Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

Apokee pesa ili wamkamate vizuri kwani ye si mjinga yule
 
Kwahiyo hivyo ndivyo hela zetu za kodi zinavyotumika?? Ndo maana hii inchi inahitaji kukombolewa
 
Hapo ndio mwisho wa filra zako
 
Nimeamua kukaa kimya Kila mtu afe na chake sababu watu walitoka tarehe 29 wakaaminishwa jeshi lipo na wao wakalengwa za vichwa na hamna kilichobadilika
So tukusaidieje bob kama hukutoka si upige kimya,mbona waliotoka wamekufa na wapo kimya wewe kinakuuma nini?
 
Hivi una akili timamu? Kwa mambo yanavyoendelea kuna mtanzania kipofu au hadi ashikiwe akili na mtu? Mbona mnawachukulia watanzania kama watu wa hovyo ambao hawana nyongo wapo tu.

Acheni ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…