Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Kupanga Sea cliff miezi miwili kwa LEMA anaweza kwa pesa yake ya mfuko wa shati ,hakuna maajabu....Hivi kweli Lema anashindwa kuwa na 6m ya kukaa pale miezi 2? Watu kama kina Lema ambao wanawindwa hawatakiwi wakae uchochoroni ,inatakiwa wakae sehemu yenye ulinzi wa uhakika nasi rahisi kufikika.
Hiyo m6 hela ya siku 10 tu×60=60m
 
Siku zote alikuwa wapi kutoa hizo shutuma?

Ugonjwa mwingine unaowakabili watanzania ni huu wa Dada Mange Kasema.
Huu kweli ugonjwa.
Yaani kuna mijitu akisema Mange baaas humtoi hapo.
Utalikuta limeng'ang'na tu oooh Da Mange Kasema
 
Back
Top Bottom