Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Awe mwangalifu watammaliza wanasiasa, kukaa huko USA sio kwamba yupo mawinguni anaishi duniani hapa hapa.mO29 nilifikiri kama wewe. Lakini sasa ninamtazamo tofauti.
Ilimradi Mange yu hai hii mechi atashinda. Umri wake unamruhusu kama akipewa miaka 20 mbele