Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Lema juzi aliyachota machoko Kwa kuyadanganya kuwa eti Heche alipata passport baada ya kuwasiliana na Boss wa usalama, lakini Leo akijibu swali la katuga, Heche amesema passport yake alipewa baada ya Mwanasheria Nshala kuwaandikia uhamiaji barua na Afisa uhamiaji aliyempatia hiyo passport anaitwa maharani. Sasa lema tuambie story yako kuwa Heche alipewa passport yake baada ya kuwasiliana na Boss wa usalama ulizitoa wapi? Otherwise tutakufurusha muda sio mrefu ukaungane na machoko ya ccm shenzi wewe.
Hili wamejikausha kama hawajalisikia wapika majungu wa Lumumba na ndugu zao waliokimbilia Chauma. Viwanda vya uongo(kwa sauti ya JK)
 
Kajichomekea sasa info zimeleak.

Lema pia alikwenda usiku Ukonga na Abdul kumshawishi Lissu. Lissu akauchuna. Ndiyo sababu ya Lissu kumwambia Lema mahakamani aache hizo na kusema wanaomtembelea Ukonga wasiende usiku. Hiyo statement ilikuwa inawalenga Lema na Mbowe.

Haswaaa.
 
Alikuwa wapi siku zote kusema haya?!
Pamoja na kutoshabikia taarifa za aina hiyo anazotoa huyo Binti; lakini pia kuna msemo stakiki kabisa kwamba kila jambo lina wakati wake.
Haijalishi limetolewa lini; bali kama lina uhusiano na hali iliyopo wakati huu ndiyo ikawa wakati sahihi wa taarifa kama hiyo.
 
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu).

Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.

Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.

Moderator naomba msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
KUNA MIGONGANO YA KIMASLAHI KATI YA LEMA NA HECHE WOTE WAPO NDANI KABISA YA CHAMA,WANA SOURCES ZOTE ZA KILA KINACHOENDELEA NDANI YA CHAMA,KILA NENO LA MMOJA WAO KWA MWINGINE NI KWELI TUPU,
MANGE / HAWEZI KUWA NA INFOS SAHIHI ZA KIPI KIPO NDANI YA CHAMA.KWA WAKATI HUU.
 
HILO LINAJULIKANA KWA MAANDISHI YA JUZI TUHUMA ZAKE YEYE HALAFU ANAMUHISHA HECHE HAPA NILIGUNDUA LEMA AMECHUKUA PESA KWA SAMIA
Ni kama Lema anajua wanaomtuhumu wanatumwa na Heche au ni wapambe wa Heche.

Kwa hiyo ana-react kwa ku-expose ya Boss wao.

Ni sawa tu na Lisu kugombea uenyekiti baada ya kugundua kaletewa Wenje kumtoa kwenye umakamu.
 
Back
Top Bottom