Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #81
Usinipangie ila anza kuaga jf
🤓 Pole sana Mkuu. Huo ubavu unajua huna na hautakuwa nao. Nguvu yako iko chini.
Usinipangie ila anza kuaga jf
Basi tufanye sjui maana ya neno unafiki,Wewe na watanzania wengi ndio mnatatizo la kutojua maana ya maneno.
Sasa hapo unafiki upo wapi?
Unajua maana ya mtu Mnafiki?
Basi tufanye sjui maana ya neno unafiki,
Nijibu hapa have you lost your mind?
Kwanini unakuwa kama panya unang'ata na kupuliza?
Ninachomsifu Mange ni kuamua kufanya ushetani kwa viwango vya juu sana. Mange ni kama kashajitoa mhanga ndo maana kwenye ushetani anaoufanya kaamua kuweka akili yake yote. Huenda pia financier wake anampa noti ndefu. Kwamba kuamini Mange atashinda hii vita yake inabidi uwe na akili za kipumbavu kama zako Mtibeli.
Adui namba moja wa Serikali ya CCM ni Serikali ya CCM yenyewe. Bila Serikali yenyewe kutamalakisha all sorts of injustice, kina Mange wasingekuwa na hoja za kushikia bango!Sabato Njema!
1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically
2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.
3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.
4. Lakini ukiangalia kimedani, mbinu wanazozitumia ni Mbinu za kijeshi za mapinduzi hatari ambayo hata wanaopindua nchi kwa mtutu wanasubiri, yaani wanaafadhali.
5. Mange na wenzake na hapa naona Wanawake wakiwa mstari wa mbele, Huku Mange Kimambi, kule Maria Sarungi, kushoto, Hilda Newton, juu Rachel Dangwa. Wote ni wanawake. Kila mmoja akiwa na style yake.
6. Hawa wanafanya mapinduzi ya fikra, wanazipindua fikra na akili za vijana huku wakichochea hasira, chuki, na nguvu ya vijana maskini kuona kwamba hawastahili kuwa masking
7. Katika Mapinduzi kuna Mauaji na umwagaji wa damu.
Mange kimambi wanafanya Character assassination kwa kiwango cha kutisha.
8. Kila jina litakaloingia katika mdomo wa Mange Kimambi linaenda kuchafuka na mhusika anajikuta akiwa ameuawa vibaya Character yake.
Kimedani kuna Msemo usemao,
If you loose money, you loose nothing.
If you loose health, you loose something
But if you loose character, you loose everything.
9. Ndicho Anachofanya Mange Kimambi kuua Adui zake character zao. Kuwapotezea Kila kitu.
10. Unajua mtu akishakuua character yako unakuwa haujabakiwa na kitu chochote. Unachanganyikiwa.
11. Kimedani mpaka sasa Mange Kimambi kama ingekuwa ni vita vile vya Kingdoms kama kwenye filamu basi yeye angekuwa jemadari heavy weight.
12. Miaka zaidi ya 10 sasa hakuna askari wa kiwango chake katika uwanja wa vita huko mtandaoni.
13. Na yeyote anayejiingiza kwenye mapambano anajikuta katika kuuawa Character. Jambo ambalo wengi wanaogopa kujiingiza katika mapambano naye.
14. Level aliyofikia Mange Kimambi, na kikosi chake imefikia hawezi shambulia mtu wa kawaida. Hii inawafanya wasipoteze nguvu nyingi bila sababu.
Wanarusha vyuma kwa viongozi wenye nafasi za juu tuu. Na sio Kila anayejitokeza.
15. Kama hii vita Wanaharakati watashinda. Mange Kimambi na kikosi chake atakuwa miongoni mwa wanawake watakaokumbukwa na historia na mchango wa wanawake hodari atakuwa mmojawao.
16. Ikiwa Hatashinda vita, basi historia itaandikwa kuwa alikuwa mwanamke mwenye sifa mbaya. Kama mjuavyo mshindi wa vita ndiye anayestahili kuandika historia. Au tuseme Mshindi ndiye huandika historia.
17. Fikiria Mange Kimambi angeongezewa power kidogo walau ya kusapoti hao vijana wake kifedha au silaha. Unafikiri ingekuwaje?
Kama sasa hana uwezo lakini ushawishi wake umemfanya awe juu Mahali ambapo hakuna yeyote kati ya adui zake anayeweza kufikia tawi lake.
18. Mange alichofanikiwa ni kumudu kutumia udhaifu wa adui zake na kuugeuza kama silaha.
Alafu Adui zake wanaudhaifu wa kuonyesha madhaifu yao.
Nawatakia Sabato Njema.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Wewe acha kuwadhalilisha wenzako wakati wewe ni mwanaCCM mwenzetu unayejifanya mpinzani. Watu kama wewe ni hatari kwenye vyama vya upinzani. Wakikushtukia itakuwa too late kwao.Jamaa ni Mamluki nilimstukia kitambo
Unashikilia namba Moja ya hao wabongo na ndio maana unasema mange ni Jemedari wa vita.Wabongo wengi ufahamu wenu upo chini sana. Hasa kwenye masuala ya maandishi na mawasiliano.
Hamjui hata mambo ya kuzingatia unaposoma, au unapomsikia mtu akizungumza. Hamsikiliza, hamtafakari, na hiyo inawafanya msielewe na mwishowe uelewa kuwa Finyu.
Adui namba moja wa Serikali ya CCM ni Serikali ya CCM yenyewe. Bila Serikali yenyewe kutamalakisha all forms of injustice, kina Mange wasingekuwa na hoja za kushikia bango!
Jaribu kushikia bango issues ambazo hazipo uone kama Gen Z watakufuata. Hata uwe cunning kiasi gani, unahitaji hoja za kweli.
Unashikilia namba Moja ya hao wabongo na ndio maana unasema mange ni Jemedari wa vita.
Mie sijaona kosa la huyu mleta mada. Ni vile labda alichoandika hakijaeleweka kwa wengi.
Cha ajabu naona pande zote mbili mnamshambulia.
Wewe acha kuwadhalilisha wenzako wakati wewe ni mwanaCCM mwenzetu unayejifanya mpinzani. Watu kama wewe ni hatari kwenye vyama vya upinzani. Wakikushtukia itakuwa too late kwao.
Wewe ungejibu hoja za huyo unayemwita falaHuyu fala haumjui mkuu.
Huyu ni bonge na mnafiki humu ndani.
He knows
Wewe ungejibu hoja za huyo unayemwita fala
Cha ajabu, fala Kaluga unaoga bafuni, umetundika taulo lako hapo halafu huyo fala anakwapua taulo lako na kuanza kukimbia, nawe ukawa fala mkuu zaidi kwa kutoka ukiwa uchi na mapovu ya bafuni kuanza kumkimbiza fala aliye na taulo lako...
Watu watadhani nani ni fala/mwendawazimu unadhani...?
Bila shaka ni wewe unayekimbia hovyo hadharani ukiwa uchi wa mama..🤔
Ndiye wewe Financial Analyst dhidi ya mkwapua taulo lako Robert Heriel Mtibeli..🤪
Sabato Njema!
1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically
2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.
3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.
4. Lakini ukiangalia kimedani, mbinu wanazozitumia ni Mbinu za kijeshi za mapinduzi hatari ambayo hata wanaopindua nchi kwa mtutu wanasubiri, yaani wanaafadhali.
5. Mange na wenzake na hapa naona Wanawake wakiwa mstari wa mbele, Huku Mange Kimambi, kule Maria Sarungi, kushoto, Hilda Newton, juu Rachel Dangwa. Wote ni wanawake. Kila mmoja akiwa na style yake.
6. Hawa wanafanya mapinduzi ya fikra, wanazipindua fikra na akili za vijana huku wakichochea hasira, chuki, na nguvu ya vijana maskini kuona kwamba hawastahili kuwa masking
7. Katika Mapinduzi kuna Mauaji na umwagaji wa damu.
Mange kimambi wanafanya Character assassination kwa kiwango cha kutisha.
8. Kila jina litakaloingia katika mdomo wa Mange Kimambi linaenda kuchafuka na mhusika anajikuta akiwa ameuawa vibaya Character yake.
Kimedani kuna Msemo usemao,
If you loose money, you loose nothing.
If you loose health, you loose something
But if you loose character, you loose everything.
9. Ndicho Anachofanya Mange Kimambi kuua Adui zake character zao. Kuwapotezea Kila kitu.
10. Unajua mtu akishakuua character yako unakuwa haujabakiwa na kitu chochote. Unachanganyikiwa.
11. Kimedani mpaka sasa Mange Kimambi kama ingekuwa ni vita vile vya Kingdoms kama kwenye filamu basi yeye angekuwa jemadari heavy weight.
12. Miaka zaidi ya 10 sasa hakuna askari wa kiwango chake katika uwanja wa vita huko mtandaoni.
13. Na yeyote anayejiingiza kwenye mapambano anajikuta katika kuuawa Character. Jambo ambalo wengi wanaogopa kujiingiza katika mapambano naye.
14. Level aliyofikia Mange Kimambi, na kikosi chake imefikia hawezi shambulia mtu wa kawaida. Hii inawafanya wasipoteze nguvu nyingi bila sababu.
Wanarusha vyuma kwa viongozi wenye nafasi za juu tuu. Na sio Kila anayejitokeza.
15. Kama hii vita Wanaharakati watashinda. Mange Kimambi na kikosi chake atakuwa miongoni mwa wanawake watakaokumbukwa na historia na mchango wa wanawake hodari atakuwa mmojawao.
16. Ikiwa Hatashinda vita, basi historia itaandikwa kuwa alikuwa mwanamke mwenye sifa mbaya. Kama mjuavyo mshindi wa vita ndiye anayestahili kuandika historia. Au tuseme Mshindi ndiye huandika historia.
17. Fikiria Mange Kimambi angeongezewa power kidogo walau ya kusapoti hao vijana wake kifedha au silaha. Unafikiri ingekuwaje?
Kama sasa hana uwezo lakini ushawishi wake umemfanya awe juu Mahali ambapo hakuna yeyote kati ya adui zake anayeweza kufikia tawi lake.
18. Mange alichofanikiwa ni kumudu kutumia udhaifu wa adui zake na kuugeuza kama silaha.
Alafu Adui zake wanaudhaifu wa kuonyesha madhaifu yao.
Nawatakia Sabato Njema.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
We miyeyusho tu mjombHuko mtandaoni nani jemedari WA vita sasa?
Ukweli kwa watu wabinafsi wakati mwingine huonekana unafiki. Hilo weka kichwani
Huyo jamaa sio wa kuaminika. Yuko pande zote. Huko CHADEMA hakuna wa kumuamini. Binafsi nilikuwa naona Mdude alikuwa mpinzani damdam ila tatizo ni ule uropokaji wake.Hawa wanasiasa ndio wanaoongoza kwa Unafiki, ubinafsi na utapeli.
Anafikiri Mimi mtibeli ni mtu wa Aina yao.
Umeandika uharoSabato Njema!