Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

hao wanasaidia kutoa taarifa wala hakuna anaye fungwa.
 
Nivizuri tukaiacha jeshi la polisi lifanye kazi yake, Naamini mpaka makondo kuamua kuyaanika hayo majina hadharani basi ujue atakua na ushahidi wa kutosha. Tuwe wavumilivu kidogo kabla ya kutoa lawama.
Asije akajikuta anayaanika hadharani ikaja kinyume akajikuta ndio kawatangazs jwa watumiaji hata ambao hawakua wanawajua soko lao likakua kwa kupata wateja wengi kupitia haya matangazo
 
Nasaport issue,maana kumchafulia mtu jina ni kosa kubwa mno . Kumbe huyo Makonda awe na busara,kama mtu anamtuhumu amuite personal. Sasa unaita vyombo vya habari na je ikijulikana sio ukweli utafanyaje. Sema Tanzania wengi hatujui sheria. Ila wakimchuchumalia kwa kosa la defamation huyo Makonda hana tena ukuu wa mkoa. Sababu criminal case inaanza na investigation. Sasa wewe hata hujafanya investigation unakurupuka kusema. Je ikionekana sio kweli????? Low minded people kazi kweli.
 
Kutajwa sio kudhibitisha! Hivi Mimi nikakutaja wewe unajiuza ni kweli unajiuza?
Kwani ameshathibutishwa? Si ndo ameitwa ili uchunguzi wa kuthibitisha au lah uanzie hapo.
Kama kuna njia mbadala ya kuthibitisha ungefanya kuwapa ushauri kabla ya kukosoa njia wanayoitumia kwa sasa
 

Unauhakika gani kama hajafanya uchunguzi, You seem to be so sure as if you know everything!!!!!
 
Unajifanya unajua kumbe waungua jua
 

Sidhani kama wameitwa tu bila kufanyika upelelezi wa kina kabla ya kuwaita ukute hata mitego waliwekewa bila wao kujua.
 
Ni kweli wote waliotajwa wanabwia na kuuza unga period, huwezi kusema wote wamesingiziwa, na list bado inaendelea, peti man, director joan hawa wote ni marafiki na ni kweli wanatumia na kuuza,nenda kwwnye page ya wema alivyojibu tuhma za kutumia inga ndo utaelewa
 
Kama unawajua si ukawaseme mbele yake ili hao unaowaitwa wanaonewa wasiitwe tena kuhojiwa.

Acha kulalamika kila kitu
 
Wauza/Wasambaza Madawa in watu hatari sana wametuharibia watoto/Ndugu/Jamaa zetu hawafai kusamehewa kama wametenda
 
Hapo ndo nachoka kabisa tena unaona hadi member wa humu waliokuwa na heshima zao kama @ASOKONI kashupalia hatari kumlilia mtuhumiwa.

Najiuliza hawa watuhumiwa nao wakiitwa polisi watapata ruhusa ya kupita mlango wa nyuma? Why wanataka iwe special kwa huyu dada kupitishwa mlango wa nyuma.

Mara nyingi huwa nakerwa na maamuzi na matamko ya makonda lakini kwenye hili kwa mara ya kwanza nakubaliana naye.
Nasema tena kwenye hili nampongeza kwa kuweka usawa
 
Anawezaje kuwajua hao madons bila kuwabana vidagaa viwaseme mabosi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…