Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Ili kujua mtu ana IQ ndogo ni vitu kama hivi. Kwa hiyo alitaka adui zake wawe adui wa ndugu zake? Ili mtu awe adui yako lazima kuwe na sababu zakukuridhisha na sio za kutoka kwa mtu mwingine na mtazamo wako.
Tulia wewe bibi usijilinganishe na Mange ni zaidi ya hicho kifamilia chako hapo kijijini yule ni mtu wa kimataifa anaipeleka serikali yenu puta
 
You are absolutely right
 
Hivi ndugu yake aliyeenda kwa Bashite akapiga picha na kuandika sifa zinazoelekea kumponda Dada yake japo hajamtaja ndo kafanya la maana?
 
Umeona eee? Ndivyo ccm walivyo mtumia kumtukana Lowasa, ila sasa amewageuka wanahaha na kupiga makelele, ama kweli mkuki kwa nguruwe. ....
ccm ukafiri wenu utafika mwisho tu
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Wakati huohuo unapongeza serikali kwa wanaoachishwa kazi kwa masharti halali waliyopewa wakati wakiajiriwa! Wewe in ndumilakuwili
 
She just can't help it... This is like involuntary action
She is extrovert.. She just can't help hiding things or keep them private
It is quite dangerous and catastrophic to be led by a person who is extrovert and impulsive.
If she is what you say, the oath of office will not mean anything to her when her moods and 'involuntary' actions take over.

Be as it may, whether it was deliberate or involuntary as a result of her mentioned condition, what she did is wrong. Forcing people into her political affiliation by use of threats and damaging exposure of private matters is wrong, criminal and against the very principles of democracy she is fighting for.

If she really cant help it, its high time she gets appropriate medical help.
 
Nyie endeleeni kujipea moyo, 2604 ndio mtaelewa huyo shabiki wenu alivyo nothing
 
Kwa iyo kuunga mkono unayempinga ndio upumbavu, na unauhusisha na unene.
Wewe ni mpumbavu sana, mnalilia demokrasia ilhali mnatukana watu wenye mrengo tofauti, huo ni umaku.

Kwa mwili huo huyo jamaa atakuwa na akili kweli?

Labda tufahamishwe na wanaomfahamu huyu kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…