Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Shida tu nanauka kawauza hata uandike vip hulambi kitu
Kula za maji tu tunakuona unavyo switch na muda
Toa tako ule uteuz kama wenzio
 
Sabato Njema!

1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically

2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.

3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.

4. Lakini ukiangalia kimedani, mbinu wanazozitumia ni Mbinu za kijeshi za mapinduzi hatari ambayo hata wanaopindua nchi kwa mtutu wanasubiri, yaani wanaafadhali.

5. Mange na wenzake na hapa naona Wanawake wakiwa mstari wa mbele, Huku Mange Kimambi, kule Maria Sarungi, kushoto, Hilda Newton, juu Rachel Dangwa. Wote ni wanawake. Kila mmoja akiwa na style yake.

6. Hawa wanafanya mapinduzi ya fikra, wanazipindua fikra na akili za vijana huku wakichochea hasira, chuki, na nguvu ya vijana maskini kuona kwamba hawastahili kuwa masking

7. Katika Mapinduzi kuna Mauaji na umwagaji wa damu.
Mange kimambi wanafanya Character assassination kwa kiwango cha kutisha.

8. Kila jina litakaloingia katika mdomo wa Mange Kimambi linaenda kuchafuka na mhusika anajikuta akiwa ameuawa vibaya Character yake.
Kimedani kuna Msemo usemao,
If you loose money, you loose nothing.
If you loose health, you loose something
But if you loose character, you loose everything.

9. Ndicho Anachofanya Mange Kimambi kuua Adui zake character zao. Kuwapotezea Kila kitu.

10. Unajua mtu akishakuua character yako unakuwa haujabakiwa na kitu chochote. Unachanganyikiwa.

11. Kimedani mpaka sasa Mange Kimambi kama ingekuwa ni vita vile vya Kingdoms kama kwenye filamu basi yeye angekuwa jemadari heavy weight.

12. Miaka zaidi ya 10 sasa hakuna askari wa kiwango chake katika uwanja wa vita huko mtandaoni.

13. Na yeyote anayejiingiza kwenye mapambano anajikuta katika kuuawa Character. Jambo ambalo wengi wanaogopa kujiingiza katika mapambano naye.

14. Level aliyofikia Mange Kimambi, na kikosi chake imefikia hawezi shambulia mtu wa kawaida. Hii inawafanya wasipoteze nguvu nyingi bila sababu.
Wanarusha vyuma kwa viongozi wenye nafasi za juu tuu. Na sio Kila anayejitokeza.

15. Kama hii vita Wanaharakati watashinda. Mange Kimambi na kikosi chake atakuwa miongoni mwa wanawake watakaokumbukwa na historia na mchango wa wanawake hodari atakuwa mmojawao.

16. Ikiwa Hatashinda vita, basi historia itaandikwa kuwa alikuwa mwanamke mwenye sifa mbaya. Kama mjuavyo mshindi wa vita ndiye anayestahili kuandika historia. Au tuseme Mshindi ndiye huandika historia.

17. Fikiria Mange Kimambi angeongezewa power kidogo walau ya kusapoti hao vijana wake kifedha au silaha. Unafikiri ingekuwaje?
Kama sasa hana uwezo lakini ushawishi wake umemfanya awe juu Mahali ambapo hakuna yeyote kati ya adui zake anayeweza kufikia tawi lake.

18. Mange alichofanikiwa ni kumudu kutumia udhaifu wa adui zake na kuugeuza kama silaha.
Alafu Adui zake wanaudhaifu wa kuonyesha madhaifu yao.

Nawatakia Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kila mwenyewe macho asome namba 17. Aisee msije makleta taharuki baadaye tu. Maana haya mambo haya
 
Robert Heriel Mtibeli wala sikutukani ninakurekebisha kweli mangi ni mchochezi na mwaribifu. Hajawahi kuongea kitu bila kushurutisha maandamano, nakuwahamasisha vijana wakafanye fujo na huku .
Watoto wake wapo nje wametulia wanasoma na mwingine kaolewa.
Sai yeye ni anamjukuu na wakati tarehe 29 aliwafanya wenzake kufa.

Kingine rachael hajawahi kumshurutisha mtu kuandamana so kwa hilo uache uongoo.

Jingine kweli sio wewe tu mangi anaboa na anachosha kwanini yeye uwaharibu mindset ya vijana ambao bado kufanya uharibifu ni kawaida
 
Robert Heriel Mtibeli wala sikutukani ninakurekebisha kweli mangi ni mchochezi na mwaribifu. Hajawahi kuongea kitu bila kushurutisha maandamano, nakuwahamasisha vijana wakafanye fujo na huku .
Watoto wake wapo nje wametulia wanasoma na mwingine kaolewa.
Sai yeye ni anamjukuu na wakati tarehe 29 aliwafanya wenzake kufa.

Kingine rachael hajawahi kumshurutisha mtu kuandamana so kwa hilo uache uongoo.

Jingine kweli sio wewe tu mangi anaboa na anachosha kwanini yeye uwaharibu mindset ya vijana ambao bado kufanya uharibifu ni kawaida

Mange yeye anadai yupo kwenye mapambano ya Haki na kutetea nchi yake. Na nikuambie tuu vijana wanamkubali wengi wao
 
Mamluki mpo huko siasani. Mnauzana wenyewe kwa wenyewe.
Wachungaji wa mshahara.

Leo mpo CCM Kesho Chadema,

Mkuu Mimi sitabishana na wewe katika hili.

Mtu yeyote mwenye ushawishi wa kitaifa huwezi muita stupid.
Mtu ambaye jina lake lipo meza za wakubwa kumuita Stupid ni kutotumia akili yako vizuri.

Mtu ambaye anauwezo wa kuwaambia watu kwa maelfu wafanya hivi na wakafanya huo sio stupid, sio mwenzakl. Amekuzidi mambo mengi.

Zamani nilikuwa namchukulia kama wewe kwa sababu nilikuwa na mhukumu kwa morality perspective. Kutokana na tabia zake za matusi.
Lakini nilipobadili mtazamo nikaupeleka kisiasa na vita vya mtandaoni, harakati nikagundua sio vile nilivyokuwa namuona.

Nikuambie tuu, hakuna mtawala hata mmoja ambaye anamchukulia Mange kama stupid, mjinga au mwendawazimu. Wanampa uzito kuliko ambavyo wangekupa wewe na mimi
 
Mnashindwa kumuelewa huyu ndugu anayeng'ata na kupuliza.

Huyu ni msaka fursa kwa mgongo wa siasa za kichawa na kujipendekezeza kwa serikali kupitia maandiko yake.

Wakati huo huo hataki pia kuonekana yupo 100% against wananchi.

Yote hiyo ni kuwinda fursa kama vile teuzi za kisiasa na kupewa pesa taslimu.
 
Mnashindwa kumuelewa huyu ndugu anayeng'ata na kupuliza.

Huyu ni msaka fursa kwa mgongo wa siasa za kichawa na kujipendekezeza kwa serikali kupitia maandiko yake.

Wakati huo huo hataki pia kuonekana yupo 100% against wananchi.

Yote hiyo ni kuwinda fursa kama vile teuzi za kisiasa na kupewa pesa taslimu.

Hivi ndivyo wanasiasa na wafuasi wengi wa wanasiasa mnavyofikiria. Sishangai mkihusisha mitazamo yenu na watu wengine.

Wanasiasa karibu wote lengo lenu sio kumsaidia mwananchi bali lengo lenu nikushika Dola..

Kwa sababu kumsaidia mwananchi sio lazima uwe na Dola
 
Watu wanapenda kusikia kile wanachopenda wao au kile ambacho wanaona kinawabeba kwa upande wao.
Mkuu simamia hapo hapo na endelea kupiga kotekote bila kuonesha upande. Wenye siasa zao wataendelee kulia na kufurahi kwa zamu.
 
Kwenye maisha yako ukiona wewe unaakili alafu mtu unayemuona ni stupid watu wanamfuaya ujue wewe ndiye stupid.

Kwenye mahusiano,
Ukiwa unaona wewe ni kijana handsome alafu mabinti hawakutaki wala kukufuata, wanamfuata kijana unayemuona wa hovyo. Ujue Una lack jambo kubwa Sana ambalo wanawake wanalitaka kwa mwanaume.

Hivyo ndivyo ukweli unavyoishi.
Ukweli haupo kwenyw mtazamo au Imani ya mtu au watu. Ukweli upo kwenye Hali halisi
Umempa za uso na harudii tena. Kwenye character assassination... Samia na genge lake ndiyo wame/wanaji-assassinate wenyewe. Wanachofanya hao uliwataja ni ku-expose uovu wao tu.
 
Wewe ni mpumbavu sana.

Una unafiki wa njenje, unajifanyaga leo hivi kesho unakuwa hivi, hio yote kukusanya wajinga waliobaki.

Tunakujua wewe rangi yako halisi na upande gani upo fala wewe

Usidhani uandishi wako ndio conclusion ya kila jambo la maana

Hata watoto wanajua kupaka rangi ila bado ni watoto.

Wewe ni mpumbavu, hakuna unachojua, hakuna utakachoelewa maana wewe ni mpumbavu.

Kalale tena kesho uandike upumbavu, manina wewe
Tunachukulia haya ndio mawazo yako, maana kila mmoja yupo huru kutoa mawazo yake.🤣🤣🤣
 
Hao wadada hata robo uwafikii commitment yao.

Kwamaana hauna cha maana kuwaziid sasa utawa attack kuwa disprove huku ukiwa unakula mandazi na kuwanya kwako alafu uktooka hapo eti kidume unaenda kuandika kmdiss mdada.

Wewe ni mpumbavu, wewe ni mpumbavu, weww ni mpumbavu

Hata nguruwe ukimwekea kalamu mdomoni ataandika kwenye karatasi sembuse wewe mpumbavu.
Mh!
Au we ndo Mange mwenyewe nini!!
Mbona povu!?
 
Back
Top Bottom