MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,454
- 3,978
Naona CDM wote ni wakulima wanahela sasa mbona Mzee wangu Heche mmemkalia kooni kisa kununua jezi ya Arsenal? Jokes tu mkuu😀😀Kwani hana hela ya kuishi sea cliffs, lema ni mkulima mzuri tu
Naona CDM wote ni wakulima wanahela sasa mbona Mzee wangu Heche mmemkalia kooni kisa kununua jezi ya Arsenal? Jokes tu mkuu😀😀Kwani hana hela ya kuishi sea cliffs, lema ni mkulima mzuri tu
Kiongozi wao ni mfirw*aji.Ccm inamilikiwa na wafiraji
Walishawahi kukufira?Ccm inamilikiwa na wafiraji
Na wewe ushaanza kuwa na akili za kizezeta kama za dada Ako Tlaatlaah kwa hiyo unashindwa kutofautisha kati ya Mwanaharakati na mwanasiasa??Chadema si walikuwa wanamkenulia meno huyo Mange Kimavi? Sasa amewapanda kichwani na kuanza kuwanyea! Aliyezoea vya kunyonga hawezi vya kuchinja!
Mamasamia2025anafirwaWalishawahi kukufira?
Shemeji y yangu tayari kafika bei.Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Moderator naomba msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Bado kidogo utamtaja na Lissu ni TISS. Nashukuru mimi tokea sakata la Dr Slaa wakati mnampokea Lowasa sikuwahi tena kushiriki party politics ni uzalendo kwa nchi tu. Mimi zile drama ndio zilinifungua macho na sijawahi tena kubeba Chama kichwani zaidi ya uhalisiaKwani uongo pale Chadema mpinzani ni Lissu tu
Ata Heche ni project ya TISS
Mnyika mtumishi mtiifu wa TISS
Yule dada pia mtumishi
Lema amekuwa shushushu wa muda mrefu toka wakina David kafulila, Zitto, slinde, mkumbo, sema wabongo ni wajinga
Subirini ya Maria salungi na Hilda network
Wakuu hii nchi nawaambia mwanaume ni Lissu tu tuliobaki sisi wote ni manyumbu tu.
Tunauzwa na kununuliwa kwa vipande vya pesa
Lissu siku akilala historia yake haitokaa ifutike milele na milele Kama J.K.Nyerere.
Kwahiyo mkuu ni kweli lema anakaa sea cliff?HILO LINAJULIKANA KWA MAANDISHI YA JUZI TUHUMA ZAKE YEYE HALAFU ANAMUHISHA HECHE HAPA NILIGUNDUA LEMA AMECHUKUA PESA KWA SAMIA
Chadema matapeli wengi sio MBOWE tu
Chadema wanachafuliwa wanashangilia kama kila mtu anatangazwa kuwa sell out hawajui kuwa inadhoofisha chama ?Wabongo wanamuendekeza sana huyu mwanamke. Kila anachosema kinaonekana ni ukweli bila kujiridhisha kwanza
Maana hake ni kuwa wote kuna namna wanashare jambo fulani na watu wa upande wa pili.Lema naye snitch tu. Kaulizwa yeye kakimbilia kumuattack Heche na passport yake.
Kuna ukweli kwamba ndugu wa Lissu kaka zake na dada zake wanaishi seacliff hotel na kulipiwa na Samia na Abdul kwa miezi miwili sasa ili wampe pressure Lissu afikie maridhiano?Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Moderator naomba msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Siasa siasa siasa.........!!!!Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Moderator naomba msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Kuna ukweli kwamba ndugu wa Lissu kaka zake na dada zake wanaishi seacliff hotel na kulipiwa na Samia na Abdul kwa miezi miwili sasa ili wampe pressure Lissu afikie maridhiano?
Kuna ukweli kwamba Lema amewahakikishia Samia na Abdul kwamba Heche ndio kikwazo kikuu wakimtoa Heche, chadema itaenda kwenye maridhiano?
View: https://x.com/mangekimambi/status/2099564778918453459
Umbea gani??Kwani kazi ya usalama wa Taifa ni nini hapa kwetu? Si umbea tu wa kufanya viongozi waishi vizuri