Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mi nadhani hapa tuseme kuwa
endapo itathibitika ni mhusika wa sakata
hilo sheria ichukue mkondo wake.

Imesemwa mara nyingi kuwa dealers wa
madawa ya kulevya ni watu maarufu.
kama na huyo yumo,sana sana tupige
kelele kama kuna waliosahulika
nao waunganishwe,yaani haki itendeke
wasishughulikiwe wachache na wengine
kubaki uraiani wakiendeleza mchezo mchafu.
 
Mimi sijawahi kujua Mange huwa anataka nini, kipindi cha Kampeni alikuwa upande wa CCM na kuwatupia kila dongo na matusi wapinzani, baada ya kampeni na CCM kushinda kageukia upinzani na kuanza kuitukana CCM kila aina ya tusi. Kuhusu hii ishu ya madawa alionekana kuipigia kelele kwa mda mrefu mtandaoni, hatimaye kapatikana mtu anayeonesha nia ya kupambana nalo ghafla kamgeuka na kuwa against naye. Sasa sielewi nini huwa anataka hasa?
 
kick at work

kaona yuko kimyaaa watu tushamsahau

kaja na nitoke vipi
 
aiseee IDX ni nooomaaa...wanakuchunguza for ten yrs mpk wanapata ushahidi!!
 
Huyu wema anavyotritiwa kama special group vile..asiguswe,asiongelewe,asikosolewe.Teh teh
 
Chenga tu,njaa kibao
 
Mange ni wa hovyo sana sana ase
 
Safi sana Makonda endelea hivo hivo wananchi waadilifu tupo nyuma yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…