mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Mwambieni arudi tu aje achukue hiyo share iko inamsubiri Akiba commercial bankWema kwa vile umemvuruga vuzi dada Mange.
Sasa mwambie huyo anil aanza kujiandaa kutoa share ya mil 400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni arudi tu aje achukue hiyo share iko inamsubiri Akiba commercial bankWema kwa vile umemvuruga vuzi dada Mange.
Sasa mwambie huyo anil aanza kujiandaa kutoa share ya mil 400
Jitoe tu ufahamuMwambieni arudi tu aje achukue hiyo share iko inamsubiri Akiba commercial bank
Mamy andika vizuri tumia neno wameumia hakuna mahali umeona nimeumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ukweli utabaki Dada kuna watu anawalaza macho mpaka wanaenda kutafuta ndugu wapige picha kiki imebuma.
Kutapatapa kubaya sana
Exactly i second youMimi sio mshabiki wa huyu Dada, lakini kwa jinsi anavyopaishwa na hii serikali ya Tanzania ya watu 50million plus. She is becoming more relevant day by day in Tanzania and commanding a huge following!
And surprise to many, She is revealing one thing, she IS THE ONE RUNNING THE GOVERNMENT ! AGREE TO DISAGREE.
and another aspect, why the government fail to ignore her, either in most part she is telling the truth or the government is full of incompetency autocrats, and she is irritating them really hard!
Anawakuna kisawasawa!
She issa threat mpka unamuitaa dada means unamuogopaaHuyu da'Mange ni limbukeni tu. Hana lolote zaidi ya kupewa bichwa na mazuzu wenzake. Akafie mbele huko.
Mwisho wa siku mnakuja kumlipa kama mlivyolipa deni la ndege. Ubabe mwingii fukuza kandarasi ccm na matisheti yao wanakuona ww ndio mungu dadeki wanaume wanakucheki wana sema hiiiiiiiiii.Hiyo hotel na nyumba zake zote zitapigwa mnada na TRA, hapo ndiyo atableed non-stop,
Musiba anatumwa na makonda..Anil anaenda kukaa meza moja na adui wanaodhatilisha baba yake marehemuWape wape vipande vyao wakimeza wakitema ni shauri yao, kupiga Picha na makonda ni kitendo cha aibu sana
Mali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
Hahhaaa eti Rais wa Dar ila siyo mbaya ndege wafananao huruka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nimeandika MMEUMIA ndo maana mnatoa mapovu hapa. Makonda anawalaza macho kila siku ndo maana dada enu kutwa kumtaja taja chezea rais wa dar
Makonda ni maji msipoyanywa mtayaoga
Hahahaha kiki ingebuma uzi usingeanzishwa hapa na kukimbiza page kibao. Kiki imetiki na imemuumiza vilivyo mhusika na misukule yake
Kama baba ako aliishiaa kuzaa hakujuaa kuwekezaaa shut up endleee kuhangaikaa na duniaaa uje kuwa self made welioachiwaa waache waenjoy ni majasho ya baba zao ,mlaumu baba ako aliyeutumiaa ujana vibayaaMali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
wana haha saaana maskin hadi hurumaaHahhaaa eti Rais wa Dar ila siyo mbaya ndege wafananao huruka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule dada ni moto. Mnazidi kumfanya dunia imzungumze.
Kwan huoni maadui zake walivyozitumiaa hizo pichaa??Family affairs kuzipeleka kwenye social media ni kitu cha ajabu sana. Mdogo wako kupiga picha na adui yako ndio utokwe na maneno yote hayo? Si unampigia simu unamueleza na kumuuliza? Alichofanya kuanika mambo yao ndicho walichotaka na wamefanikiwa kuonesha mashabiki wake kuwa ni very weak! Angelia chumbani kwake na kuwasiliana na wanafamilia huku anaendeleza struggle zake lakini mpaka hapa wamemuweza na inawezekana wakampiga bomu lingine litakalomtoa kwenye reli kabisa!
Hahhaaa eti Rais wa Dar ila siyo mbaya ndege wafananao huruka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule dada ni moto. Mnazidi kumfanya dunia imzungumze.
Yani hata kama movement yake haitafanikiwa lakini jamaa kapata jambajamba.Swa
wana haha saaana maskin hadi hurumaa
Nasemaje labda mlete ya Bidada akiwa na Makonda hahaaaaaa hizi nyingine ni upuuzi tuChill kitu hichoView attachment 745007
NonsenseZawadi,
Mwambieni Mange kuwa kuandamana au kutokuandamana ni haki ya kidemokrasia.
Kila raia ana uhuru na haki ya kuamua akitakacho, kuchagua marafiki na kufungamana na mlengo wowote wa kiasiasa anaoona unamfaa.
Ni haki ya msingi kila raia kuchagua au kuchaguliwa kuongoza. Na ni uhuru binafsi wa yeyote kuchagua kiongozi wake.
Hiyo ndio demokrasia.
Alichofanya ni makosa makubwa. Kutangaza maswala binafsi ya ndugu hadharani ili kuwatishia wamuunge mkono katika harakati zake ni makosa makubwa. Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho.
Je hapo Mange ana tofauti gani na anaowapinga?
Ndio wale wale and the same bullshit.
Na kuna jambo jingine linaloibuka hapa..Mange yuko tayari kuficha maovu na kusapoti uvunjaji wa sheria ilimradi tu hao wavunja sheria ni ndugu wanaomsapoti. Huu ni uhalifu.
Kama hao ndugu zake, kama kweli wamevunja sheria basi alipaswa kuwachukulia hatua na sio kusubiri hadi watakapotofautiana mitizamo ya kisiasa. Sasa Mange akiwa kiongozi si ndio atakuwa dikteta mbaya anayelazimisha nchi nzima iwaze kama yeye na kufuata anachotaka tu?????
Rafiki zake pia wajifunze. Siku wakiacha kumsapoti atamwaga siri zao zote hadharani na kuwasababishia matatizo kibao.
Mwenye akili na asikie.