Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Kupambana na madawa ya kulevya ni kujitoa mhanga, tena unakamata hao vidagaa, kama kweli haogopi akamate madons wenyewe, Mexico wenyewe wanakiona cha motto kupambana na madons, sio kazi rahisi ya kukamata tu vipunda, wakamateni madons wenyewe ndo tujuwe kweli hamuogopi.
 
Kwani ni mara ya kwanza huku jf kutaja wema kuwa mbuya unga?
Kwanini hamkumshauri aache kama mlikuwa na uchungu naye?
Hivi anakula ngada kumbe??

,kudadek.nipo gizan nn kinaendekea wakuu??

Inamaana wameamua kuwasweka ndan mateja wataje au??

Kama hivyo basi sawaa kino na buguruni pale wapo kibaaoaa sitarajii kuwakutaa
 
.,oooppss.,asavali The bold haja-like hii post;
...futa,delete kabisa hata asiione,
.ni aibu!
 
Alichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama

Ni tuhuma tu
Unaposema ni tuhuma hazina ushahidi kuna njia za kudili na tuhuma na vipo vyombo vya kufanya hiyo kazi lakini unapomtangaza mtu kwenye vyombo vya habari kuwa inasemekana amefanya jambo flani utatakiwa kufhibitisha na ukishindwa utatakiwa kuwajibika kwa defamation (mr. Makonda uttered defamatory statement vs those innocent.) Na kauli yake hiyo itasababisha ku lower reputation ya hao watu ukizingatia kuwa yeye ni mkuu wa mkoa kila anachosema wale wenye uelewa mdogo direct wanajua kuwa ni ukweli. Mi naona kila mmoja akifanya majukumu yake kwa weledi hii michanganyo na kiki havitakuepo na kuzingatia position ethics for common good na sio kutafuta kiki
 
Mawazo haya peleka huko huko USA
Umesahau wasnii kibao huingia jera kisa haya mambo??? Au unajifanya kibuli tu?
We huna hata huruma kwa nyota za taifa kugeuka vioja mitaani, embu tuweni sirious aseee
 
Mkuu sheria ipo Tanzania sio USA kila nchi ina sheria zake Jamaica ganja ni zao la bishara ila huku kwetu ni marufuku......... tafuta sheria inayozuia isome vizuri inaitwa THE DRUG CONTROL AND ENFORCEMENT ACT, 2015
Huyu huyu utasikia tunataka katiba mpyaa hata vimelea vya katiba havijui,

Haya ma CCM bhana
 
Hizo ndio hoja tunazotaka kuzipata
 
Hao watasaidia kusema wanapo nunua...
 
mama ongea na mwanao si ndio hawa hakuna haja ya kuwatoa alizunguka nchi nzima na kampeni yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…