Kupanga Sea cliff miezi miwili kwa LEMA anaweza kwa pesa yake ya mfuko wa shati ,hakuna maajabu....Hivi kweli Lema anashindwa kuwa na 6m ya kukaa pale miezi 2? Watu kama kina Lema ambao wanawindwa hawatakiwi wakae uchochoroni ,inatakiwa wakae sehemu yenye ulinzi wa uhakika nasi rahisi kufikika.