Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #61
acha uongo na unafiki mkuu
hii itakusaidia sana
Mtibeli haongeagi uongo.
HAKI, KWELI, UPENDO NA AKILI.
acha uongo na unafiki mkuu
hii itakusaidia sana
Ukiona mtu anaandika JF, Facebook na kwingine kwa I'd ile ile jiongeze, wanakuwa Mamluki waliotumwa n.a. akina MwesigwaFor real huyu jamaa anazingua.
HutatoboaEmbu endesha hiyo Kampeni hapa nione😂😆
Nataka nione hako kanguvu Kako kadogo uliko nako😆. Kwamba Mtibeli apuuzwe? Hauko serious.
Humu ndani kuna Watibeli kama Wote so ukitaka uthibitishe na upate aibu ya mwaka itisha hicho kikampeni chako uchwara
Mtibeli haongeagi uongo.
HAKI, KWELI, UPENDO NA AKILI.
Sijui kwanini hamstukiAisee
Huyu mjinga ni miongoni ya mfulululizo mrefu wa vijana wa ovyo humu JF na huko mtaani, no wondeer mashabiki zao ni mashoga kama cocastic maana mtu mwenye akili timamu hawezi fata maandiko ya mnafiki huyu
Namwelewa kitamboSijui kwanini hamstuki
Hutatoboa
Na sahivi umeandika niniNiliandika ndio.
Huyu fala ukiwa na strong mentallity ndio utaelewa unafiki wake.acha uongo na unafiki mkuu
hii itakusaidia sana
Usinipangie ila anza kuaga jfAnzisha hiyo Kampeni sasa. Kwa nini uandikie mate. Au unaniogopa?😂
Na sahivi umeandika nini
ndo maana nikakwambia acha uongo na unafiki.
Haya ni mambo wapumbavu hawatakaa kukuelewa mkuuNi UPUMBAVU wa hali ya juu au UNAFKI wa kiwango cha juu sana kufikiri eti MANGE KIMAMBI ni epicentre wa mambo ya ajabu yaliyotokea na yanayoendelea kutokea.
Mzizi mkuu wa matatizo yote ni DHARAU na KEJELI za Watawala walioamua kuchukua nafasi za kuchaguliwa kimabavu.
MANGE, MARIA na WANAHARAKATI wengine wote kitu pekee walichofanya ni kuelezea kwa uwazi UOZO ambao kila MTU mwenye AKILI TIMAMU anajua na anaona tatizo liko wapi na ni nini cha kufanya. MSIJEMKAFIKIRI WATU NI WAJINGA
Mwanasheria mkuu baada ya kuapishwa tu eti akajiapia LAZIMA amkamate MANGE, leo kiko wa api?? ATAKAMATWA YEYE na Familia yake.
nimemuuliza have you lost your mind?Huyu fala ukiwa na strong mentallity ndio utaelewa unafiki wake.
Ila ukiwa fala fala utabebeka kirahisi.
HAta mwenyewe anajua rangi yake halisi ila unafiki ndio ubunifu wake ndio maana mtaona mengi kuhusu yeye.
Anawaaadangaya kwa uandishi, hata hitler aliandika kitabu kwa uandishi mzuri ila ndicho aliichokitumia kufanya maafa makubwa duniani.
BEWARE OF THE WOLVES AMONGST SHEEPS
Erythrocyte
Kwisha habari yakeHuyu fala ukiwa na strong mentallity ndio utaelewa unafiki wake.
Ila ukiwa fala fala utabebeka kirahisi.
HAta mwenyewe anajua rangi yake halisi ila unafiki ndio ubunifu wake ndio maana mtaona mengi kuhusu yeye.
Anawaaadangaya kwa uandishi, hata hitler aliandika kitabu kwa uandishi mzuri ila ndicho aliichokitumia kufanya maafa makubwa duniani.
BEWARE OF THE WOLVES AMONGST SHEEPS
Erythrocyte