Ni mpaka mtoke huko shimoni na kuizunguka dunia ndio mtajua haya mambo...Yaani mtu wa Mchambawima apange mauaji ya raia wa Marekani. Kisa maagizo aliyopewa Johari?
Hawa hawa wasiojua hata hesabu za kura, ndio wasafirishe Mmexico aingie States kisha amalize mauaji wamrudishe kwao. Mnaichukulia Marekani kama Tandale kwa Tumbo si ndio? π
Fanya hivyo uone kama hao akina Mombo hawajakanwa hata Utanzania wao kwa blunder mbovu namna hiyo.
Dada yangu Coca wala siwachoti...Hata km, sio kwa hivyo, kuwa kwako State's usitake kutuchota waja hapa. Lol.
πππππ
MmmhDada yangu Coca wala siwachoti...
Mnawapa umuhimu na ukuu usiokuwa na halisi kwa nchi za wazungu...
Border ya Mexico na US ni kama taifa linalojitegemea na lenye mamlaka yake yenyewe chini ya Cartels...hata serikali ya Mexico imeshindwa yenyewe...
Kila muda US wanakuja kushtuka kuna tunnels zinapita boda kwa boda watu wanaibukia US...
Tunnel discovered on US-Mexico border is longest ever, authorities say
Sophisticated passageway includes an extensive rail-cart system, a drainage system and an elevatorwww.theguardian.com
Na hili jingine...Mmmh
Mpk Mange akauawe mama atakuwa amesahaulika. Maana mipango iliyopo ni asfike muungano day.una vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
Hilo la mhusika kukamatwa na yeye au kuuwawa pia siyo ishu tena! Kinacholengwa ni kummaliza Mange tu, matokeo ya baadae hakuna anayejali kwa sasa!Ccm huwa mnatia huruma sana kwa namna msivyo na akili ya utambuzi.
Ukaue raia wa marekani na bado utoke Marekani salama salimini?
Toka nianze kusikia mauaji huko kila.mtu aliyehusika hukamatwa au kuuawa muda mfupi.
Hili mkilifanya basi mtegemee kukamatwa wote
Sinema zimandikwa script acha kufikiri kama unaangalia Queen of the south au OzarkHawa wanaitw El Sicario wanalipwa wakiwa Mexico, anaingizwa US kwa njia za panya kikazi , halafu anarudishwa Mexico baada ya kazi....
View attachment 3498383
Ya kwwli haya au mnatupa matumaini hewa na nyie,,Mpk Mange akauawe mama atakuwa amesahaulika. Maana mipango iliyopo ni asfike muungano day.
Atayemuua watamkamata na chain yote ya waliomtuma itakamatwa sasa ndo wawepo hao viongozi wenu wafungwe kuanzia rais unafikiri wale ni tiss au policcmYes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!
Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe ya kimya kimya ama hadharani!
Ikumbukwe Marekani watu wanapigwa shaba mchana kweupe! Hapa inakumbukwa hata Trump alikoswa na risasi hadharani!
Kwa gharama yoyote kwa Mange huo ndio mpango uliopo, atajilinda vipi atajua!
Kuna vichaa tayari wamekwisha Anza mchakato na Hilo hata kama ni baada ya miezi/mwaka!
..........
Samahani mkuu, wewe ni mwendawazimu si ndio?Ni mpaka mtoke huko shimoni na kuizunguka dunia ndio mtajua haya mambo...
Mrusi kila siku anawinda target iwe Spain, UK, au Germany....
Na mzee MODI alieenda mbali akaifanya kazi iliyokamilika ndani ya Canada...
The Attacks on Sikh Separatists That Rocked Indiaβs Relations With the West
The inside story of how two alleged murder plots brought India, the US and Canada to a diplomatic crisis.www.bloomberg.com
Wewe sio wa mimi kupoteza muda wangu kubishana ujinga, huna expose yoyote kuhusu maisha ya waafrika nje ya nchi zao....Samahani mkuu, wewe ni mwendawazimu si ndio?
Unalinganisha kinachofanywa na Urusi eti kinaweza fanywa na nchi ya Nywinywinywi. Uko sawa kweli
Anataka kutupiga na kitu kizito huyu πHata km, sio kwa hivyo, kuwa kwako State's usitake kutuchota waja hapa. Lol.
πππππ