Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

Hili jamaa ni fala kwelikweli

Kabla ya Oktoba 29 lilikuja na andiko uchwara likibeza maandano kwamba hayapo mange hana ushawishi huo na kejeri kibao

Baada ya oktoba 29 likaja na andiko hapa kwamba limekoswa koswa kubakwa kwenye maandamano ambayo alibeza kia hayatokuepo
Huyu mjinga ni miongoni ya mfulululizo mrefu wa vijana wa ovyo humu JF na huko mtaani, no wondeer mashabiki zao ni mashoga kama cocastic maana mtu mwenye akili timamu hawezi fata maandiko ya mnafiki huyu
 
Wewe ni mpumbavu sana.

Usidhani uandishi wako ndio conclusion ya kila jambo la maana

Hata watoto wanajua kupaka rangi ila bado ni watoto.

Wewe ni mpumbavu, hakuna unachojua, hakuna utakachoelewa maana wewe ni mpumbavu.

Kalale tena kesho uandike upumbavu, manina wewe
Duuuh🤔🤔

Umekasirikia maoni na mtazamo wa mwenzio..!!!??

Halafu, maoni na mtazamo wa mwenzako tu ndo ukufanye utoe povu kiasi hiki? Au una bifu nae kwa jambo jingine..?

Ni afadhali ungemwambia tu kuwa, hupaswi kuwaza hivyo na kuandika bali waza hivi (kama uwazavyo wewe Mr/Miss Financial Analyst) ndipo uandike..

Kasoro yako ni kuwa unakoroma na kumwaga povu la matusi tu bila kutoa wazo mbadala ya alichowasilisha mwenzako..

This is too bad for you Mr/Miss Financial Analyst 🚶🏻🚶🏻🚶🏻
 
Haa🤔🤔
Umekasirikia maoni na mtazamo wa mwenzio..??

Ndo utoe povu kiasi hiki..?

Ni afadhali ungemwambia tu kuwa, hupaswi kuwaza hivyo na kuandika bali waza hivi (kama uwazavyo wewe Mr/Miss Financial Analyst) ndipo uandike..

Kasoro yako ni kuwa unakoroma na kumwaga povu la matusi tu bila kutoa wazo mbadala ya alichowasilisha mwenzake..

This is too bad for you🚶🏻🚶🏻🚶🏻
Huyu fala haumjui mkuu.

Huyu ni bonge na mnafiki humu ndani.

He knows.
 
Tutafanya kampeni apuuzwe masaa mawili mengi sana

Embu endesha hiyo Kampeni hapa nione😂😆

Nataka nione hako kanguvu Kako kadogo uliko nako😆. Kwamba Mtibeli apuuzwe? Hauko serious.
Humu ndani kuna Watibeli kama Wote so ukitaka uthibitishe na upate aibu ya mwaka itisha hicho kikampeni chako uchwara
 
Back
Top Bottom