Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Hana uwaz wowote ule mange mbona miaka yote hajasema aseme baada ya dogo kupiga picha na makonda? Kuna vitu vungne vinahtaji IQ ndogo saana kuvielewa
Nafikri Mange kaweka wazi kwanini kaeleza aliyoyaeleza kuhusu familia yake sasa hivi, na kwanini hakuyaeleza hapo mwanzo...,

Alichokifanya Mange ni ujasiri, si Tanzania tu itajua kilichotokea kwenye familia yake bali ni dunia nzima,mapambano yanaendelea..

tusubiri 26/4
 
we nae acha ufa...la
hiyo picha kaanza nani kui post?
 
Je dogo asingepicha na makonda mngeyajua Haya?

Tatizo lake mange anataka wale wabaya wake hata ndugu zake wawachukie hao wabaya

Mm nampa eko dogo katumia uwanaume wake hakutaka kuingilia ugomv wa Dada yake na maadui zake

Pia ukiwa kama mwanaume lazima usimame kama mwanaume dogo kachungulia mbali sana kuhusu mishe zake na madili yake.

Alafu pia mtoto wa kike akuziki atalia tu wanaoingia kabulini ni wanaume lazima uwe na roho ya kiume
 
Hamna mtu ambaye yupo WEAK kama mange na ndio maana ukimbana kwa hoja Insta anakublock.Haya sasa mambo ya familia unayapeleka social network ili iweje ,kashindwa kuwatafuta ndugu zake kuongea nao au ndio tayari kishagombana na ndugu zake manake yy achagui mtu wa kugombana naye.MIMI NAWAMBIA SITASHANGAA SIKU NIKIMWONA MANGE ANAENDA CCM,yaani yupo VERY WEAK,hawezi hilimili hoja na matatizo yanayomzunguka,wale follewers wake huyu atawageuka na kurudi CCM.
 
Yule ustaaz si alisema mangi hatatoboa mwezi gani sijui??
 
Si kosa. Japo muhusika kwa sasa anatapatapa kumtoa dada kwenye reli. Yeye atulie tu mbona tunajua hiyo tarehe hakuna chochote anazidi tu kumpa sympathy na kuonekana kweli kawashika pabaya.

Hii ni Tanzania si Kenya tunajijua kabisa vile ni waoga.
Kama MANGE genius sana angepotezea kwa muda fulani angefanya kama haoni hadi hayo maandamano yapite aliyoyaanzisha.

Hapa inadhihirisha MANGE ni weak sana,yaani ndugu yake kupiga picha na RC ndio imtoe kwenye reli na kuongea mambo ya familia hadharani?
 
Unapoingia kwenye vita ya shetani lazima uwe mjanja kwani ana tabia ya kupiga pale usipopatarajia na ambako patakuumiza sana
 
Kama kumuunga mkono sifuri bashite ndio kujielewa, basi hapo lumumba pana msiba mkubwa sana wa uelewa.
 
Naunga mkono
 
Aiseeee. Kila movement haikosi wafuasi duniani. Movement ya bi mdada INA wafuasi wengi sana naona. Washabiki wanaongezeka tu. Na yeye anazidi kujidhihirisha kila kukicha jinsi alivyo mfano bora wa wale wanaomfollow. Inasikitisha sana.
Kama inavyosikitisha daudi albert bashite kuwa na wafuasi nyumbu wengi kama wewe hapo lumumba.
 
Huko Instagram ndugu zake wamemblock sijui huyo mange angewafikishiaje huo ujumbe kirahisi zaidi ya njia aliyotumia,?
Huenda angetumia njia ya siri isingekuwa na nguvu ili kuharibu mission.
Hawana ndugu wakuweza kufikisha huo ujumbe?
 
Poor you. Usikiogope kinyago ulichochonga mwenyewe, Utakuwa sawa na mwehu.
 
Tukisema huyu Dada ni mjinga misukule Yake inapiga kelele
tabia ya yule Dada super woman kutoa siri za ndani hata huyu Dada bingwa wa matusi ashairithi.
sijawahi ona mtu mwenye akili timamu kuongelea mambo binafsi ya kifamilua mitandaoni .
kuna uana harakati na upuuzi.
 
Tatizo kuna baadhi ya watu wanajdili kama sio great thinkers bali wanajadili kwa ushabiki na huo ndio unao rudisha nch nyuma

Hapo tukubali mange keshaferi pigo zote alizopanga na washamtoa katika reli ya kwenda kigoma sasa anelekea shinyanga na muda si mtefu mtaona nn kitatokea na hapo ndio anguko LA upinzani rasmi

Ukienda vitani lazima ujue kun withdraw hakuna shujaaa katika vita bila kuwithdraw

Tatizo LA mange IQ yake ndogo alishindwa ng'amua kile anachokifanya kinafaida gani na kina hasara gani katika maisha yake

Hakujua roho za watanzania ni za kinafki kama alivyo yeye mwenyewe akajiona yeye ni mkamilifu na anaweza kufanya lolote lile alitakaro

Ameshaharibu katika inch yake kwa ushamba wa kuishi wa ulaya Leo anamalilia nan?

S arudi aje tz ashughulikie mambo yake

Sasa mange ni mkimbizi anaish ulya tena alieharibu future ya maisha yake ulimi wake mwenyewe tena nyuma ya keyboard
 
Akili kubwa itoke wapi? Thubutu! Ubongo wa nyumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…