Mange Kimambi kukamatwa hapana, lipo kubwa zaidi ya kukamatwa

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,389
Reaction score
25,291
Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!

Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!

Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe! Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!

Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
 
atakayempiga naye hatatoka marekani. so atakuwa hajafaidika maana naye atapata sawa na alichofanya

pia kwa kuwa nia ovu imeshajulikana basi ukubwa wa tatizo unazidi!

Samia ana watu wajinga sana wanaomzunguka! wanawaza hela tu

ila bado kidogo tu CCM wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
 
Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana!
Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi!
Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!
Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe!
Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!
Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
Ni mtazamo wangu kuwa kubwa la maadui la taifa hili,ndiyo hatari zaidi kuliko hako katoto ka afuu mbili,Taifa tufanye mambo ya msingi kwa taifa tuachane na mambo ya kitoto.
 
atakayempiga naye hatatoka marekani. so atakuwa hajafaidika maana naye atapata sawa na alichofanya

pia kwa kuwa nia ovu imeshajulikana basi ukubwa wa tatizo unazidi!

Samia ana watu wajinga sana wanaomzunguka! wanawaza hela tu

ila bado kidogo tu CCM wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
Huo ndio ukweli, ila ndio hivyo kuna watu wameshajitoa mhanga, lengo likiwa ni kutojali chochote kitakachompata mhusika.
 
  • Thanks
Reactions: apk
CCM pamoja na ujinga wao wote hawatathubutu kuanzisha mgogoro wa kidiplomasia na Marekani kwa sasa. Mange akiuliwa Marekani kwa mipango ya kiCCM watampeleka Johari wenyewe kwa mikono yao katika magereza ya Marekani.
 
Huyo atakayefanya hiyo kazi Hana cha kupoteza! Ili mradi lengo litimie kama wale wahuni waliokuwa wanapigwa watu shabaha mtaani na majumbani mwao, wale hawana cha kupoteza.
Hakuna namna ya kubaki salama. Hata akijilipua na kubaki majivu CCTV camera zitamnasa. Watafatilia kuanzia alipotoka mpaka kuipata chain nzima ya waliomtuma.

FBI na CIA sio hawa TISS na polisi wetu
 
Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!

Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!

Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe! Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!

Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
Waambie hao Akina Abdul, WAACHE Huwa Upumbavu wao mara Moja.

Huwezi Kumuua Raia wa Marekan ,na taarifa za kiintelijensia kuhusu UHAI wa Mange wanazipata Kila siku, Mumuue, yaan Taifa Moja ,lifanye Mauaji ya Raia wa Marekani??

Mmewaza matokeo ??.
 
Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!

Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!

Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe! Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!

Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
Siyo kwa Marekani.....Rostam azizi na ushenzi wake wote akithubutu kuleta upumbavu USA itakuwa kwisha habari yake ...Rostam azizi anaweza kuonga wahalifu wauza ngada nk ...wa kimataifa kumuua mange ila mwisho wa siku serikali ya Marekani itambaini tu na kumshika
 
Hawa wanaitw El Sicario wanalipwa wakiwa Mexico, anaingizwa US kwa njia za panya kikazi , halafu anarudishwa Mexico baada ya kazi....
1762459816494.png
 
Hawa wanaitw El Sicario wanalipwa wakiwa Mexico, anaingizwa US kwa njia za panya kikazi , halafu anarudishwa Mexico baada ya kazi....
View attachment 3498383
Yaani mtu wa Mchambawima apange mauaji ya raia wa Marekani. Kisa maagizo aliyopewa Johari?

Hawa hawa wasiojua hata hesabu za kura, ndio wasafirishe Mmexico aingie States kisha amalize mauaji wamrudishe kwao. Mnaichukulia Marekani kama Tandale kwa Tumbo si ndio? 😂

Fanya hivyo uone kama hao akina Mombo hawajakanwa hata Utanzania wao kwa blunder mbovu namna hiyo.
 
Huyo atakayefanya hiyo kazi Hana cha kupoteza! Ili mradi lengo litimie kama wale wahuni waliokuwa wanapigwa watu shabaha mtaani na majumbani mwao, wale hawana cha kupoteza.
Kumpata wa hivyo yawe mambo ya dini sio hilo, kumbuka hii kazi huiwezi kufanya bure
 
  • Thanks
Reactions: apk
CCM pamoja na ujinga wao wote hawatathubutu kuanzisha mgogoro wa kidiplomasia na Marekani kwa sasa. Mange akiuliwa Marekani kwa mipango ya kiCCM watampeleka Johari wenyewe kwa mikono yao katika magereza ya Marekani.
Watamtoa kafara 😂😂💔
 
Back
Top Bottom