Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Kwenye maisha yako ukiona wewe unaakili alafu mtu unayemuona ni stupid watu wanamfuaya ujue wewe ndiye stupid.

Kwenye mahusiano,
Ukiwa unaona wewe ni kijana handsome alafu mabinti hawakutaki wala kukufuata, wanamfuata kijana unayemuona wa hovyo. Ujue Una lack jambo kubwa Sana ambalo wanawake wanalitaka kwa mwanaume.

Hivyo ndivyo ukweli unavyoishi.
Ukweli haupo kwenyw mtazamo au Imani ya mtu au watu. Ukweli upo kwenye Hali halisi

Wapumbavu ni nyie mnaotumia platfotm ambayo mmeifungia kufanya kazi ndani ya Tanzania.
 
Wewe ni mpumbavu sana.

Una unafiki wa njenje, unajifanyaga leo hivi kesho unakuwa hivi, hio yote kukusanya wajinga waliobaki.

Tunakujua wewe rangi yako halisi na upande gani upo fala wewe

Usidhani uandishi wako ndio conclusion ya kila jambo la maana

Hata watoto wanajua kupaka rangi ila bado ni watoto.

Wewe ni mpumbavu, hakuna unachojua, hakuna utakachoelewa maana wewe ni mpumbavu.

Kalale tena kesho uandike upumbavu, manina wewe
Ukweli haukataliwi kwa matusi.
Ukweli haugeuki kuwa uongo kwa kutumia matusi au kumshambulia kwa matusi anaye kueleza ukweli.
Ukweli hugeuka kuwa uongo kwa kuweka hoja za kuthibisha ukweli halisi (facts) ni upi na kuonesha uongo wa hoja za awali uko wapi.
Robert Heriel Mtibeli ni mjumbe tu. Mjumbe hauwawi.
Don't kill the messenger.

Don't hate the player hate the game.
Usimchukie Mange uchukie mchezo wa siasa.
 
Sabato Njema!

1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically

2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.

3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.

4. Lakini ukiangalia kimedani, mbinu wanazozitumia ni Mbinu za kijeshi za mapinduzi hatari ambayo hata wanaopindua nchi kwa mtutu wanasubiri, yaani wanaafadhali.

5. Mange na wenzake na hapa naona Wanawake wakiwa mstari wa mbele, Huku Mange Kimambi, kule Maria Sarungi, kushoto, Hilda Newton, juu Rachel Dangwa. Wote ni wanawake. Kila mmoja akiwa na style yake.

6. Hawa wanafanya mapinduzi ya fikra, wanazipindua fikra na akili za vijana huku wakichochea hasira, chuki, na nguvu ya vijana maskini kuona kwamba hawastahili kuwa masking

7. Katika Mapinduzi kuna Mauaji na umwagaji wa damu.
Mange kimambi wanafanya Character assassination kwa kiwango cha kutisha.

8. Kila jina litakaloingia katika mdomo wa Mange Kimambi linaenda kuchafuka na mhusika anajikuta akiwa ameuawa vibaya Character yake.
Kimedani kuna Msemo usemao,
If you loose money, you loose nothing.
If you loose health, you loose something
But if you loose character, you loose everything.

9. Ndicho Anachofanya Mange Kimambi kuua Adui zake character zao. Kuwapotezea Kila kitu.

10. Unajua mtu akishakuua character yako unakuwa haujabakiwa na kitu chochote. Unachanganyikiwa.

11. Kimedani mpaka sasa Mange Kimambi kama ingekuwa ni vita vile vya Kingdoms kama kwenye filamu basi yeye angekuwa jemadari heavy weight.

12. Miaka zaidi ya 10 sasa hakuna askari wa kiwango chake katika uwanja wa vita huko mtandaoni.

13. Na yeyote anayejiingiza kwenye mapambano anajikuta katika kuuawa Character. Jambo ambalo wengi wanaogopa kujiingiza katika mapambano naye.

14. Level aliyofikia Mange Kimambi, na kikosi chake imefikia hawezi shambulia mtu wa kawaida. Hii inawafanya wasipoteze nguvu nyingi bila sababu.
Wanarusha vyuma kwa viongozi wenye nafasi za juu tuu. Na sio Kila anayejitokeza.

15. Kama hii vita Wanaharakati watashinda. Mange Kimambi na kikosi chake atakuwa miongoni mwa wanawake watakaokumbukwa na historia na mchango wa wanawake hodari atakuwa mmojawao.

16. Ikiwa Hatashinda vita, basi historia itaandikwa kuwa alikuwa mwanamke mwenye sifa mbaya. Kama mjuavyo mshindi wa vita ndiye anayestahili kuandika historia. Au tuseme Mshindi ndiye huandika historia.

17. Fikiria Mange Kimambi angeongezewa power kidogo walau ya kusapoti hao vijana wake kifedha au silaha. Unafikiri ingekuwaje?
Kama sasa hana uwezo lakini ushawishi wake umemfanya awe juu Mahali ambapo hakuna yeyote kati ya adui zake anayeweza kufikia tawi lake.

18. Mange alichofanikiwa ni kumudu kutumia udhaifu wa adui zake na kuugeuza kama silaha.
Alafu Adui zake wanaudhaifu wa kuonyesha madhaifu yao.

Nawatakia Sabato Njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kesi ya Mange kimambi ipo hatua gani kwasasa?
Tunasubiri extraditionary....
 
Hao wadada hata robo uwafikii commitment yao.

Kwamaana hauna cha maana kuwaziid sasa utawa attack kuwa disprove huku ukiwa unakula mandazi na kuwanya kwako alafu uktooka hapo eti kidume unaenda kuandika kmdiss mdada.

Wewe ni mpumbavu, wewe ni mpumbavu, weww ni mpumbavu

Hata nguruwe ukimwekea kalamu mdomoni ataandika kwenye karatasi sembuse wewe mpumbavu.
Mambo mshangazi?
 
MBONA MTIBELI AMEELEWEKA VIZURI.SIJAONA SABABU YA KUMSHAMBULIA.MSICHUKULIE KILA HOJA KIUCHAMA MTAKUWA MNAPOTEZA UWEZO WENU WA KUFIKIRI

Wanasiasa na mashabiki wengi ndio tabia zao hizo. Wala wasikushangaze.

Ogopa watu wenye itikaadi Kali za kisiasa iwe chadema au CCM.
Ogopa watu wa dini wenye imani Kali. Iwe mkristo au muislam.
 
Ukweli haukataliwi kwa matusi.
Ukweli haugeuki kuwa uongo kwa kutumia matusi au kumshambulia kwa matusi anaye kueleza ukweli.
Ukweli hugeuka kuwa uongo kwa kuweka hoja za kuthibisha ukweli halisi (facts) ni upi na kuonesha uongo wa hoja za awali uko wapi.
Robert Heriel Mtibeli ni mjumbe tu. Mjumbe hauwawi.
Don't hate the player hate the game.

Tatizo la watanzania hawautaki ukweli sio CCM sio chadema, sio waislam sio Wakirsto
 
Hii post kiufupi wengi kwenye comments naona kila mmoja anaelewa kivyake.

Watu wa hangaya wanaona kama umempa ukubwa mange, watu wa mange wanaona kama we ni chawa wa hangaya....
Halafu kigumu zaidi ni kwamba we kwenye majibu yako unaonekana upo pande zote.

Ila kwa anayekujua anajua we ni mtu upande wa CCM. Finito
 
Nipo kwenye upande wa Kweli.

Hapa watu wanataka ujadili kulingana na itikadi zao. Uwe upande wao.
Lakini ukweli ni Ukweli haunaga mmiliki.
 
Kwenye maisha yako ukiona wewe unaakili alafu mtu unayemuona ni stupid watu wanamfuaya ujue wewe ndiye stupid.

Kwenye mahusiano,
Ukiwa unaona wewe ni kijana handsome alafu mabinti hawakutaki wala kukufuata, wanamfuata kijana unayemuona wa hovyo. Ujue Una lack jambo kubwa Sana ambalo wanawake wanalitaka kwa mwanaume.

Hivyo ndivyo ukweli unavyoishi.
Ukweli haupo kwenyw mtazamo au Imani ya mtu au watu. Ukweli upo kwenye Hali halisi
Ukiachana na mada,hii comment mtibeli umeamua kutumia akili 🙌🏾
 
Back
Top Bottom