Mange Kimambi na Kauli ya 'No Reforms, No Election': Je Vijana wa Instagram Wanaamka Kisiasa?

No reforms no election ni kitu ambacho kila mtu anapaswa kukipigania kwa kadri awezavyo kwa kuwa kitasaidia kupata uwajibikaji stahiki kwa taifa letu. Hawa watu ambao wanapuuza maoni ya raia wengi yatakwisha siku tukipata mageuzi ya sera na kanuni za uchaguzi.
Mungu atubariki sana
 
Hakika
 
No reform no election!!

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE ENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE KUTWA KWENYE KITUO CHA UCHAGUZI
 
No reform no election!!

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE ENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE KUTWA KWENYE KITUO CHA UCHAGUZI
Hakika atawakosea watanganyika
 
No reform no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…