Mange Kimambi na Kauli ya 'No Reforms, No Election': Je Vijana wa Instagram Wanaamka Kisiasa?

Watanzania wangapi wapo instagram?
In early 2023, DataReportal indicates that Instagram had 2.45 million active users in Tanzania. This represented 3.7% of the total population and 6.0% of the "eligible" audience (13 years and older). Additionally, Instagram's ad reach in Tanzania was equivalent to 11.7% of the local internet user base
 
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha, hadithi za maisha ya watu mashuhuri, umbea na burudani, sasa unageuka kuwa uwanja wa mijadala mikali ya kimageuzi (No reforms No election).

Moja ya sababu ya kilichoibua hali hii ni uamuzi wa ghafla wa Mange Kimambi, mwanaharakati na mwanachama wa zamani wa CCM, kuacha maudhui ya burudani na kuingia rasmi kwenye kampeni ya kisiasa kupitia kauli mbiu hiyo maarufu. Mange, ambaye kwa muda mrefu amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye Instagram, hasa kwa vijana na wanawake, ametumia nguvu ya jukwaa lake kuhamasisha Watanzania kuhoji mchakato wa uchaguzi unaokuja, akisisitiza kwamba uchaguzi usifanyike bila mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kisheria.

Mabadiliko haya ya ghafla yanachambuliwa vema kupitia lenzi ya 'sayansi ya jamii' na 'usanifu wa kijamii' (social engineering). Mange hakubadilisha sura yake wala namna yake ya kuwasiliana, ameendelea kutumia lugha rahisi ya mtaa, video za moja kwa moja, na posti zenye ujumbe mkali lakini unaoeleweka kirahisi kwa mamilioni ya wafuasi wake. Hili ndilo linafanya ujumbe wake uwe na athari kubwa kuliko hata wanasiasa wa kawaida.

Zaidi ya hapo, Mange amegusa mahali ambapo watawala wengi hawakutegemea, kundi la watu waliodhaniwa kuwa “hawajui lolote”. Kwa miaka mingi, kundi hili liliaminika kuwa ni mtaji wa watawala, watu wanaofuatilia maisha ya wasanii, mitindo, mahusiano na burudani , lakini sasa ndilo linaanza kuuliza maswali mazito kuhusu Katiba, Tume Huru ya Uchaguzi, na haki ya kupiga kura kwa usawa.

Nguvu ya ushawishi wa kijamii kupitia mitandao haipaswi kupuuzwa. Katika dunia ya leo, si lazima mtu awe msomi au mwanasiasa ili kuongoza harakati, anachohitaji ni ushawishi, lugha sahihi, na jukwaa lenye ufuasi mkubwa. Mange ana kila kigezo hicho.

Kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" sasa inazidi kuenea kama moto wa nyika, na inaweza kuwa mwiba halisi kwa watawala, hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. Ikiwa kundi lililodhaniwa kuwa “wajinga” linaanza kuamka, basi kuna kila sababu ya kuamini kuwa mfumo wa siasa umeanza kutikiswa kutoka chini.

Mabadiliko haya si ya kawaida. Ni ishara kuwa harakati za kisiasa haziko tena kwenye majukwaa ya mikutano ya hadhara pekee, bali zimehamia kwenye viganja vya watu kupitia simu zao. Kama harakati hizi zitadumu na kupata uungwaji mkono mkubwa, basi historia ya Tanzania ya kisiasa huenda ikaandikwa upya na chanzo chake kikiwa ni jukwaa lililowahi kubezwa kama "mtandao wa wajinga.
Huyo mkimbizi na wapumbavu ambao hawana ht kadi za kupigia kura? Hizo ni garasa tu
 
In early 2023, DataReportal indicates that Instagram had 2.45 million active users in Tanzania. This represented 3.7% of the total population and 6.0% of the "eligible" audience (13 years and older). Additionally, Instagram's ad reach in Tanzania was equivalent to 11.7% of the local internet user base
Hao ni watu wachache bado
 
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha, hadithi za maisha ya watu mashuhuri, umbea na burudani, sasa unageuka kuwa uwanja wa mijadala mikali ya kimageuzi (No reforms No election).

Moja ya sababu ya kilichoibua hali hii ni uamuzi wa ghafla wa Mange Kimambi, mwanaharakati na mwanachama wa zamani wa CCM, kuacha maudhui ya burudani na kuingia rasmi kwenye kampeni ya kisiasa kupitia kauli mbiu hiyo maarufu. Mange, ambaye kwa muda mrefu amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye Instagram, hasa kwa vijana na wanawake, ametumia nguvu ya jukwaa lake kuhamasisha Watanzania kuhoji mchakato wa uchaguzi unaokuja, akisisitiza kwamba uchaguzi usifanyike bila mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kisheria.

Mabadiliko haya ya ghafla yanachambuliwa vema kupitia lenzi ya 'sayansi ya jamii' na 'usanifu wa kijamii' (social engineering). Mange hakubadilisha sura yake wala namna yake ya kuwasiliana, ameendelea kutumia lugha rahisi ya mtaa, video za moja kwa moja, na posti zenye ujumbe mkali lakini unaoeleweka kirahisi kwa mamilioni ya wafuasi wake. Hili ndilo linafanya ujumbe wake uwe na athari kubwa kuliko hata wanasiasa wa kawaida.

Zaidi ya hapo, Mange amegusa mahali ambapo watawala wengi hawakutegemea, kundi la watu waliodhaniwa kuwa “hawajui lolote”. Kwa miaka mingi, kundi hili liliaminika kuwa ni mtaji wa watawala, watu wanaofuatilia maisha ya wasanii, mitindo, mahusiano na burudani , lakini sasa ndilo linaanza kuuliza maswali mazito kuhusu Katiba, Tume Huru ya Uchaguzi, na haki ya kupiga kura kwa usawa.

Nguvu ya ushawishi wa kijamii kupitia mitandao haipaswi kupuuzwa. Katika dunia ya leo, si lazima mtu awe msomi au mwanasiasa ili kuongoza harakati, anachohitaji ni ushawishi, lugha sahihi, na jukwaa lenye ufuasi mkubwa. Mange ana kila kigezo hicho.

Kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" sasa inazidi kuenea kama moto wa nyika, na inaweza kuwa mwiba halisi kwa watawala, hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. Ikiwa kundi lililodhaniwa kuwa “wajinga” linaanza kuamka, basi kuna kila sababu ya kuamini kuwa mfumo wa siasa umeanza kutikiswa kutoka chini.

Mabadiliko haya si ya kawaida. Ni ishara kuwa harakati za kisiasa haziko tena kwenye majukwaa ya mikutano ya hadhara pekee, bali zimehamia kwenye viganja vya watu kupitia simu zao. Kama harakati hizi zitadumu na kupata uungwaji mkono mkubwa, basi historia ya Tanzania ya kisiasa huenda ikaandikwa upya na chanzo chake kikiwa ni jukwaa lililowahi kubezwa kama "mtandao wa wajinga.
Watu wanao tumia insta na tiktok ni matajili sana imagine bando la buku 2 linaisha ndani ya masaa 6

Mm bila WiFi sigusi ata X naingia kwa machale tutafute Hela
 
Hao ni watu wachache bado
Ndiyo, ni wachache, lakini tunapozungumzia ushawishi (influence), tabia yake ni kuenea, si jambo lililosimama au linalobaki tu mtandaoni. Hao wachache unaowaona wana wazazi, ndugu, watoto na marafiki ambao kila siku wanahadithiana kuhusu yanayotokea mitandaoni. Hata Injili ilianza kuhubiriwa na wanafunzi kumi na wawili tu. Hali hii itaathiri siasa za chama tawala kwa kiwango kikubwa endapo sauti hii itaendelea kupazwa kwa kasi hii. Ni kama moto wa nyikani, kila mtu atafikiwa.
 
kama kawaida yenu mashujaa wa mitandaoni. ILInapokuja suala la ground ni kweupee
 
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha, hadithi za maisha ya watu mashuhuri, umbea na burudani, sasa unageuka kuwa uwanja wa mijadala mikali ya kimageuzi (No reforms No election).

Moja ya sababu ya kilichoibua hali hii ni uamuzi wa ghafla wa Mange Kimambi, mwanaharakati na mwanachama wa zamani wa CCM, kuacha maudhui ya burudani na kuingia rasmi kwenye kampeni ya kisiasa kupitia kauli mbiu hiyo maarufu. Mange, ambaye kwa muda mrefu amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye Instagram, hasa kwa vijana na wanawake, ametumia nguvu ya jukwaa lake kuhamasisha Watanzania kuhoji mchakato wa uchaguzi unaokuja, akisisitiza kwamba uchaguzi usifanyike bila mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kisheria.

Mabadiliko haya ya ghafla yanachambuliwa vema kupitia lenzi ya 'sayansi ya jamii' na 'usanifu wa kijamii' (social engineering). Mange hakubadilisha sura yake wala namna yake ya kuwasiliana, ameendelea kutumia lugha rahisi ya mtaa, video za moja kwa moja, na posti zenye ujumbe mkali lakini unaoeleweka kirahisi kwa mamilioni ya wafuasi wake. Hili ndilo linafanya ujumbe wake uwe na athari kubwa kuliko hata wanasiasa wa kawaida.

Zaidi ya hapo, Mange amegusa mahali ambapo watawala wengi hawakutegemea, kundi la watu waliodhaniwa kuwa “hawajui lolote”. Kwa miaka mingi, kundi hili liliaminika kuwa ni mtaji wa watawala, watu wanaofuatilia maisha ya wasanii, mitindo, mahusiano na burudani , lakini sasa ndilo linaanza kuuliza maswali mazito kuhusu Katiba, Tume Huru ya Uchaguzi, na haki ya kupiga kura kwa usawa.

Nguvu ya ushawishi wa kijamii kupitia mitandao haipaswi kupuuzwa. Katika dunia ya leo, si lazima mtu awe msomi au mwanasiasa ili kuongoza harakati, anachohitaji ni ushawishi, lugha sahihi, na jukwaa lenye ufuasi mkubwa. Mange ana kila kigezo hicho.

Kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" sasa inazidi kuenea kama moto wa nyika, na inaweza kuwa mwiba halisi kwa watawala, hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. Ikiwa kundi lililodhaniwa kuwa “wajinga” linaanza kuamka, basi kuna kila sababu ya kuamini kuwa mfumo wa siasa umeanza kutikiswa kutoka chini.

Mabadiliko haya si ya kawaida. Ni ishara kuwa harakati za kisiasa haziko tena kwenye majukwaa ya mikutano ya hadhara pekee, bali zimehamia kwenye viganja vya watu kupitia simu zao. Kama harakati hizi zitadumu na kupata uungwaji mkono mkubwa, basi historia ya Tanzania ya kisiasa huenda ikaandikwa upya na chanzo chake kikiwa ni jukwaa lililowahi kubezwa kama "mtandao wa wajinga.
Hako ka mama kalikokauka kama kanakula siment kana ushawishi gani!!? Kalijaribu kwenye ukawa hadi kakalia machozi na kudai hakatawasaidia tena wana harakati kwa madai eti hawajitambui, leo analeta ulaghai mpya ili aendelee kupiga hela za mabeberu, mtu ambaye anaishi kwa kuuza mwili wake mbovu ana ushawishi gani, ana laana ya kuzini na baba yake mzazi.
 
Sawa mashujaa wa mitandaoni. Je, hoja Yako inaondoa ushawaish wake kwenye mitandao ya kijamii iliyojaa 'wajinga'.!?
 
Hako ka mama kalikokauka kama kanakula siment kana ushawishi gani!!? Kalijaribu kwenye ukawa hadi kakalia machozi na kudai hakatawasaidia tena wana harakati kwa madai eti hawajitambui, leo analeta ulaghai mpya ili aendelee kupiga hela za mabeberu, mtu ambaye anaishi kwa kuuza mwili wake mbovu ana ushawishi gani, ana laana ya kuzini na baba yake mzazi.
Sawa ni malaya lakini,Je, hoja Yako inaondoa ushawaish wake kwenye mitandao ya kijamii iliyojaa 'wajinga'.!?
 
Tumefikia pazuri...
downloadfile.jpg
 
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha, hadithi za maisha ya watu mashuhuri, umbea na burudani, sasa unageuka kuwa uwanja wa mijadala mikali ya kimageuzi (No reforms No election).

Moja ya sababu ya kilichoibua hali hii ni uamuzi wa ghafla wa Mange Kimambi, mwanaharakati na mwanachama wa zamani wa CCM, kuacha maudhui ya burudani na kuingia rasmi kwenye kampeni ya kisiasa kupitia kauli mbiu hiyo maarufu. Mange, ambaye kwa muda mrefu amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye Instagram, hasa kwa vijana na wanawake, ametumia nguvu ya jukwaa lake kuhamasisha Watanzania kuhoji mchakato wa uchaguzi unaokuja, akisisitiza kwamba uchaguzi usifanyike bila mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kisheria.

Mabadiliko haya ya ghafla yanachambuliwa vema kupitia lenzi ya 'sayansi ya jamii' na 'usanifu wa kijamii' (social engineering). Mange hakubadilisha sura yake wala namna yake ya kuwasiliana, ameendelea kutumia lugha rahisi ya mtaa, video za moja kwa moja, na posti zenye ujumbe mkali lakini unaoeleweka kirahisi kwa mamilioni ya wafuasi wake. Hili ndilo linafanya ujumbe wake uwe na athari kubwa kuliko hata wanasiasa wa kawaida.

Zaidi ya hapo, Mange amegusa mahali ambapo watawala wengi hawakutegemea, kundi la watu waliodhaniwa kuwa “hawajui lolote”. Kwa miaka mingi, kundi hili liliaminika kuwa ni mtaji wa watawala, watu wanaofuatilia maisha ya wasanii, mitindo, mahusiano na burudani , lakini sasa ndilo linaanza kuuliza maswali mazito kuhusu Katiba, Tume Huru ya Uchaguzi, na haki ya kupiga kura kwa usawa.

Nguvu ya ushawishi wa kijamii kupitia mitandao haipaswi kupuuzwa. Katika dunia ya leo, si lazima mtu awe msomi au mwanasiasa ili kuongoza harakati, anachohitaji ni ushawishi, lugha sahihi, na jukwaa lenye ufuasi mkubwa. Mange ana kila kigezo hicho.

Kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" sasa inazidi kuenea kama moto wa nyika, na inaweza kuwa mwiba halisi kwa watawala, hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. Ikiwa kundi lililodhaniwa kuwa “wajinga” linaanza kuamka, basi kuna kila sababu ya kuamini kuwa mfumo wa siasa umeanza kutikiswa kutoka chini.

Mabadiliko haya si ya kawaida. Ni ishara kuwa harakati za kisiasa haziko tena kwenye majukwaa ya mikutano ya hadhara pekee, bali zimehamia kwenye viganja vya watu kupitia simu zao. Kama harakati hizi zitadumu na kupata uungwaji mkono mkubwa, basi historia ya Tanzania ya kisiasa huenda ikaandikwa upya na chanzo chake kikiwa ni jukwaa lililowahi kubezwa kama "mtandao wa wajinga.
Something is happening!
 
Back
Top Bottom