Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Sabato Njema!

1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically

2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.

3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.

4. Lakini ukiangalia kimedani, mbinu wanazozitumia ni Mbinu za kijeshi za mapinduzi hatari ambayo hata wanaopindua nchi kwa mtutu wanasubiri, yaani wanaafadhali.

5. Mange na wenzake na hapa naona Wanawake wakiwa mstari wa mbele, Huku Mange Kimambi, kule Maria Sarungi, kushoto, Hilda Newton, juu Rachel Dangwa. Wote ni wanawake. Kila mmoja akiwa na style yake.

6. Hawa wanafanya mapinduzi ya fikra, wanazipindua fikra na akili za vijana huku wakichochea hasira, chuki, na nguvu ya vijana maskini kuona kwamba hawastahili kuwa masking

7. Katika Mapinduzi kuna Mauaji na umwagaji wa damu.
Mange kimambi wanafanya Character assassination kwa kiwango cha kutisha.

8. Kila jina litakaloingia katika mdomo wa Mange Kimambi linaenda kuchafuka na mhusika anajikuta akiwa ameuawa vibaya Character yake.
Kimedani kuna Msemo usemao,
If you loose money, you loose nothing.
If you loose health, you loose something
But if you loose character, you loose everything.

9. Ndicho Anachofanya Mange Kimambi kuua Adui zake character zao. Kuwapotezea Kila kitu.

10. Unajua mtu akishakuua character yako unakuwa haujabakiwa na kitu chochote. Unachanganyikiwa.

11. Kimedani mpaka sasa Mange Kimambi kama ingekuwa ni vita vile vya Kingdoms kama kwenye filamu basi yeye angekuwa jemadari heavy weight.

12. Miaka zaidi ya 10 sasa hakuna askari wa kiwango chake katika uwanja wa vita huko mtandaoni.

13. Na yeyote anayejiingiza kwenye mapambano anajikuta katika kuuawa Character. Jambo ambalo wengi wanaogopa kujiingiza katika mapambano naye.

14. Level aliyofikia Mange Kimambi, na kikosi chake imefikia hawezi shambulia mtu wa kawaida. Hii inawafanya wasipoteze nguvu nyingi bila sababu.
Wanarusha vyuma kwa viongozi wenye nafasi za juu tuu. Na sio Kila anayejitokeza.

15. Kama hii vita Wanaharakati watashinda. Mange Kimambi na kikosi chake atakuwa miongoni mwa wanawake watakaokumbukwa na historia na mchango wa wanawake hodari atakuwa mmojawao.

16. Ikiwa Hatashinda vita, basi historia itaandikwa kuwa alikuwa mwanamke mwenye sifa mbaya. Kama mjuavyo mshindi wa vita ndiye anayestahili kuandika historia. Au tuseme Mshindi ndiye huandika historia.

17. Fikiria Mange Kimambi angeongezewa power kidogo walau ya kusapoti hao vijana wake kifedha au silaha. Unafikiri ingekuwaje?
Kama sasa hana uwezo lakini ushawishi wake umemfanya awe juu Mahali ambapo hakuna yeyote kati ya adui zake anayeweza kufikia tawi lake.

18. Mange alichofanikiwa ni kumudu kutumia udhaifu wa adui zake na kuugeuza kama silaha.
Alafu Adui zake wanaudhaifu wa kuonyesha madhaifu yao.

Nawatakia Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Huyo Binti ni stupid vijana watumie akili zao sawasawa

Akili za kuwekewe sio nzuri.

Kwenye maisha yako ukiona wewe unaakili alafu mtu unayemuona ni stupid watu wanamfuaya ujue wewe ndiye stupid.

Kwenye mahusiano,
Ukiwa unaona wewe ni kijana handsome alafu mabinti hawakutaki wala kukufuata, wanamfuata kijana unayemuona wa hovyo. Ujue Una lack jambo kubwa Sana ambalo wanawake wanalitaka kwa mwanaume.

Hivyo ndivyo ukweli unavyoishi.
Ukweli haupo kwenyw mtazamo au Imani ya mtu au watu. Ukweli upo kwenye Hali halisi
 
Wewe ni mpumbavu sana.

Una unafiki wa njenje, unajifanyaga leo hivi kesho unakuwa hivi, hio yote kukusanya wajinga waliobaki.

Tunakujua wewe rangi yako halisi na upande gani upo fala wewe

Usidhani uandishi wako ndio conclusion ya kila jambo la maana

Hata watoto wanajua kupaka rangi ila bado ni watoto.

Wewe ni mpumbavu, hakuna unachojua, hakuna utakachoelewa maana wewe ni mpumbavu.

Kalale tena kesho uandike upumbavu, manina wewe
 

πŸ˜†
 
Tatizo lako ni mnafiki na muongo

Yani wewe na huyo Binti hamna tofauti.
 
Mtibelii mwenyewee, kwenye 1 na 2.
 
Hao wadada hata robo uwafikii commitment yao.

Kwamaana hauna cha maana kuwaziid sasa utawa attack kuwa disprove huku ukiwa unakula mandazi na kuwanya kwako alafu uktooka hapo eti kidume unaenda kuandika kmdiss mdada.

Wewe ni mpumbavu, wewe ni mpumbavu, weww ni mpumbavu

Hata nguruwe ukimwekea kalamu mdomoni ataandika kwenye karatasi sembuse wewe mpumbavu.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚ Unywe maji mzee hormone imbalance isikuathiri
 
Unafiki wangu ni nini kwenye hiyo mada?

Naamini unaweza kuelezea kilichomo kichwani mwako kikaeleweka kama hoja.
Wewe na huyo Binti hamna tofauti.

Point yangu ni kwamba Akili za kuwekewe sio nzuri

huyo Binti ni stupid sana mwangalie kwa mtazamo wa tofauti vinginevyo utabakia kusema mange ni Jemedari
 
WEWE NI MPUMBAVU

WEWE NI MPUMBAVU

WEWE NI MPUMBAVU.

wapumbavu wa aina yako ndio watakaokuelewa, wajinga ndio watakapkuelewa.

Wewe ni chakula ya wauaji, wanyama na wasio kuwa na utu.

Wewe ni faida ya wanyang'anyi

KUpata wa kutype utumbo unadhani una philosophy bali ni ungese umekaajaaa.
 
Wee em ulale upumzike, nini hiki sasa unaandika hapa? Khaah
 
Tupishe bana weee, wachafuliwe kwani si wananchi vipofu? Hatuoni yanayoendelea? 🀬🀬😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…