Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

Apokee pesa ili wamkamate vizuri kwani ye si mjinga yule
 
Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
Kwahiyo hivyo ndivyo hela zetu za kodi zinavyotumika?? Ndo maana hii inchi inahitaji kukombolewa
 
Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
Hapo ndio mwisho wa filra zako
 
Nimeamua kukaa kimya Kila mtu afe na chake sababu watu walitoka tarehe 29 wakaaminishwa jeshi lipo na wao wakalengwa za vichwa na hamna kilichobadilika
So tukusaidieje bob kama hukutoka si upige kimya,mbona waliotoka wamekufa na wapo kimya wewe kinakuuma nini?
 
Hivi una akili timamu? Kwa mambo yanavyoendelea kuna mtanzania kipofu au hadi ashikiwe akili na mtu? Mbona mnawachukulia watanzania kama watu wa hovyo ambao hawana nyongo wapo tu.

Acheni ufala
 
Back
Top Bottom