Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
 
Screenshot_20251111-130109~2.jpg
 
Mmechelewa sana kumshtukia Mange,Maria wote Wana ajenda zao binafsi..mtu anaeweza weka tupu za watu mitandaoni kwaajili ya kutafuta pesa bila kujali athari anazomletea mhanga kwa jamii yake,anapata wapi nguvu ya kudai demokrasia??

Nchi inapitia magumu kana kwamba yoyote anaaeonyesha nia ya kupinga yanaoyondelendea inabidi kuungana nae blindly, ukweli ni kwamba hili kundi limeunganishwa na matatizo tunayopitia tu lakini kila mtu ana mlengo wake wengine ni kwamba maslahi yao binafsi yameminywa tu.
 
Sio hivyo kanyimwa fungu na hao maadui wa Tanzania
 
Mtu ana kesi....nzito akirudishwa ananyongwa eti pesa.......wanataka wamnyonge.....pesa za deal mchezo
 
Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
mange kimambi mmoja NI zaidi ya manyumbu 31m yaliyompigia kura SA100
 
Mmechelewa sana kumshtukia Mange,Maria wote Wana ajenda zao binafsi..mtu anaeweza weka tupu za watu mitandaoni kwaajili ya kutafuta pesa bila kujali athari anazomletea mhanga kwa jamii yake,anapata wapi nguvu ya kudai demokrasia??

Nchi inapitia magumu kana kwamba yoyote anaaeonyesha nia ya kupinga yanaoyondelendea inabidi kuungana nae blindly, ukweli ni kwamba hili kundi limeunganishwa na matatizo tunayopitia tu lakini kila mtu ana mlengo wake wengine ni kwamba maslahi yao binafsi yameminywa tu.
Polepole aliyekuwa mwenezi, yeye nani alimlipa kueleza yale ya ndani..achana na mange, aliyosema Polepole ndio sabb kubwa ya kuweka lengo lazima ccm watoke! wala si mange..maneno ya mange ni ya ushabiki tu!
 
Back
Top Bottom