Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Nakumbuka uliletwa uzi hapa jukwaani kuwa Mange ana wakati mgumu kuhusu mdogo wake wa kiume kupiga picha na RC. Watu wakadai amezoea kuchamba wengine sasa mbona amekaa kimya hasemi chochote kuhusu mdogo wake. Ameamua kuandika watu wanamgeuka tena wanasema IQ yake ni ndogo. Mimi nabaki "kuhemwa" tu.
 
Dogo yupo vizuri harakati za dadake zinahatarisha maisha na Mali za familia,wakati huo dada yao yupo nje safe
Hapo ukute kashinikizwa kuonana na makonda.
Lazima.
Familia itakuwa inaendeshwa sanaaa
 
Hichi ndio mnakiweza mkuu sababu mna Dola.
Hoja hamna kabisa [emoji23] [emoji23]
 
Wadanganyika hawa bwana.
Juzi walikuwa wanashangilia chupi ya Nandi
 
Kwa mwili huo huyo jamaa atakuwa na akili kweli?

Labda tufahamishwe na wanaomfahamu huyu kijana.
Kwa iyo akili ya mtu inahusiana na unene, nyie mnasikitisha na kuchekesha.
 
Halafu huyo Anil ana shati moja au mashati mengi ya rangi moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nawaza tu interval ya wakati picha zinapigwa [emoji41]
Huyo lazima amekula sana vitisho kutoka kwa Makonda.
Ila mwisho wa Makonda upo.
Hilo shati itakuwa ni moja.
Kupata shati linalofunika Passo sio kazi ndogo
 
Aiseeee. Kila movement haikosi wafuasi duniani. Movement ya bi mdada INA wafuasi wengi sana naona. Washabiki wanaongezeka tu. Na yeye anazidi kujidhihirisha kila kukicha jinsi alivyo mfano bora wa wale wanaomfollow. Inasikitisha sana.
 
Mkuu nimekuelewa saana. .yani sijui kwa nini wameshindwa kabisa kabisa kuachana nae.
 
Kweli uwezo wenu wa ufahamu unazidi kuporomoka. Kitendo cha picha ya Makonda na kaka yake kuwekwa hadharani ndio kimemsukuma Mange kufanya jamii ijue ni nini kinaendelea.
Mange yuko mbali sana kimkakati kuliko Bashite alivyofikiri na malengo yao yamesambara tishwa
 
Mange amefanya sahihi kabsaa...hakuja haja tena ya kuficha ficha...
 
Kiukweli Mange anawakuna haswa watu kila siku wanawashwa.

Mange hatosaulika kaitika hili Taifa kataa kubali kivyako vyako na kimtindo wako.

Huyu ni Dada wa Taifa yeees she is a heroine kataa kubali pinga kimpango wako.

Usinijibu ,unikoti kwani nitakupuuza tu .

Am free spirit [emoji57]
 
Kwa kusoma alichoandika huyu Mange na jinsi alivyoandika ni wazi kuwa IQ yake ni ndogo saaana. Watu wanaomkubali sijui IQ zao zikoje.
Wewe una IQ ya ngapi ? Tuanze hapo usijekuta una IQ ya 15 halafu unajidaiii[emoji2]
 
Rudi tukukamate na huyo lawyer wako na judge wako. Hawa watoto wamepata pesa kiulaini kabisa
 
Amina Amina AMINA

KUMBUKA HUMU NI BURUDANI PIA..
Ni sawa lakini burudani isitusahaulishe uchaji wetu... On serious note tusifanye dhihaka wakati sisi ni waamini kwa matendo
Asante sana kwa kunielewa
 
Huko Instagram ndugu zake wamemblock sijui huyo mange angewafikishiaje huo ujumbe kirahisi zaidi ya njia aliyotumia,?
Huenda angetumia njia ya siri isingekuwa na nguvu ili kuharibu mission.
Na kweli, mission ya Bashite imegonga ukuta. Kama ndugu yako anaweza kukudhulumu 100m wakati bado umemuachia 25% of profit ya hotel aendelee kula for 13yrs atashindwaje kutumika kipropaganda na Bashite kukuumiza?
Mange, she is very genius maana sasa hata Bashite awatumieje hao ndugu zake tayari tumeelewa ni watu wa aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…