Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mbona nimeandika MMEUMIA ndo maana mnatoa mapovu hapa. Makonda anawalaza macho kila siku ndo maana dada enu kutwa kumtaja taja chezea rais wa dar

Makonda ni maji msipoyanywa mtayaoga

Hahahaha kiki ingebuma uzi usingeanzishwa hapa na kukimbiza page kibao. Kiki imetiki na imemuumiza vilivyo mhusika na misukule yake
Mamy andika vizuri tumia neno wameumia hakuna mahali umeona nimeumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu ukweli utabaki Dada kuna watu anawalaza macho mpaka wanaenda kutafuta ndugu wapige picha kiki imebuma.

Kutapatapa kubaya sana
 
Mimi sio mshabiki wa huyu Dada, lakini kwa jinsi anavyopaishwa na hii serikali ya Tanzania ya watu 50million plus. She is becoming more relevant day by day in Tanzania and commanding a huge following!

And surprise to many, She is revealing one thing, she IS THE ONE RUNNING THE GOVERNMENT ! AGREE TO DISAGREE.

and another aspect, why the government fail to ignore her, either in most part she is telling the truth or the government is full of incompetency autocrats, and she is irritating them really hard!

Anawakuna kisawasawa!
Exactly i second you
 
Hiyo hotel na nyumba zake zote zitapigwa mnada na TRA, hapo ndiyo atableed non-stop,
Mwisho wa siku mnakuja kumlipa kama mlivyolipa deni la ndege. Ubabe mwingii fukuza kandarasi ccm na matisheti yao wanakuona ww ndio mungu dadeki wanaume wanakucheki wana sema hiiiiiiiiii.
Ukanijepelek mzobe mzobe canada unajibunulisha ndege ili upate sifa.
Mavi debe. Lipa mdeni huo.

Kwa hio hata tra waaache wauze ila haki ya mtu haipotei kamwe
 
Wape wape vipande vyao wakimeza wakitema ni shauri yao, kupiga Picha na makonda ni kitendo cha aibu sana
Musiba anatumwa na makonda..Anil anaenda kukaa meza moja na adui wanaodhatilisha baba yake marehemu
 
Ila jamaa anil ni boya sana.................nasikia bashite katumia miezi sita kumshawishi jamaa kwa pesa nyingi ili tu akutane naye na kupiga picha basi.....zile pesa ccm wanaiba ppf nado kazi yake hii ikiwemo kununua wapinzani, kuteka na kutesa watu ikiwemo kuuaa....hii yote ni miradi haramu ya ccm na matumizi mabaya ya pesa za watz wakipata baraka kutoka kwa mhutu original
 
We unayo hayo magofu?
Mali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
 
Mbona nimeandika MMEUMIA ndo maana mnatoa mapovu hapa. Makonda anawalaza macho kila siku ndo maana dada enu kutwa kumtaja taja chezea rais wa dar

Makonda ni maji msipoyanywa mtayaoga

Hahahaha kiki ingebuma uzi usingeanzishwa hapa na kukimbiza page kibao. Kiki imetiki na imemuumiza vilivyo mhusika na misukule yake
Hahhaaa eti Rais wa Dar ila siyo mbaya ndege wafananao huruka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]

Yule dada ni moto. Mnazidi kumfanya dunia imzungumze.
 
Family affairs kuzipeleka kwenye social media ni kitu cha ajabu sana. Mdogo wako kupiga picha na adui yako ndio utokwe na maneno yote hayo? Si unampigia simu unamueleza na kumuuliza? Alichofanya kuanika mambo yao ndicho walichotaka na wamefanikiwa kuonesha mashabiki wake kuwa ni very weak! Angelia chumbani kwake na kuwasiliana na wanafamilia huku anaendeleza struggle zake lakini mpaka hapa wamemuweza na inawezekana wakampiga bomu lingine litakalomtoa kwenye reli kabisa!
 
Mali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
Kama baba ako aliishiaa kuzaa hakujuaa kuwekezaaa shut up endleee kuhangaikaa na duniaaa uje kuwa self made welioachiwaa waache waenjoy ni majasho ya baba zao ,mlaumu baba ako aliyeutumiaa ujana vibayaa
 
Swa
Hahhaaa eti Rais wa Dar ila siyo mbaya ndege wafananao huruka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]

Yule dada ni moto. Mnazidi kumfanya dunia imzungumze.
wana haha saaana maskin hadi hurumaa
 
Family affairs kuzipeleka kwenye social media ni kitu cha ajabu sana. Mdogo wako kupiga picha na adui yako ndio utokwe na maneno yote hayo? Si unampigia simu unamueleza na kumuuliza? Alichofanya kuanika mambo yao ndicho walichotaka na wamefanikiwa kuonesha mashabiki wake kuwa ni very weak! Angelia chumbani kwake na kuwasiliana na wanafamilia huku anaendeleza struggle zake lakini mpaka hapa wamemuweza na inawezekana wakampiga bomu lingine litakalomtoa kwenye reli kabisa!
Kwan huoni maadui zake walivyozitumiaa hizo pichaa??
 
Chill kitu hicho
30592120_341335756388829_3207771495535214592_n.jpg

Hahhaaa eti Rais wa Dar ila siyo mbaya ndege wafananao huruka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]

Yule dada ni moto. Mnazidi kumfanya dunia imzungumze.
 
Lakini hiki kitendo cha Mange kupigwa dafrau na Makonda kimewaumiza wengi sana kwenye mitandao ya kijamii.

Nimesoma comments humu JF na mitandao mingine na ninachokiona kutoka kwa wapenzi wake ni vilio tu kama anavyolia mwenyewe.

Huo ndio ukombati wenyewe.
LIVE BY THE SWORD, DIE BY THE SWORD.

Tofauti ya Mange na mahasimu wake ni kuwa wenzake hustahimili maudhi yake lakini sio yeye. Kumbuka matusi na kashfa alizowamwagia wengi (mfano Le Mutuz, Makonda, na wengineo). Wao walinyamaza tu.

Leo katekenywa kidogo dunia nzima inasikia kilio chake.

Kama unaishi kwenye nyumba ya vioo, usiwapopoe wenzio kwa mawe.
 
Zawadi,

Mwambieni Mange kuwa kuandamana au kutokuandamana ni haki ya kidemokrasia.

Kila raia ana uhuru na haki ya kuamua akitakacho, kuchagua marafiki na kufungamana na mlengo wowote wa kiasiasa anaoona unamfaa.

Ni haki ya msingi kila raia kuchagua au kuchaguliwa kuongoza. Na ni uhuru binafsi wa yeyote kuchagua kiongozi wake.

Hiyo ndio demokrasia.

Alichofanya ni makosa makubwa. Kutangaza maswala binafsi ya ndugu hadharani ili kuwatishia wamuunge mkono katika harakati zake ni makosa makubwa. Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho.
Je hapo Mange ana tofauti gani na anaowapinga?
Ndio wale wale and the same bullshit.

Na kuna jambo jingine linaloibuka hapa..Mange yuko tayari kuficha maovu na kusapoti uvunjaji wa sheria ilimradi tu hao wavunja sheria ni ndugu wanaomsapoti. Huu ni uhalifu.
Kama hao ndugu zake, kama kweli wamevunja sheria basi alipaswa kuwachukulia hatua na sio kusubiri hadi watakapotofautiana mitizamo ya kisiasa. Sasa Mange akiwa kiongozi si ndio atakuwa dikteta mbaya anayelazimisha nchi nzima iwaze kama yeye na kufuata anachotaka tu?????

Rafiki zake pia wajifunze. Siku wakiacha kumsapoti atamwaga siri zao zote hadharani na kuwasababishia matatizo kibao.
Mwenye akili na asikie.
Nonsense
 
Hahaha mange anatishia kujamba eeh..

Hebu aje aombe mali yake yoyote Tz aone kama atapata kudadeki..

Yaani ndugu zake wakiamua wauze kila kitu bila kumwambia kwa vita ambayo ameichagua hakuna atakayeguswa hapa Tz...

Halafu ameonyesha udhaifu wake kuwa anajali, vita anayopigana na anadisplay udhaifu kama huu ni loophole itakayotumiwa kumuadhibu zaidi, bora angetulia tuu kama vile anavyosema bongo tukubali kumwaga damu zetu yeye akiwa marekani basi ajue hata ndugu zake wanaweza kumwagwa damu au kumgeuka vilevile kwa hiyo asiumie sana, vita ni vita.
 
Back
Top Bottom