Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mbona nimeandika MMEUMIA ndo maana mnatoa mapovu hapa. Makonda anawalaza macho kila siku ndo maana dada enu kutwa kumtaja taja chezea rais wa dar

Makonda ni maji msipoyanywa mtayaoga

Hahahaha kiki ingebuma uzi usingeanzishwa hapa na kukimbiza page kibao. Kiki imetiki na imemuumiza vilivyo mhusika na misukule yake
Bashite ni dimbwi la maji machafu yenye kichocho na kipindupindu.
 
Ubonge nyanya na kukosa akili nadhani vina asili na mahusiano ya Karibu sana...! View attachment 744924
Kwahiyo mpaka hiyo 25% ya 400mil alisamehe,lililomuuma ni huyo dogo kuwa na uhusiano na Makonda?.Kwahiyo anataka kuwapangia wadogo zake wapatane na nani au mrengo gani wa siasa?.Ama kweli kama alivyosema inabidi tumuombee.By the way yeye Mange mbona kila siku anahama hama,mara leo CCM kesho UKAWA.
 
Hamna mtu ambaye yupo WEAK kama mange na ndio maana ukimbana kwa hoja Insta anakublock.Haya sasa mambo ya familia unayapeleka social network ili iweje ,kashindwa kuwatafuta ndugu zake kuongea nao au ndio tayari kishagombana na ndugu zake manake yy achagui mtu wa kugombana naye.MIMI NAWAMBIA SITASHANGAA SIKU NIKIMWONA MANGE ANAENDA CCM,yaani yupo VERY WEAK,hawezi hilimili hoja na matatizo yanayomzunguka,wale follewers wake huyu atawageuka na kurudi CCM.
Huyu kichaa Mange siku moja atawaweka wazi wote waliokuwa wanampelekea taarifa zikiwemo za serikali then wataumbuka na kukipata kilichomtoa kenge........!!
 
Tatizo kuna baadhi ya watu wanajdili kama sio great thinkers bali wanajadili kwa ushabiki na huo ndio unao rudisha nch nyuma

Hapo tukubali mange keshaferi pigo zote alizopanga na washamtoa katika reli ya kwenda kigoma sasa anelekea shinyanga na muda si mtefu mtaona nn kitatokea na hapo ndio anguko LA upinzani rasmi

Ukienda vitani lazima ujue kun withdraw hakuna shujaaa katika vita bila kuwithdraw

Tatizo LA mange IQ yake ndogo alishindwa ng'amua kile anachokifanya kinafaida gani na kina hasara gani katika maisha yake

Hakujua roho za watanzania ni za kinafki kama alivyo yeye mwenyewe akajiona yeye ni mkamilifu na anaweza kufanya lolote lile alitakaro

Ameshaharibu katika inch yake kwa ushamba wa kuishi wa ulaya Leo anamalilia nan?

S arudi aje tz ashughulikie mambo yake

Sasa mange ni mkimbizi anaish ulya tena alieharibu future ya maisha yake ulimi wake mwenyewe tena nyuma ya keyboard
Nafikiri Dogo kamwaga kila kitu kwa Makonda sasa walioko nyuma ya Mange sasa wanahaha!!! Kweli Serikali ina mkono mrefu!!
 
hakika mange ww ni mfano hakuna wa kumuacha hata akiwa damu yako hongera kwa kutokuwa mnafiki
Haka ka Dada nimegundua kitu,
Kanachofanya ni tabia yake ya ndani na hakaigizi,ndo maana nadhani hata ww umekaita siyo kanafiki,unajua wazungu wanatuzidi hapa,huwa wanafanya walivyo kwa ndani,ss tunafanya tusivyo kwa ndani,
Hii tabia huwa naikubali sana,
Hata km ww ni mbaya show it,
Itafanya watu wakujue na wajue wanafanyaje juu yako na wanaweza saidia kukubadili,
Utakuta mbongo maskini,lkn kwa nje unajitutumuuuua km unazo wakati vumbi tu,siku ukikwama utaogopa hata kuomba buku,
Napenda kujifunza tabia ya kuwa nilivyo ndani
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Kila mtu huliona jambo from deferent angle,ww umeliona kwa upande huo na yy aliliona kwa upande wake,na nna amini yy aliyefanya hivi yupo sahihi zaidi ya ww unaesukumwa na chuki nae,
Skia yule dogo kafanya hadharani,
Lazima ajibiwe hadharani,
Yy hakufikiri italeta shida kwa Dada hadharani lazima na Dada ajibu hadharani pia,
Lkn yote kwa yote tusilishupaliiiiie maana ni la ndugu
 
Mali ya Urithi haikai. Walitopitia hayo wanaelewa.

Machalii wale ndio wanamalizia Mzigo na ndio ushakata.

Bashite kapata Loop holes kumtoa kwenye Mstari Mdada, am not sure if he can succeed.
Hakika mkuu
 
Mfano wa kuigwa wakati anawasiliana na ndugu zake kwa kupitia instagram! My left foot.

Leo anaanza kutolea siri zao za ndani kwenye instagram halafu unamwambia mfano wa kuigwa!

Kama una akili timamu ukiona ndugu zako wa damu wanaanza kukukumbia mpaka unatumia instagram kuwasiliana nao lazima uanze kujitafakari kwa kina.

Tanzania kuna vituko!
Haujafikiri kwa utulivu,
Umesukumwa na chuki,haujapata muda wa kufikili sahihi,
Wapo watu wanatabia ya kukujibu kitu sawasawa na mazingira ya ulichofanya,
Wapo watu ukimtukana hadharani na yy anakujibu hadharani,ili ujumbe uliomfikia hadharani na ww u feel hivo hivo hadharani,
 
haters wa mange wamefurahi knoma!!! atleast wamepata gape la kudhihirisha chuki zao
 
Dada etu ni dhaifu sana kama askari vitani hutakiwi adui ajue wapi base yako ilipo. Yani yeye anarusha makombora mfululu watu wanaumia nayo kimya kimya chumbani mwao ye kaonyeshwa picha tu Amemwaga gazeti. Amefeli kimtindo
 
Back
Top Bottom