Siyo kirahisi hivyo. Anaweza kuanzisha webpage na akafanya iwe free. Sana sana atakuwa amekosa fedha (be informed: ameshakusanya fedha nyingi sana). Mimi simtetei ila naangalia mambo in a bigger picture: jamii yetu imeoza, na hakuna maadili yoyote kama tunavyokuwa wanafiki siku zote kwa kusema ''maadili ya kitanzania''. Kuanzia kwa viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa, wadangaji-wasanii, wa-mama na wa-baba watu wazima, jamii imeoza na anachofnya Mange ni ku-expose kilichopo. Mtu anayejiita askofu na mwenye wafuasi wa dini kama Gwajima ukiambiwa anaweza kujirekodi video ya porn ungeamini bila kuona? Acha afungue jamii macho.