Baraka John Kereja
Senior Member
- Jan 21, 2017
- 139
- 102
Ikiwa ni kweli kilichofanywa kwa Wema Sepetu,badi tutaona sanaa nyingi awamu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao wanasaidia kutoa taarifa wala hakuna anaye fungwa.Wengi waliokamatwa wao ndo "wameharibiwa" na huwezi kuwafunga hawa. Imagine eti ukamfungue Chid Benzi. Kina Makonda wanataka hawa punda ndio wawaelekeze walipo wauzaji papa.
Majina si tuliambiwa yapo Ikulu lakini? Makonda si akayachukue pale? Au list ya JK nae ilikuwa na majina ya kina wema na Chid?
Asije akajikuta anayaanika hadharani ikaja kinyume akajikuta ndio kawatangazs jwa watumiaji hata ambao hawakua wanawajua soko lao likakua kwa kupata wateja wengi kupitia haya matangazoNivizuri tukaiacha jeshi la polisi lifanye kazi yake, Naamini mpaka makondo kuamua kuyaanika hayo majina hadharani basi ujue atakua na ushahidi wa kutosha. Tuwe wavumilivu kidogo kabla ya kutoa lawama.
Hawa hawawezi kwenda mahakamani kujibu shitaka, bali wao wanaweza wakatumika kutoa ushahidi wa watu watakao watajaNdiyo maana nimekwambia nasubiri kusikia wamepelekwa mahakamani wasipopelekwa nitashangaa siyo kuhojiwa kwao bali kwa kushikiliwa kwao kama ni kweli wameshikiliwa...
Je sheria inasemaje kuhusu shaidi? Anashikiliwa au?Hawa hawawezi kwenda mahakamani kujibu shitaka, bali wao wanaweza wakatumika kutoa ushahidi wa watu watakao wataja
Nasaport issue,maana kumchafulia mtu jina ni kosa kubwa mno . Kumbe huyo Makonda awe na busara,kama mtu anamtuhumu amuite personal. Sasa unaita vyombo vya habari na je ikijulikana sio ukweli utafanyaje. Sema Tanzania wengi hatujui sheria. Ila wakimchuchumalia kwa kosa la defamation huyo Makonda hana tena ukuu wa mkoa. Sababu criminal case inaanza na investigation. Sasa wewe hata hujafanya investigation unakurupuka kusema. Je ikionekana sio kweli????? Low minded people kazi kweli.Mange kimambi" mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo waliambiwa walipe....
Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa, wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile kubwa,
Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".
Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi
Kwanza ulitakiwa kuuliza mange nijinsia gani? Ndio u comment huoni kwamba umekurupuka kama chafya.Hivi mange na makonda walichukuliana demu
ElaborateNdio
Kwani ameshathibutishwa? Si ndo ameitwa ili uchunguzi wa kuthibitisha au lah uanzie hapo.Kutajwa sio kudhibitisha! Hivi Mimi nikakutaja wewe unajiuza ni kweli unajiuza?
Nasaport issue,maana kumchafulia mtu jina ni kosa kubwa mno . Kumbe huyo Makonda awe na busara,kama mtu anamtuhumu amuite personal. Sasa unaita vyombo vya habari na je ikijulikana sio ukweli utafanyaje. Sema Tanzania wengi hatujui sheria. Ila wakimchuchumalia kwa kosa la defamation huyo Makonda hana tena ukuu wa mkoa. Sababu criminal case inaanza na investigation. Sasa wewe hata hujafanya investigation unakurupuka kusema. Je ikionekana sio kweli????? Low minded people kazi kweli.
Unajifanya unajua kumbe waungua juaHivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Ni kweli wote waliotajwa wanabwia na kuuza unga period, huwezi kusema wote wamesingiziwa, na list bado inaendelea, peti man, director joan hawa wote ni marafiki na ni kweli wanatumia na kuuza,nenda kwwnye page ya wema alivyojibu tuhma za kutumia inga ndo utaelewaHivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Kama unawajua si ukawaseme mbele yake ili hao unaowaitwa wanaonewa wasiitwe tena kuhojiwa.Nashindwa kuwaelewa watu wanaotetea hili.
Madon wa unga wapo na wanajulikana iweje uwaite watumiaji na kuwahoji?
Hivi mchovu kama TID anaweza kuwa anauza unga kweli?
Hahahah
Mambo ya Makonda ni vichekesho ila vichekesho zaidi ni wale wanaomuunga mkono kwa anachokifanya.
Ndio utajua nature ya criminal case. Sio kitu cha vyombo vya habari,wala mitangazo ya ajabu ajabu.Unauhakika gani kama hajafanya uchunguzi, You seem to be so sure as if you know everything!!!!!
Hapo ndo nachoka kabisa tena unaona hadi member wa humu waliokuwa na heshima zao kama @ASOKONI kashupalia hatari kumlilia mtuhumiwa.Ila watz ni wagumu wa kuwaelewa sana hao hao wanapiga kelele kila leo kwamba madawa ya kulevya yanamaliza nguvu kazi ya taifa, haya wameitwa kwenda kuhojiwa tena kuhojiwa tu kama ni kweli au lah! wametokea watetezi tena dah!! Tz simama nishuke.
Ngoja kesho utasikia na yule mama wa Haki za binadamu naye anakuja kuwatetea hapa.
Anawezaje kuwajua hao madons bila kuwabana vidagaa viwaseme mabosi waoKupambana na madawa ya kulevya ni kujitoa mhanga, tena unakamata hao vidagaa, kama kweli haogopi akamate madons wenyewe, Mexico wenyewe wanakiona cha motto kupambana na madons, sio kazi rahisi ya kukamata tu vipunda, wakamateni madons wenyewe ndo tujuwe kweli hamuogopi.