Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me pia nashangaaHivi mange na makonda walichukuliana demu
Hivi anakula ngada kumbe??Kwani ni mara ya kwanza huku jf kutaja wema kuwa mbuya unga?
Kwanini hamkumshauri aache kama mlikuwa na uchungu naye?
Huyu demu anapenda Sana ,,kuingiLia mambo yasomuhusu **** makeItakuwa mange alilalwa/aligegedwa bure pasi na kulipwa hata mia.
Mage ni Dada sasa hapo sijakuelewaHivi mange na makonda walichukuliana demu
.,oooppss.,asavali The bold haja-like hii post;Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Hii hatar!!!Ukweli Mama yako alijiuza ndipo ukazaliwa wewe.
Unaposema ni tuhuma hazina ushahidi kuna njia za kudili na tuhuma na vipo vyombo vya kufanya hiyo kazi lakini unapomtangaza mtu kwenye vyombo vya habari kuwa inasemekana amefanya jambo flani utatakiwa kufhibitisha na ukishindwa utatakiwa kuwajibika kwa defamation (mr. Makonda uttered defamatory statement vs those innocent.) Na kauli yake hiyo itasababisha ku lower reputation ya hao watu ukizingatia kuwa yeye ni mkuu wa mkoa kila anachosema wale wenye uelewa mdogo direct wanajua kuwa ni ukweli. Mi naona kila mmoja akifanya majukumu yake kwa weledi hii michanganyo na kiki havitakuepo na kuzingatia position ethics for common good na sio kutafuta kikiAlichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama
Ni tuhuma tu
NdioHow? Nguvu zipi? Je anazo political and fiscal powers?
Mawazo haya peleka huko huko USAJombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Huyu huyu utasikia tunataka katiba mpyaa hata vimelea vya katiba havijui,Mkuu sheria ipo Tanzania sio USA kila nchi ina sheria zake Jamaica ganja ni zao la bishara ila huku kwetu ni marufuku......... tafuta sheria inayozuia isome vizuri inaitwa THE DRUG CONTROL AND ENFORCEMENT ACT, 2015
Hizo ndio hoja tunazotaka kuzipataWengi waliokamatwa wao ndo "wameharibiwa" na huwezi kuwafunga hawa. Imagine eti ukamfungue Chid Benzi. Kina Makonda wanataka hawa punda ndio wawaelekeze walipo wauzaji papa.
Majina si tuliambiwa yapo Ikulu lakini? Makonda si akayachukue pale? Au list ya JK nae ilikuwa na majina ya kina wema na Chid?
Hao watasaidia kusema wanapo nunua...Nashindwa kuwaelewa watu wanaotetea hili.
Madon wa unga wapo na wanajulikana iweje uwaite watumiaji na kuwahoji?
Hivi mchovu kama TID anaweza kuwa anauza unga kweli?
Hahahah
Mambo ya Makonda ni vichekesho ila vichekesho zaidi ni wale wanaomuunga mkono kwa anachokifanya.