Ni mwehu huyo choko. Ndugu zake wako smart sana, huwezi ukataka wapambane na serikali na kuendekeza ujinga wako wakati wao ndo wanaishi eneo husika masaa yote 24/7. Mwanaume ni lazima uiangalie akili ya dada yako vizuri kwani wewe leo na kesho ndo wa kuijenga familia yenu, sasa unaanzaje kupambana na serikali yako mwenyewe?
Mwanamke hata kwenye familia si wa kuaminiwa make hachelewi kuwauza na akawahasi. Sasa kama yeye uko aliko nani anajua atarudi lini wakati anaonesha kabisa kahasi nchi yake?. Nani anamchagulia yeye marafiki na wale wanaomshika matako?
Sasa leo eti anawatishia kaka zake kwa kupuuzia utoto wake mitandaoni, hata kama ni wadogo kwake bado ni watu wazima wenye kuelewa uzuri na ubaya na cost za anachokifanya dhidi ya familia yao. Na kwa ujinga wake bado haoni kama wanajaribu kumsaidia hata yeye, very rubbish Mange.
Kwanza sidhani kama wanaamini kwa anayoyafanya ipo siku atarudi Tz na ndo maana wanauza waendelee na shughuri zingine. Wewe kuwa mkubwa, ukapewa mali zote alafu kumbe ni zwazwa unayeanzisha vita na serikali ukiwa ugenini huwezi kusifiwa hata na jamaa zako, labda vichaa wenzako tu.
Familia wanahitaji utaratibu mwingine wa kuanza kufikilia maisha yao bila ya wewe kama kiongozi, familia siyo ukubwa wala udada, familia siyo kuishi Marekani wala kuisakama serikali, familia ni kutenda matendo ya hekima kwa unaowaongoza na kuendelea kuwa nao
Poor Mange!