cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeeh, mie full kucheka.Unatambaa tu [emoji1] uzi huu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeeh, mie full kucheka.Unatambaa tu [emoji1] uzi huu
Ova
Ndyo.
Tuliongea humu tukaonekana vichaa KAZI inaendeleaAcc yake ya insta imefungwa. Lol
Kama mtu wake kwanini asimfungulie mashtakaIla hii ya uwoya waligombana na mtu wake, ndo akatshia utaona, uwoya akajibu mapigo, ndo jamaa alituma kwa mange, hii video ilichukuliwa 2018.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usishangae account ya Insta ikarudi tena hewani, kwa rekodi si mara ya kwanza huyu mwehu wa Taifa kufungiwaJana Instagram wamepiga Chini Account yake na Leo serikali imepiga block malipo kwenda kwenye application yake.
Wale watetezi wake Njooni mumteteeView attachment 2315830
Nafuu, hana akiliii kabisa yule dada.Jana Instagram wamepiga Chini Account yake na Leo serikali imepiga block malipo kwenda kwenye application yake.
Wale watetezi wake Njooni mumteteeView attachment 2315830
Bibie vip una connection ya Irene uwoya?APP imefungwa, hadi utumie VPN ndo unafaidi uhondo wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], uwiiiiih
Kwa hali hii, sidhani kama tutarudi uchumi wa kati [emoji24][emoji24][emoji41]Jana Instagram wamepiga Chini Account yake na Leo serikali imepiga block malipo kwenda kwenye application yake.
Wale watetezi wake Njooni mumteteeView attachment 2315830
Mkuu kama una hizo connection nitumieConnections kadhaa ambazo nimefanikiwa kuziona zilizotoka kwa huyu bidada utaona kabisa wengi wamerekodiwa bila idhini yao. Ya Uwoya japo nasubiri part 2 (Ile part 1 imenitoa mchezoni) ila utaona kabisa alikua kalala na hajui kinachoendelea; ya Luludiva sikumaliza I felt sorry for her alifanya jambo kwa nia njema na mtu wake ila ndo hivyo jamaa kavujisha etc etc. So sio wafungwa wote wana hatia.
Wadada kuweni makini sana mnapokuwa faragha na watu wenu maana nyie ndo wahanga wakubwa. Ukimtumia mtu wako connection, I know it happens it's the 21st century, usiweke sura au utambulisho wako kwa namna yeyote ile.
Mil 200 dola au sh? Keshaingiza sana sana, kwa kibongo bongo tunaweza kumuweka kwenye kundi la mabilionia sasa. BTW mimi nadhani Mange anaonyesha uozo uliojificha kwenye jamii yetu na si zaidi. Jamii yetu imeoza, si wachungaji, si kina mama watu wazima, si viongozi ni ngono zembe na umalaya kwa kwenda mbele.Yule manzi serikali haina kosa tena maana ishafungia APP yake mpaka uwe na VPN.... ila ndo hivyo wadau wa kupenda udaku na zile ponoo wanalipaa mahelaaa tuuu...!! yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
Hivi mkuu Unaweza kunirushia hiyo connection ya Irene uwoyaHao hawawazi, ukipost mule ni kama umepromote biashara. Shida ni kwa dada zetu maana ndio wahanga, anatongozwa leo, anatangaza shida na jamaa anasupply kumbe kashapiga hesabu za mtonyo wa mange.. Nani atapona mzee
Hata hii connection ya Irene, inaonesha kabisa alikuwa amezima, hajitambui na jamaa alimvua nguo makusudi ili amrekodi. Inshort aliyerekodi alidhamiria
Nawashangaa sana wanawake wanaosupport wasijue kumbe hata wao wanaweza kuwa next victims
Kweli akili ni nywele. Sasa kama unaona ni starehe basi kubali starehe yako ionyeshwe hadharani. Wewe ni mke wa mtu tena mama mtu mzima na unatembea na vijana jika la watoto wako wanafikia hatua ya kukurikodi halafu unalilia? Ukipenda boga...Yaani mtu aache kufanya anachofanya kwa starehe yake sababu wewe ni Peeping Tom ?
Ni kama wale wachungulia vyumbani kwa watu ili kuona watu wanafanya starehe zao (sasa hapa mwenye makosa ni nani mfanyaji kitu natural au mchunguliaji)? Unaweza ukasema kwanini asifunge pazia ila labda akifunga kuna joto....
In short huenda hao wachukua video that's their kinky stuff kwa faida yao ila wasambazaji nadhani ndio wakosa hekima (Mange akiwemo)
Unajingusha mwenyewe wewe uliyeamua kufanya ukahaba. Kwa nini hamkubali kuwa chanzo ni jamii yetu imeoza kwa ngono na ukahaba?Kwa hiyo Uhuru wa Habari ni kuangusha wengine kwa Presha!!!
Uhuru ukizidi hugeuka Kilio
Achana hao watu walioingia kwenye mtandao juzi juzi. Hiyo ''ze utamu'' wala haikuwa lolote zaidi ya mtu aliyekuwa na blog lake anaandika matusi tu. Tatizo ilikuwa enzi hizo watu walikuwa hawajajua mtandao na uwazi. Kwa Kikwete wali-edit picha na kumfanya Kikwete aonekane kama mwanamke, hakukuwa na zaidi.Ze Utamu alimzingua nini mzee wa Msoga mkuu?
Siku akiweka connection ya no1 ndo utajua kwamba Serikali ipo ila haijaamua tu. Yuko wapi yule jamaa wa Ze Utam aliyeingia kwenye anga za JK?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mange anaonyesha umalaya uliokubuhu kwenye jamii zetu. Kuna wengi walikuwa hawajui mwanamke kama Irene ni kahaba tu anayejua kutumia mwili wake vizuri. Acha Mange aonyeshe jamii ilivyooza.Hao hawawazi, ukipost mule ni kama umepromote biashara. Shida ni kwa dada zetu maana ndio wahanga, anatongozwa leo, anatangaza shida na jamaa anasupply kumbe kashapiga hesabu za mtonyo wa mange.. Nani atapona mzee
Hata hii connection ya Irene, inaonesha kabisa alikuwa amezima, hajitambui na jamaa alimvua nguo makusudi ili amrekodi. Inshort aliyerekodi alidhamiria
Nawashangaa sana wanawake wanaosupport wasijue kumbe hata wao wanaweza kuwa next victims