Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Wewe vipi wewe? Malipo yamezuiwa maana yake watu wetu watasitiriwa mambo yao ya binafsi, watoto hawataathirika. Na yeye kimavi hatapata hela zetu. Hi hilo tu. Basi.
Siyo kirahisi hivyo. Anaweza kuanzisha webpage na akafanya iwe free. Sana sana atakuwa amekosa fedha (be informed: ameshakusanya fedha nyingi sana). Mimi simtetei ila naangalia mambo in a bigger picture: jamii yetu imeoza, na hakuna maadili yoyote kama tunavyokuwa wanafiki siku zote kwa kusema ''maadili ya kitanzania''. Kuanzia kwa viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa, wadangaji-wasanii, wa-mama na wa-baba watu wazima, jamii imeoza na anachofnya Mange ni ku-expose kilichopo. Mtu anayejiita askofu na mwenye wafuasi wa dini kama Gwajima ukiambiwa anaweza kujirekodi video ya porn ungeamini bila kuona? Acha afungue jamii macho.
 
Wabongo mnapenda sana kuropoka ok malipo yamezuiliwa rasmi unasemaje kuhusu hili?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
There is always be an alternative, kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia hawezi kukosa njia, alafu kumbuka pia kuwa sasa hivi ameshakusanya mtaji mkubwa kiasi kwamba anaweza kuhire mtaaalam yeyote kumsaidia kufigure out namna ambavyo tutakuwa tunaruka viunzi vilivyowekwa, teknolojia yetu bado iko chini sana, na watalaam wetu bado hawana ubunifu wa kutosha sidhani kama wanaweza kushindana na watalaam wake wa kihindi.
 
Labda wampige ban ya milele huko kwenye kujiunga mitando

Ova
 
Siyo kirahisi hivyo. Anaweza kuanzisha webpage na akafanya iwe free. Sana sana atakuwa amekosa fedha (be informed: ameshakusanya fedha nyingi sana). Mimi simtetei ila naangalia mambo in a bigger picture: jamii yetu imeoza, na hakuna maadili yoyote kama tunavyokuwa wanafiki siku zote kwa kusema ''maadili ya kitanzania''. Kuanzia kwa viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa, wadangaji-wasanii, wa-mama na wa-baba watu wazima, jamii imeoza na anachofnya Mange ni ku-expose kilichopo. Mtu anayejiita askofu na mwenye wafuasi wa dini kama Gwajima ukiambiwa anaweza kujirekodi video ya porn ungeamini bila kuona? Acha afungue jamii macho.
Anategemea wateja sababu zile clip ananunua. Dawa ya mtu anayeharibu maadili ni kumdhibiti na wakati huo huo kuthibiti maadili ya jamii. Huwezi kuacha mambo yaende hovyo tu eti sababu kuna shida kwenye jamii na itajirekebisha yenyewe! Hatujafika huko sie sio marekani alipo yeye! Na maoni yangu kwenye huu uzi yanalenga watoto sio watu wenye akili zao na uwezo wa kuanua watakacho:
 
APP enyewe inagoma ku log in, hata ukitumia VPN.
Wapenda umbea na ubuyu, tuna msiba wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado kirungu kingine kinakuja soon mtafurahi
 
Back
Top Bottom