
Ukiwa against nae anakublock,
Zamani sana aliwahi kumtukana Hoyce Temu yaani alimdhalilisha na kupost mapicha ya zamani, nikamwambia si vema Wanawake kusapotiana na kuinuana, akaniblock [emoji2]
Leo Hoyce yuleeeeeee Balozi hapo ndio anazidi kuumia sasa.
 
๐‡๐ข๐ฏ๐ข ๐ข๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฃ๐ž ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐ณ๐ข๐ฆ๐š ๐ง๐š ๐š๐ค๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐ž, ๐ฒ๐š๐š๐ง๐ข ๐ฌ๐ข๐จ ๐œ๐ก๐ข๐ณ๐ข ๐š๐ฃ๐ข๐ซ๐ž๐œ๐จ๐ซ๐ ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฉ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ค๐ž, ๐ฒ๐š๐š๐ง๐ข ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ฌ๐ž๐ฑ ๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐ž ๐ญ๐ข๐ฆ๐ž ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ž๐œ๐จ๐๐ข,
๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐ฌ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข๐ฐ๐š ๐ฏ๐ข๐๐ž๐จ ๐ณ๐š๐จ ๐ฆ๐ž ๐ง๐š๐จ๐ง๐š ๐ง๐ข ๐ฌ๐š๐ฐ๐š ๐ญ๐ฎ, ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ก๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐ข ๐ค๐ฎ๐ก๐ž๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฉ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐œ๐ก๐ฎ๐ฆ๐›๐š๐ง๐ข ๐ก๐š๐๐ก๐š๐ซ๐š๐ง๐ข ๐ง๐๐จ ๐š๐ญ๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐š,
๐จ๐ค ๐ฆ๐š๐ฒ ๐›๐ž ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฒ๐ž ๐ง๐š๐ฒ๐ž ๐ง๐๐ข๐ฒ๐ž ๐ค๐š๐ซ๐ž๐œ๐จ๐ซ๐ ๐ฐ๐ก๐ฒ ๐ค๐š๐›๐ฅ๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐š ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐š๐ ๐ฎ๐ž ๐ฆ๐š๐ณ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ซ๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฌ๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐š ๐ง๐š ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ณ๐ข๐ฐ๐ž๐ค๐ฐ๐ž ๐ฉ๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š
 
Ila wakati akiwa blogger alikua bully balaa kuna dada mmoja mpaka zikasambaa taarifa kajiua kumbe alizimia tu maana mange alitukana hadi watoto wake tudogo jamani anatutabiria tutajiuza mara tutabakwa pote pote yaani hakua anachagua matusi. Na hapo alikua na maisha ya uafadhali looh kama kweli mwele alikua anampenda mange angempeleka kwa wataalam wa akili asahau tukio la kupokea mkanda wa ngono wa mzee wake halafu mwenyewe kwa ukiherehere ndie aliyeudumbukiza kwenye deki
 
Kwa upande mwingine yupo sahihi maana anatoa fundisho la kuacha kujirekodi/kupiga picha za utupu, ameona fursa ametumia fursa maana mazimbukuku ya teknolojia yako mengi kila siku yanapiga picha na kujirekodi video za utupu, wapenzi mnapopendana akili itangulie alafu hisia ndo zifate, ubaya wengi mnatanguliza hisia matokeo yake ndo mnapigishana mapicha na kuchukuana mavideo ya utupu yakishavuja akili ndo inakuja.
 
Kuna tofauti ya kujirekodi na ya kurekodiwa bila mwenyewe kujitambua na kusambazwa. Hapo utamlaumu nani
 
Watanzania ni rahisi sana kuwaibia hasa ukisema pesa wanayoiona ndogo , Mange anachofanya sio sahihi ila ametumia jicho la "kiujasiriamali" kuona fursa kwenye soko wanasema "know your customers" ukishawajua watu wanapenda nini set price tag watanzania wanapenda umbea na mtu anaona akitoka 1k sio issue sana ila 1k inamzalizia huyu dada mamilion sababu 1k atakusanya nyingi na mtu akiona umbea anaufikisha kwa mwenzie mapema ndio wanavozidi kuvutika kupiga pesa kiurahisi.
 
Wahovyo wamempa passport ale maisha vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ