denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,590
- 4,952
Siku hizi mara nyingi tu anatoa taarifa potofu, anadanganya JK mgonjwa baada ya muda mfupi tunamuona JK yupo na ugeni gani sijui huko kwake!.Pamoja na kutoshabikia taarifa za aina hiyo anazotoa huyo Binti; lakini pia kuna msemo stakiki kabisa kwamba kila jambo lina wakati wake.
Haijalishi limetolewa lini; bali kama lina uhusiano na hali iliyopo wakati huu ndiyo ikawa wakati sahihi wa taarifa kama hiyo.
Kale kamekuwa kaongo kaongo tu siku hizi. Kana mapepe sana na yule mwenzie wa FB.