Ni mpaka mtoke huko shimoni na kuizunguka dunia ndio mtajua haya mambo...Yaani mtu wa Mchambawima apange mauaji ya raia wa Marekani. Kisa maagizo aliyopewa Johari?
Hawa hawa wasiojua hata hesabu za kura, ndio wasafirishe Mmexico aingie States kisha amalize mauaji wamrudishe kwao. Mnaichukulia Marekani kama Tandale kwa Tumbo si ndio? 😂
Fanya hivyo uone kama hao akina Mombo hawajakanwa hata Utanzania wao kwa blunder mbovu namna hiyo.
Mrusi kila siku anawinda target iwe Spain, UK, au Germany....
Na mzee MODI alieenda mbali akaifanya kazi iliyokamilika ndani ya Canada...
The Attacks on Sikh Separatists That Rocked India’s Relations With the West
The inside story of how two alleged murder plots brought India, the US and Canada to a diplomatic crisis.