The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Bashite ni dimbwi la maji machafu yenye kichocho na kipindupindu.Mbona nimeandika MMEUMIA ndo maana mnatoa mapovu hapa. Makonda anawalaza macho kila siku ndo maana dada enu kutwa kumtaja taja chezea rais wa dar
Makonda ni maji msipoyanywa mtayaoga
Hahahaha kiki ingebuma uzi usingeanzishwa hapa na kukimbiza page kibao. Kiki imetiki na imemuumiza vilivyo mhusika na misukule yake
Au mama yako.Kama mama yako
Swissme
Kwa nini una mawazo mfu?Mtakufa nyie na kumwacha akiishi nyambafu
Kwahiyo mpaka hiyo 25% ya 400mil alisamehe,lililomuuma ni huyo dogo kuwa na uhusiano na Makonda?.Kwahiyo anataka kuwapangia wadogo zake wapatane na nani au mrengo gani wa siasa?.Ama kweli kama alivyosema inabidi tumuombee.By the way yeye Mange mbona kila siku anahama hama,mara leo CCM kesho UKAWA.Ubonge nyanya na kukosa akili nadhani vina asili na mahusiano ya Karibu sana...! View attachment 744924
Yangekuwa maisha binafsi asingeleta huku kwenye Public hii tayari ni Siasa.Unasema yabomolewe kwasababu baba ako hakuwekeza na kukurithisha. Tumia akili kutenganisha siasa na maisha binafsi
Huyu kichaa Mange siku moja atawaweka wazi wote waliokuwa wanampelekea taarifa zikiwemo za serikali then wataumbuka na kukipata kilichomtoa kenge........!!Hamna mtu ambaye yupo WEAK kama mange na ndio maana ukimbana kwa hoja Insta anakublock.Haya sasa mambo ya familia unayapeleka social network ili iweje ,kashindwa kuwatafuta ndugu zake kuongea nao au ndio tayari kishagombana na ndugu zake manake yy achagui mtu wa kugombana naye.MIMI NAWAMBIA SITASHANGAA SIKU NIKIMWONA MANGE ANAENDA CCM,yaani yupo VERY WEAK,hawezi hilimili hoja na matatizo yanayomzunguka,wale follewers wake huyu atawageuka na kurudi CCM.
Nafikiri Dogo kamwaga kila kitu kwa Makonda sasa walioko nyuma ya Mange sasa wanahaha!!! Kweli Serikali ina mkono mrefu!!Tatizo kuna baadhi ya watu wanajdili kama sio great thinkers bali wanajadili kwa ushabiki na huo ndio unao rudisha nch nyuma
Hapo tukubali mange keshaferi pigo zote alizopanga na washamtoa katika reli ya kwenda kigoma sasa anelekea shinyanga na muda si mtefu mtaona nn kitatokea na hapo ndio anguko LA upinzani rasmi
Ukienda vitani lazima ujue kun withdraw hakuna shujaaa katika vita bila kuwithdraw
Tatizo LA mange IQ yake ndogo alishindwa ng'amua kile anachokifanya kinafaida gani na kina hasara gani katika maisha yake
Hakujua roho za watanzania ni za kinafki kama alivyo yeye mwenyewe akajiona yeye ni mkamilifu na anaweza kufanya lolote lile alitakaro
Ameshaharibu katika inch yake kwa ushamba wa kuishi wa ulaya Leo anamalilia nan?
S arudi aje tz ashughulikie mambo yake
Sasa mange ni mkimbizi anaish ulya tena alieharibu future ya maisha yake ulimi wake mwenyewe tena nyuma ya keyboard
Usinge mjibu kesi za madai sio lazima mshitaki awepo mahakamani ni vielelezo na wakili tuuCcm itatawala milele? Je akiamua kuweka wakili?
HaaaaaaaaaaaaaaaNafikiri Dogo kamwaga kila kitu kwa Makonda sasa walioko nyuma ya Mange sasa wanahaha!!! Kweli Serikali ina mkono mrefu!!
Hata Mange 2015 alikuwa ngazi ya CCM saa hizi ni ngazi ya Chademafor sure wema sepetu amenishangaza na post yake, yani huyo mwanamke ni ngazi kila mtu anamtumia
Haka ka Dada nimegundua kitu,hakika mange ww ni mfano hakuna wa kumuacha hata akiwa damu yako hongera kwa kutokuwa mnafiki
Kila mtu huliona jambo from deferent angle,ww umeliona kwa upande huo na yy aliliona kwa upande wake,na nna amini yy aliyefanya hivi yupo sahihi zaidi ya ww unaesukumwa na chuki nae,This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Hakika mkuuMali ya Urithi haikai. Walitopitia hayo wanaelewa.
Machalii wale ndio wanamalizia Mzigo na ndio ushakata.
Bashite kapata Loop holes kumtoa kwenye Mstari Mdada, am not sure if he can succeed.
Haujafikiri kwa utulivu,Mfano wa kuigwa wakati anawasiliana na ndugu zake kwa kupitia instagram! My left foot.
Leo anaanza kutolea siri zao za ndani kwenye instagram halafu unamwambia mfano wa kuigwa!
Kama una akili timamu ukiona ndugu zako wa damu wanaanza kukukumbia mpaka unatumia instagram kuwasiliana nao lazima uanze kujitafakari kwa kina.
Tanzania kuna vituko!
Nimemfundisha darasani Esacs Academy 2000./2001. He was always the last in everythingKwa mwili huo huyo jamaa atakuwa na akili kweli?
Labda tufahamishwe na wanaomfahamu huyu kijana.
Na wanaoperekeshwa na huyu bidada inabidi wakapimwe akili pia..!Kweli wanaomuunga Mkono huyu bidada wakapimwe akili,