Ni mtazamo wangu kuwa kubwa la maadui la taifa hili,ndiyo hatari zaidi kuliko hako katoto ka afuu mbili,Taifa tufanye mambo ya msingi kwa taifa tuachane na mambo ya kitoto.Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!
Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana!
Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi!
Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!
Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe!
Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!
Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
Huo ndio ukweli, ila ndio hivyo kuna watu wameshajitoa mhanga, lengo likiwa ni kutojali chochote kitakachompata mhusika.atakayempiga naye hatatoka marekani. so atakuwa hajafaidika maana naye atapata sawa na alichofanya
pia kwa kuwa nia ovu imeshajulikana basi ukubwa wa tatizo unazidi!
Samia ana watu wajinga sana wanaomzunguka! wanawaza hela tu
ila bado kidogo tu CCM wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
Huyo atakayefanya hiyo kazi Hana cha kupoteza! Ili mradi lengo litimie kama wale wahuni waliokuwa wanapigwa watu shabaha mtaani na majumbani mwao, wale hawana cha kupoteza.Kumbuka aliyempiga Trump hakuchukua muda akawa ameagana na nchi yake
Hakuna namna ya kubaki salama. Hata akijilipua na kubaki majivu CCTV camera zitamnasa. Watafatilia kuanzia alipotoka mpaka kuipata chain nzima ya waliomtuma.Huyo atakayefanya hiyo kazi Hana cha kupoteza! Ili mradi lengo litimie kama wale wahuni waliokuwa wanapigwa watu shabaha mtaani na majumbani mwao, wale hawana cha kupoteza.
Waambie hao Akina Abdul, WAACHE Huwa Upumbavu wao mara Moja.Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!
Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!
Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe! Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!
Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
Siyo kwa Marekani.....Rostam azizi na ushenzi wake wote akithubutu kuleta upumbavu USA itakuwa kwisha habari yake ...Rostam azizi anaweza kuonga wahalifu wauza ngada nk ...wa kimataifa kumuua mange ila mwisho wa siku serikali ya Marekani itambaini tu na kumshikaYes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!
Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!
Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe! Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!
Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
Jidanganye unadhani marekani ni nyarugusu unaingia tu?Hawa wanaitw El Sicario wanalipwa wakiwa Mexico, anaingizwa US kwa njia za panya kikazi , halafu anarudishwa Mexico baada ya kazi....
View attachment 3498383
Yaani mtu wa Mchambawima apange mauaji ya raia wa Marekani. Kisa maagizo aliyopewa Johari?Hawa wanaitw El Sicario wanalipwa wakiwa Mexico, anaingizwa US kwa njia za panya kikazi , halafu anarudishwa Mexico baada ya kazi....
View attachment 3498383
Kumpata wa hivyo yawe mambo ya dini sio hilo, kumbuka hii kazi huiwezi kufanya bureHuyo atakayefanya hiyo kazi Hana cha kupoteza! Ili mradi lengo litimie kama wale wahuni waliokuwa wanapigwa watu shabaha mtaani na majumbani mwao, wale hawana cha kupoteza.
Umeshawahi kutoka nje ya Tanzania na angalau kufika hata Burundi ?Jidanganye unadhani marekani ni nyarugusu unaingia tu?
Hata km, sio kwa hivyo, kuwa kwako State's usitake kutuchota waja hapa. Lol.Umeshawahi kutoka nje ya Tanzania na angalau kufika hata Burundi ?
Watamtoa kafara πππCCM pamoja na ujinga wao wote hawatathubutu kuanzisha mgogoro wa kidiplomasia na Marekani kwa sasa. Mange akiuliwa Marekani kwa mipango ya kiCCM watampeleka Johari wenyewe kwa mikono yao katika magereza ya Marekani.