Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

So, Mange anatukana watu na familia zao kama alivyomdhalilisha yule Sheikh kwa shutuma za kila aina ila hataki ndugu zake wawe na ukaribu na Makonda!

Wao hata hawajatukana au kufanya lolote baya ila kapanic, vp wangedhalilishwa Kama afanyavyo yeye.

Hao ni ndugu, watu wazima wenye mitazamo, hulka, itikadi na imani tofauti, sio mifugo yake hivyo wana maamuzi yao na maamuzi yao yaheshimiwe.

Huyu Mange ni mgonjwa wa akili.
 
Total
 
- Amechagua maisha ya Social Media ndio matokeo yake haya ukijua ya wengine na ya kwako lazima yajulikane.

le Mutuz
Lakin pia kuna baadhi wadau hapa Jf hawajui huyu Mange kimambi mnafahamiana vipi, wajue tu familia zenu zinaingiliana bongo mpka USA vita vyenu sio vya leo[emoji16][emoji16]
 
Duh, hii sasa kali. Huyu wakili wenu msomi ana degree ngapi? Mara masters in business management, mara entrepreneurship, Mara sijui nini. Leo tena tunaambiwa kasomea sheria. For sure anastahili kumrithi Mbowe, ingawa hata kazi ya reception hana in the US.
Mkuu huko US masters yake imejikita kwenye ujasiriamali. Watu wanakula tu ndogo kama kawa. Na pia analipia kodi mkuu kwa hiyo sio issue sana. Maana inamtafuna tu
 
Kwa wenye akili timamu, Kichaa Mange ametoa mchango mkubwa saaana kukidhoofisha chama cha upinzani chadema. Ni makosa makubwa sana kuyakubali matamshi yake, kuyanukuu na kuyaweka kama mojawapo ya mihimili ya chama chenye watu wenye akili timamu na kufikiri kisawasawa.
Ni Tanzania pekee mgonjwa wa akili anakuwa na wafuasi walio na akili timamu...
 
Wasalaam wana jamvi..
Leo kwa mara nyingine Mdogo wa Da Mange amekwenda kumtembelea tena RC Makonda kwa maongezi ya kujenga taifa kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.

Katika maongezi na Mh Makonda mdogo wa Da Mange amesema yeye anaweka mbele masilai ya Tanzania mbele kuliko kingine na kusema kuwa hana pa kukimbilia zaidi ya Tanzania hivyo amani ya Tanzania ni muhimu zaidi kuliko mtu kujitafutia maarufu.

Mwisho amewatakia watanzania wote amani njema na uzalendo mwema.

TANZANIA KWANZA.
IMG_20180417_155704.jpg
 
dogo mtu anacheka Kwa dharau. Hata mimi ningefanya uamuzi huohuo kukimbilia kukaa kwa shemeji tena ugaibuni ni sawa na kuamua kwenda utumwani
 
Hahaha makonda naona kaamia kwenye series nyingine hahaha yaani huyu kaka anashida sana anatumia kila mbinu kushindana na mange lakini mange kawashika pabaya, na usikute mange huyo huyo na mdogo wake wanawachezea chezo hapo hahahaha ili kulinda mali zao

Yaani huyo dogo anakula pesa za makonda hapo kisa kiki hahaha
 
Back
Top Bottom