Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko mae tena(sio mwenzetu).

Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.

Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
ok. :pedroP:
 
Siku zote alikuwa wapi kutoa hizo shutuma?

Ugonjwa mwingine unaowakabili watanzania ni huu wa Dada Mange Kasema.

Kajichomekea sasa info zimeleak.

Lema pia alikwenda usiku Ukonga na Abdul kumshawishi Lissu. Lissu akauchuna. Ndiyo sababu ya Lissu kumwambia Lema mahakamani aache hizo na kusema wanaomtembelea Ukonga wasiende usiku. Hiyo statement ilikuwa inawalenga Lema na Mbowe.
 
TOKA MAKTABA :

1789413681095.png



View: https://www.instagram.com/reel/DR1JpKRjK-s/



1789413636817.png
 
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko mae tena(sio mwenzetu).

Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.

Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.

Moderator msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Ukiona wanaomtetea ni chawa wa Samia elewa kwamba hizo tuhuma ni za ukweli, bwashee ameshafika bei.
 
Kwani uongo pale Chadema mpinzani ni Lissu tu

Ata Heche ni project ya TISS

Mnyika mtumishi mtiifu wa TISS

Yule dada pia mtumishi

Lema amekuwa shushushu wa muda mrefu toka wakina David kafulila, Zitto, slinde, mkumbo, sema wabongo ni wajinga

Subirini ya Maria salungi na Hilda network

Wakuu hii nchi nawaambia mwanaume ni Lissu tu tuliobaki sisi wote ni manyumbu tu.

Tunauzwa na kununuliwa kwa vipande vya pesa

Lissu siku akilala historia yake haitokaa ifutike milele na milele Kama J.K.Nyerere.
 
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko mae tena(sio mwenzetu).

Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.

Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.

Moderator msiweke hiyo clip hapa, taarifa hii inatosha.
Lema juzi aliyachota machoko Kwa kuyadanganya kuwa eti Heche alipata passport baada ya kuwasiliana na Boss wa usalama, lakini Leo akijibu swali la katuga, Heche amesema passport yake alipewa baada ya Mwanasheria Nshala kuwaandikia uhamiaji barua na Afisa uhamiaji aliyempatia hiyo passport anaitwa maharani. Sasa lema tuambie story yako kuwa Heche alipewa passport yake baada ya kuwasiliana na Boss wa usalama ulizitoa wapi? Otherwise tutakufurusha muda sio mrefu ukaungane na machoko ya ccm shenzi wewe.
 
Back
Top Bottom