Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Sabato Njema!

1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically

2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.

3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.

4. Lakini ukiangalia kimedani, mbinu wanazozitumia ni Mbinu za kijeshi za mapinduzi hatari ambayo hata wanaopindua nchi kwa mtutu wanasubiri, yaani wanaafadhali.

5. Mange na wenzake na hapa naona Wanawake wakiwa mstari wa mbele, Huku Mange Kimambi, kule Maria Sarungi, kushoto, Hilda Newton, juu Rachel Dangwa. Wote ni wanawake. Kila mmoja akiwa na style yake.

6. Hawa wanafanya mapinduzi ya fikra, wanazipindua fikra na akili za vijana huku wakichochea hasira, chuki, na nguvu ya vijana maskini kuona kwamba hawastahili kuwa masking

7. Katika Mapinduzi kuna Mauaji na umwagaji wa damu.
Mange kimambi wanafanya Character assassination kwa kiwango cha kutisha.

8. Kila jina litakaloingia katika mdomo wa Mange Kimambi linaenda kuchafuka na mhusika anajikuta akiwa ameuawa vibaya Character yake.
Kimedani kuna Msemo usemao,
If you loose money, you loose nothing.
If you loose health, you loose something
But if you loose character, you loose everything.

9. Ndicho Anachofanya Mange Kimambi kuua Adui zake character zao. Kuwapotezea Kila kitu.

10. Unajua mtu akishakuua character yako unakuwa haujabakiwa na kitu chochote. Unachanganyikiwa.

11. Kimedani mpaka sasa Mange Kimambi kama ingekuwa ni vita vile vya Kingdoms kama kwenye filamu basi yeye angekuwa jemadari heavy weight.

12. Miaka zaidi ya 10 sasa hakuna askari wa kiwango chake katika uwanja wa vita huko mtandaoni.

13. Na yeyote anayejiingiza kwenye mapambano anajikuta katika kuuawa Character. Jambo ambalo wengi wanaogopa kujiingiza katika mapambano naye.

14. Level aliyofikia Mange Kimambi, na kikosi chake imefikia hawezi shambulia mtu wa kawaida. Hii inawafanya wasipoteze nguvu nyingi bila sababu.
Wanarusha vyuma kwa viongozi wenye nafasi za juu tuu. Na sio Kila anayejitokeza.

15. Kama hii vita Wanaharakati watashinda. Mange Kimambi na kikosi chake atakuwa miongoni mwa wanawake watakaokumbukwa na historia na mchango wa wanawake hodari atakuwa mmojawao.

16. Ikiwa Hatashinda vita, basi historia itaandikwa kuwa alikuwa mwanamke mwenye sifa mbaya. Kama mjuavyo mshindi wa vita ndiye anayestahili kuandika historia. Au tuseme Mshindi ndiye huandika historia.

17. Fikiria Mange Kimambi angeongezewa power kidogo walau ya kusapoti hao vijana wake kifedha au silaha. Unafikiri ingekuwaje?
Kama sasa hana uwezo lakini ushawishi wake umemfanya awe juu Mahali ambapo hakuna yeyote kati ya adui zake anayeweza kufikia tawi lake.

18. Mange alichofanikiwa ni kumudu kutumia udhaifu wa adui zake na kuugeuza kama silaha.
Alafu Adui zake wanaudhaifu wa kuonyesha madhaifu yao.

Nawatakia Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mange Kimambi na kundi lake wanapata NGUVU kwasababu moja watawala wote ni MAZWAZWA wa FIKRA wanaodhani matatizo yote hutatuliwa kwa NGUVU za MAUAJI, UTEKAJI, RUSHWA, LAW WARFARE na UPORAJI.

Unaposhindwa kutatua matatizo yako ndani, ujue kabisa watu wa NJE wanapata nguvu.
 
Kwenye maisha yako ukiona wewe unaakili alafu mtu unayemuona ni stupid watu wanamfuaya ujue wewe ndiye stupid.

Kwenye mahusiano,
Ukiwa unaona wewe ni kijana handsome alafu mabinti hawakutaki wala kukufuata, wanamfuata kijana unayemuona wa hovyo. Ujue Una lack jambo kubwa Sana ambalo wanawake wanalitaka kwa mwanaume.

Hivyo ndivyo ukweli unavyoishi.
Ukweli haupo kwenyw mtazamo au Imani ya mtu au watu. Ukweli upo kwenye Hali halisi
Lazima ujiulize Kwa nini wanamkubali na wewe hawakukubali!Kutupa lawama kwake,huenda nao ni udhaifu kwako!
 
Hao wadada hata robo uwafikii commitment yao.

Kwamaana hauna cha maana kuwaziid sasa utawa attack kuwa disprove huku ukiwa unakula mandazi na kuwanya kwako alafu uktooka hapo eti kidume unaenda kuandika kmdiss mdada.

Wewe ni mpumbavu, wewe ni mpumbavu, weww ni mpumbavu

Hata nguruwe ukimwekea kalamu mdomoni ataandika kwenye karatasi sembuse wewe mpumbavu.
Mbona umemeza heater mkuu!Changia Hoja mezani.
 
Wewe ni mpumbavu sana.

Una unafiki wa njenje, unajifanyaga leo hivi kesho unakuwa hivi, hio yote kukusanya wajinga waliobaki.

Tunakujua wewe rangi yako halisi na upande gani upo fala wewe

Usidhani uandishi wako ndio conclusion ya kila jambo la maana

Hata watoto wanajua kupaka rangi ila bado ni watoto.

Wewe ni mpumbavu, hakuna unachojua, hakuna utakachoelewa maana wewe ni mpumbavu.

Kalale tena kesho uandike upumbavu, manina wewe
Hili povu looote ni kwakua kaleta mada usiyopenda kuisikia wala kuiona!! 🤣🤣🤣🤣
 
Mange Kimambi na kundi lake wanapata NGUVU kwasababu moja watawala wote ni MAZWAZWA wa FIKRA wanaodhani matatizo yote hutatuliwa kwa NGUVU za MAUAJI, UTEKAJI, RUSHWA, LAW WARFARE na UPORAJI.

Unaposhindwa kutatua matatizo yako ndani, ujue kabisa watu wa NJE wanapata nguvu.

Sahihi Kabisa.
Na consistency ya Mange Kimambi inampa nafasi ya kuwapeleka maadui zake kilindini kwenye kina kirefu
 
Sabato Njema!

1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically

2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.

3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.

4. Lakini ukiangalia kimedani, mbinu wanazozitumia ni Mbinu za kijeshi za mapinduzi hatari ambayo hata wanaopindua nchi kwa mtutu wanasubiri, yaani wanaafadhali.

5. Mange na wenzake na hapa naona Wanawake wakiwa mstari wa mbele, Huku Mange Kimambi, kule Maria Sarungi, kushoto, Hilda Newton, juu Rachel Dangwa. Wote ni wanawake. Kila mmoja akiwa na style yake.

6. Hawa wanafanya mapinduzi ya fikra, wanazipindua fikra na akili za vijana huku wakichochea hasira, chuki, na nguvu ya vijana maskini kuona kwamba hawastahili kuwa masking

7. Katika Mapinduzi kuna Mauaji na umwagaji wa damu.
Mange kimambi wanafanya Character assassination kwa kiwango cha kutisha.

8. Kila jina litakaloingia katika mdomo wa Mange Kimambi linaenda kuchafuka na mhusika anajikuta akiwa ameuawa vibaya Character yake.
Kimedani kuna Msemo usemao,
If you loose money, you loose nothing.
If you loose health, you loose something
But if you loose character, you loose everything.

9. Ndicho Anachofanya Mange Kimambi kuua Adui zake character zao. Kuwapotezea Kila kitu.

10. Unajua mtu akishakuua character yako unakuwa haujabakiwa na kitu chochote. Unachanganyikiwa.

11. Kimedani mpaka sasa Mange Kimambi kama ingekuwa ni vita vile vya Kingdoms kama kwenye filamu basi yeye angekuwa jemadari heavy weight.

12. Miaka zaidi ya 10 sasa hakuna askari wa kiwango chake katika uwanja wa vita huko mtandaoni.

13. Na yeyote anayejiingiza kwenye mapambano anajikuta katika kuuawa Character. Jambo ambalo wengi wanaogopa kujiingiza katika mapambano naye.

14. Level aliyofikia Mange Kimambi, na kikosi chake imefikia hawezi shambulia mtu wa kawaida. Hii inawafanya wasipoteze nguvu nyingi bila sababu.
Wanarusha vyuma kwa viongozi wenye nafasi za juu tuu. Na sio Kila anayejitokeza.

15. Kama hii vita Wanaharakati watashinda. Mange Kimambi na kikosi chake atakuwa miongoni mwa wanawake watakaokumbukwa na historia na mchango wa wanawake hodari atakuwa mmojawao.

16. Ikiwa Hatashinda vita, basi historia itaandikwa kuwa alikuwa mwanamke mwenye sifa mbaya. Kama mjuavyo mshindi wa vita ndiye anayestahili kuandika historia. Au tuseme Mshindi ndiye huandika historia.

17. Fikiria Mange Kimambi angeongezewa power kidogo walau ya kusapoti hao vijana wake kifedha au silaha. Unafikiri ingekuwaje?
Kama sasa hana uwezo lakini ushawishi wake umemfanya awe juu Mahali ambapo hakuna yeyote kati ya adui zake anayeweza kufikia tawi lake.

18. Mange alichofanikiwa ni kumudu kutumia udhaifu wa adui zake na kuugeuza kama silaha.
Alafu Adui zake wanaudhaifu wa kuonyesha madhaifu yao.

Nawatakia Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Tafuta kazi ya kukuingizia kipato ufanye, hii sio kazi! Uchawa haujawahi kuwa kazi lamamaco
 
Uliwahi kuona watu wanafukuzia Mavi au kumfuata chizi muokota matakataka?
Na Siku ukiona hivyo ujue hapo kuna dawa au dhahabu

ninachoamini mimi kwa watu Toxic akina Sarungi na Mange hata wakifanikiwa ajenda zao bado kama taifa hatuwezi kufanikiwa. hao walihamisisha watu wakichafue kwa kujua nini kitafuata mbeleni wakawajaza na kuwadanganya kuwa wao wanatakiwa wakianzishe tu kitaeleweka huku wakijua wazi hakuna kitakachotokea, walichakua wakikitaka wao ni kupata point za kisiasa tu.
 
Kwahiyo Mange na Sarungi wana USHAWISHI mkubwa kuliko CCM wote, na vyombo vya Dola vya kina Mkunda, Wambura na Mombo???

Aibu iliyoje???
 
Back
Top Bottom