Mange Kimambi naye hana huruma na uhai wa Watanzania

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,312
Reaction score
18,194
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
 
Yeye anafaidika nann Kwa Watanzania Kuandamana?.

Maandamano ni HAKI ya KIKATIBA ya Watanzania ,haki hiyo tulinyimwa na sasa tunailazimisha wenyewe kama Watanzania , na majibu tayari yameonekana.

Tunaendelea tulipoishia
 
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Kwa akili yako finyu (kama kweli unayo) unadhani Watanzania wanaingia barabarani kumfurahisha Mange!? Au uandhani bila Mange wasingeingia barabarani? Kwa haya yanayoendelea ilikuwa ni suala la muda tu watu wangeingia barabafani. Issue ya kufa hata ambao hawakuandamana waliuliwa so hizo lawama unazompelekea Mange ungzipeleka kwa Mabwana zako wanaokulipa vijisenti uje hapa jukwaani kuwatetea! Unamlaumu anayehamasisha maandamano ya kupinga utekaji na mauaji alafu u amuacha muuaji!? Huna akili kabisa
 
aTaandamanaje wakat yeye siyo mtanzania
Alipanga kwenda kuandamana kule ila akasitisha alipopewa habari kuwa kuna watu wamepanga kumdhuru.

Swali kwako, mbona alijioangs kwenda kuandamana huku akijua yeye sio mtanzania?
 
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
watu wanaandama kudai haki ya kuishi ,katiba mpya na mengine mengi...habri za mange unazijua wewe na CCM Yenu
 
Kwa akili yako finyu (kama kweli unayo) unadhani Watanzania wanaingia barabarani kumfurahisha Mange!?
Hakuna aliyesema hivyo.

Mange amekuwa anawashauri watanzania mambo mbalimbali.
Kwa nini asiwashauri watanzania wafanye kama alivyofanya yeye ili kuokoa uhai wao?

Hili ndio swali langu la msingi
Au uandhani bila Mange wasingeingia barabarani?
uhakika uliokuwepo ni kwamba Mnage nddio kahamasisha kwa kiasi kikubwa waingie barabarani.

Sasa Thibitisha wewe kwamba Bila mange wangeingia barabarani.
Issue ya kufa hata ambao hawakuandamana waliuliwa
Ni kweli lakini hii haifanyi tusimjadili mange kwa sababu tunataka kuepuka yajayo yasiwe kama yaliyopita, lazima tuangalie na upande wake pia.
hizo lawama unazompelekea Mange ungzipeleka kwa Mabwana zako wanaokulipa vijisenti uje hapa jukwaani kuwatetea!
Ina maana Na wewe mange anakulipa ili umtetee hapa?
Unamlaumu anayehamasisha maandamano ya kupinga utekaji na mauaji alafu u amuacha muuaji!?
Hata walioua tunawalaumu na tumewalaumu sana na kila mtu analaumu sana.
Unataka watu walaumu vipi kwa mfumo upi, kwa maneno yapi ili uone kwamna watu wanapinga?

Unamlaumu anayehamasisha maandamano ya kupinga utekaji na mauaji alafu u amuacha muuaji!? H
Mange kimambi na yeye lazima alaumiwe kwa udanganyifu mkubwa alioufanya.

1.kudanganya jeshi lipo nyums ya raia wakati yeye sio msemaji wa jeshi.
Huoni kama hii ni kauli ya kipuuuzi na mange lazima alaumiwe?
 
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Ila mkuu sidhani kama wenye mamlaka wanafanya sahihi kuondoa uhai wa waandamanaji,.. Kwanini wasisikilize raia wao wanadai vitu gani? na kwanini wasitumie njia sahihi za kudhibiti kuliko kuwaua kwa maksudi,? kumbuka hakuna sheria inayohalalisha kuua kisa tu watu wameandamana labda itokee na raia nao wana silaha Polisi wanaweza kujitetea kwa kuua,..

Raia kuuwawa kwa style ile sio kitu sahihi na kila mwenye utu anapaswa kukemea au atleast kuumia kwa nafasi yake,.. Ni wazi kwamba nchi yetu ipo kwenye nyakati mbaya na njia pekee ya kurudi kwenye hali ya utulivu ni viongozi na raia kwa pamoja kusikilizana, kama Serikali ikiendelea kutumia nguvu kubwa kuliko akili na busara tutaelekea pabaya zaidi,..
 
Ila mkuu sidhani kama wenye mamlaka wanafanya sahihi kuondoa uhai wa waandamana
Hata mimi sioni usahihi wa hilo mkuu, ila wao wasipokuwa sahihi haina maana na sisi tufanye yasiyokuwa sahihi hasa hasa kama hayo yasiyokuwa sahihi hayawezi kuleta mwisho mzuri.
Kwanini wasisikilize raia wao wanadai vitu gani?
Hili ndilo viongozi wanatakiwa wafanye, nimeona juzi Raisi amesema atasikiliza vijana wanadai haki gani, huwenda ni katika kuelekea kueasikiliza.

na kwanini wasitumie njia sahihi za kudhibiti
Na mimi najiuliza kama wewe sijapata majibu.
kumbuka hakuna sheria inayohalalisha kuua kisa tu watu wameandamana labda itokee na raia nao wana silaha Polisi wanaweza kujitetea kwa kuua,..
Nakubaliana na wewe mkuu moja kwa moja,ila kwa upande wa waandamanaji kuna mistake walifanya ambazo sisemi kama zilihalalisha wao kuuliwa hapana.

Hizo mistake ndio nazizungumzia mimi haoana mkuu, haina maana kwamba nakubali vifo vile hapana.

Raia kuuwawa kwa style ile sio kitu sahihi na kila mwenye utu anapaswa kukemea au atleast kuumia kwa nafasi yake,.. Ni wazi kwamba nchi yetu ipo kwenye nyakati mbaya na njia pekee ya kurudi kwenye hali ya utulivu ni viongozi na raia kwa pamoja kusikilizana, kama Serikali ikiendelea kutumia nguvu kubwa kuliko akili na busara tutaelekea pabaya zaidi,..
Naam nakubslisna na wewe, ni vyema tukasikilizana ili kuondoka kwenye hsya majanga.

Ila kupanga maandamano ambayo hayana polisi lazima vurugu zitokee kwa sababu kuna wahalifu wengi watapitia huo mlango.

Hata kama Raia wataona polisi wamekataa watu kuandamana basi raia wasithubutu kuandamana bila polisi kwa sababu ya usalama wao waa ndamanai fhidi ya wahalifu wanaojificha humo
 
Wewe mbona hukutoka kuandamana kama wafuasi wa Mange?
Naandamanaje bila ulinzi wa polisi kuwepo, Ulinzi ambso utanihakikishia usalama wa maandamano dhidi ya wezi, wahalifu na vibaka?
 
hakuna mabadiliko yanaweza kuja bila kumwaga damu
Kwa hiyo wale waliouwawa kwako. Wewe u ni sawa kwa sababu ni mchakato wa kutafuta mabadiliko.

Kama ni sawa maana yake sisi tunaopiga kelele kuhusu mauwaji hatujui kama ule ulikuwa ni mchakato wa kuyaendea mabadiliko.

Kama wewe unaona hivyo maana yake pia unaona ni sawa watu waliokufa
 
Back
Top Bottom