Wewe unaweza kuwa mtu mpumbavu kuliko hata Samuya. Unadhani tatizo hufunikwa na siyo kutatuliwa. Unadhani ukiwaaminisha watu kuwa Mange ni tapeli, basi nchi itatulia na kupata maendeleo na wewe na baadhi ya CCM wenzako mtaendelea kupiga fedha. Ujinga huu ndiyo ulizalisha machafuko ya tarehe 29. Na bado.... kadiri wapumbavu kama wewe na Samuya mnayojaribu kufukia matatizo ndivyo hali inavyozidi kuwa mbaya. Haya mambo yanaweza kuchukuwa muda lakini katu hayaachi kutokea.Nimeamua kukaa kimya Kila mtu afe na chake sababu watu walitoka tarehe 29 wakaaminishwa jeshi lipo na wao wakalengwa za vichwa na hamna kilichobadilika
Fala wewe unadhani msituni wanaingia kishoga shoga,ulivo lioga kama kabinti ka darasa la 1 utaweza kuingia msituni unachoweza wewe ni kuingia katika ushoga tuMange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
Umempa jibu zuri sana. Kwa sababu ameshajua ''Mange ni tapeli'', basi akae mkao wa kula, Tanzania inaenda kuwa nchi ya neema na shida nyingi zitaisha. Hata shida ya maji itaisha.Unalialia nini?Kama Mange tapeli ni furaha kwenu UVCCM na CCM Kwa ujumla.Ni furaha Kwa
1.Wazazi wako sasa shida za maji zitaondoka
2.Watanzania kwani shida ya utekaji itakoma
Sasa habari za kuingia msituni unataka akuambie mange kimambi?? Si uingie mwenyewe msituni unataka nani aanze, anza wewe kama ni rahisi hivyo!!!aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
Kwa hiyo wewe ni mmoja wa wagawa fedha zetu kwa maslahi yenu siyo? Alisaini makubaliano yaani MOu na wewe ukaweka sahihi? Tuwekee nakala ya mkataba hapa na kinyume chake upo kwenye project ya Kihongosi kwa maslahi ya tumbo lako!Ndio
Basi usijaze maandishi humu. Maana hata kuandika andika humu, ni shida.Nimeamua kukaa kimya Kila mtu afe na chake sababu watu walitoka tarehe 29 wakaaminishwa jeshi lipo na wao wakalengwa za vichwa na hamna kilichobadilika
Kumbe wakati uliopita kulikuwa na mauwaji... Walioua ndugu zetu ni kina nani?Usiwatishe nyumbu bana, safari hii watoke waandamane hawatauliwa tena Lary Modowo atawalinda kwa picha za satellite
Na wewe umetumia VPN kuingia JF mliyoifungia ili upost uharo wenu.Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
Ukitaka kujua kama kulikua na mauaji au hamna toka barabarani kafanye ule unyumbu wenu wa wizi na uharibifu wa mali za watuKumbe wakati uliopita kulikuwa na mauwaji... Walioua ndugu zetu ni kina nani?
CCM akili zao hazina tofauti na alizokuwa nazo Adolf Hitler wakati akiwaua wayahudi kule ulaya.
Kwa mwana CCM mtu asiye mwana CCM kwake yeye ni kama mnyama tu hata akifa anaona sawa tu.
Basi msiwatoze Kodi wasio Wana CCM.
Alafu alivyokuwa Fala anajibu kila commentunaanzisha uzi na kujijibu😂
Mtu mjinga tu kama ww ndio anaweza kukuchukulia serious. Kama unaweza kuandika andiko refu hivyo, bila kuweka koma ama nukta, huoni huko kichwani utakuwa mtupu sana? Rudi kwanza shule ukajifunze kuandika, kisha ndio uje ulete propaganda uchwara.Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe
Unajua huku bongo watu wanafikiri hizi account ni kufungua tu, kama mnavyo badilisha namba za simu Kila siku.Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa account angefungua nyingine Ili aendeleze mapambano ila kakaa kimya kazi kupost Twitter yenye ban na wafuatiliaji wachache tanzania ndio mjue huyo ni tapeli wake hivi wazee unaanzaje kukomboa nchi ukiwa na jiwe halafu limtu la mtandaoni linakuhamasisha jeshi lipo nza wewe aisee Mimi siwezi kuandamana milele labda uniambie habari za kuingia msituni ila sio kuandamana Mimi sio mjinga acha aendelee kutawala kibabe kama sisi hatuna akili ya kumtoa kibabe