Mange Kimambi kukamatwa hapana, lipo kubwa zaidi ya kukamatwa

Hata mimi ndivyo ninavyoona.Ila kabla hawajamuua Mange,huyo Samia atakufa so watachanganywa na issue ya kumuua Mange itaishia hapo hapo.Mange kama anavyosema yeye ni kijukuu cha mtume
Samuya afeje sasa ....
 
Soon atazimwa tu ni swala la muda
Wewe kidada unashabikia sana mauaji siku hizi, umekuwa na roho ya kishetani kama ya lile shetani jike la kizanzibar..

Yaan ushabiki wooote huu kisa tu samia ni mvaa ushungi mwenzio na amekupa ajira sio?

Utakufa vibaya sana mbwa wewe, na huyo mange utamuacha anatamba.
 
Unafikiri na Marekani ni banana republic kama ilivyo Tanzagiza ambayo mnaweza mkaingiza tu wahuni kuja kuua maelfu watanganyika na wakatoka salama?
Kwani wewe unaishi US, tuanzie hapo kwanza?
Unajua mpaka leo, yaani kuanzia mwaka mwanzo 2025 watu wa bara la amerika ya kusini wangapi wameshaingia US kwa njia za panya?
 
Samahani mkuu, wewe ni mwendawazimu si ndio?

Unalinganisha kinachofanywa na Urusi eti kinaweza fanywa na nchi ya Nywinywinywi. Uko sawa kweli
Huyu mjinga anaifananisha Russia na Tanzagiza katika kufanikisha mission za kimafia.

Anafikiri labda FSB/KGB imejaa vilaza kama TISS yao inayotekeleza mission zao kwa maelekezo ya Abdul
 
Kwani wewe unaishi US, tuanzie hapo kwanza?
Unajua mpaka leo, yaani kuanzia mwaka mwanzo 2025 watu wa bara la amerika ya kusini wangapi wameshaingia US kwa njia za panya?
Ndio niko US hapa North Carolina, mtaa wa Chapel Hill.

Hebu niambie idadi ya watu waliongia US kupitia njia hizo za panya, na mimi nikwambie idadi ya wahamiaji haramu kutoka amerika ya kusini waliorudishwa nchini kwao na serikali ya Trump kwa mwaka huu tu.

Na pia kwa hizi comments zako unakubali kuwa serikali yako ni genge la wahuni wasiokuwa na maarifa yoyote, maana inataka kutumia njia za kihuni kudeal na Mange?
 
Hahaha pole sana!
Wewe ongea uongeavyo hautabadilisha chochote
 
Hahaha pole sana!
Wewe ongea uongeavyo hautabadilisha chochote
Trust me wewe na shetani mwenzio samuya hamfiki 2027 kabla hamjafukiwa na watu kufanya sherehe kubwa.

Wewe utakufa kwa ajali, samuya atakufa kifo cha utata kama mtangulizi wake.
 
Maybe us intelligence community waanhalie pembeni else ni ngumu kumfikia

Kupigwa risas us si tukio la kushangaza. Lakin si kwa wale hvt amba america ina interest nao those hutowafikia
 
Trust me wewe na shetani mwenzio samuya hamfiki 2027 kabla hamjafukiwa na watu kufanya sherehe kubwa.

Wewe utakufa kwa ajali, samuya atakufa kifo cha utata kama mtangulizi wake.
Hahaha 😆 unateseka ukiwa wapi?
 
Jinsi ulivyo mweupe kwenye haya mambo, unadhani tatizo ni Mange kuuwawa. Na hapo unazidisha kudhihirisha kuwa hujui lolote kwenye usalama, mwanzo ulianza kulinganisha kinachofanywa na FSB kikawezekana, ukadai eti kitawezekana kwa TISS hawa wanaolewa vilabuni na kunyoosha silaha za moto kugombania mademu.

Kwenye masuala ya usalama hatuangalii action pekee, tunatazama reaction na impact. Matokeo ya Mange mwenye uraia wa Marekani kuuwawa yana madhara makubwa mno kuliko matokeo ya Mange kuisema serikali hata kwa miaka 10.

Urusi ina uwezo wa kijasusi, kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia kutekeleza jambo lake ndani ya UK, USA au popote na ikasalimika kwa kuwekewa vikwazo au kupigiwa kelele. Wewe nchi yako hadi vyoo inajengewa na wazungu, usalama wake ndio hawa wa unanijua mimi nani, unataka kusema ina uwezo wa kuhimili majibu ya Marekani pale raia wake anapoguswa?

Hao kina Mombo wakiruhusu huo ujinga utaona watakavyoanza kukondeana na kuishi kama digidigi. Sisi kujitutumua kuishie huku Namtumbo na Kisiwandui, sio hadi Massachusetts.
 
Ndio maana wabongo wengi wanashindwa vitu vidogo sana kama maombi ya kazi au shule nje ya nchi aidha wanaujuaji mwingi au hawajui nini kinachotahiniwa na kuamua kulopokalopoka utumbo tu.
Swali: Ni wapi nimewataja TISS, na huyo Mombo kuwa watajihusisha na huo mpango ?
Unawaingiza kwenye mada ili uonekane una cha kujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…