Mange Kimambi naye hana huruma na uhai wa Watanzania

Tofauti ni kwamba zama hizi teknolojia imekua, ukifanya kama kilichofanyika 2001
Mkuu hapo umeingilia hiyo comment nilikuwa namjibu mtu anayesema kwamba viongozi wa afrika mpaka mauwaji yafanyike ndio watabadilika.

Ndio niksmuuliza mauwaji ya 2001 pemba nani alibadilika na alibadilika vipi kutokana na vifo hivyo?
 
Wewe unavyoona inawezekana Serikali kuunga mkono maandamano😅?
Sina uhakika, Inaweza isiunge mkono ama inaweza kuunga mkono, lakini ninachojua ni kwamba serikali huwa inatoa ulinzi kupitia jeshi la polisi.

Kama ambsvyo mwaka jana lissu ns mbowe walifanya maandamano ya amani na mzzee muliro akawapa ulinzi wakamaliza salama.
ukizingatia na vyombo vya usalama vipo chini ya serikali sasa sio rahisi kwa serikali zetu hizi kutoa amri kwa Vyombo vya usalama viruhusu na visimamie maandamano kufanyika,
Mbowe na lissu mwaka jana walifanya maandamano skina muliro wakawa wapo wawewapa ulinzi.

kwa mantiki hiyo vyombo vilisimamia maandamano kufanyika, unaweza kufiatilia youtube

Hapa nilivyokuelewa ni kwamba kwa kuwa raia hawana nguvu za kupambana na polisi au vyombo vya usalama kwa ujumla ni bora wakubaliane na mambo yalivyo ili wawe salama,. si ndiyo?
Lengo la maandamano sio kupambana na polisi, kama lengo ni hilo basi hakuns mantiki ya polisi kuwa walinzi wa maandamano wakati hao wanaoandamana lengo ni kupambana na polisi, hizo zitakuwa ni vurugu.

Hapa nilivyokuelewa ni kwamba
Nielewe kama nilivyoandika kwamba Raia usiende kwenye maandamano ambayo polisi hawajatoa ulinzi wa kuwalinda,kwa sababu kwemye maandamano(mkusanyiko) watatokea. Wahalifu wezi n. K watafanya uhalifu huku wakijificha kwemye maandamano hayo wakati huo mupo watu wasafi humo.

So hiyo italeta picha mbaya kwa wote mnaoandamana na kama kutiwa adabu mtatiwa nyote kwa sababu wahalifu wapo miongoni mwenu.

Kuepusha yote hayo subiri polisi watoe ulinzi ukaandamane kwa amani, kwa sababu maandamano yenye polisi wahalifu huogopa kufanya fujo.
kwamba lolote litakalotokea watu wakae kimya ili wawe salama,..
Hakuna aliyesema kwamba watu wakae kimya,kuna njia nyingi za kusema kama vile..

Mitandao ya kijamii.
Maandamano.
Kuhudhuria makongamsno ya viongozi na kutoa maombi.
Kuchapisha mashati yenye ujumbe.
N. K. Lakini sio maandamano ambayo hayana ulinzi wa polisi.

Hizi zote ni njia za kufikisha ujumbe, ni ujasiri wa mtu tu kuamua kufanya hivyo kama anaweza.
lakini uhalisia ni kwamba katika jamii yenye zaidi ya watu milioni 60, si wote wana uvumilivu sawa.
Unajua hata vyombo vya ulinzi vina watu ambao hawana uvumilovu sawa, hivyo yakifanyika maandamano yasiyo ya amani yakaleta fujo basi waleeee ambao hawana uvumilivu nao huwa wanakuwemo pia kutokana na uhalisia kwamba nao ni binadamu.

Hivyo watu hao wapo pande zote, anayeandamana ni vyema akajua kwamba kama yeye anakosa uvumilivu na subira basi ajue kuna watu wana silaha nao wanaweza kukosa uvumilivu na subira, nani ataumia katika mazingira kama hayo?

Viongozi wanatakiwa kuelewa saikolojia hii ya kibinadamu
Ni kweli viongozi wanatakiwa kujua raia wao saiokolojia zao, ila hata sisi Raia inatakiwa tujue saikolojia ya Viongozi na utawala wao ili mambo yaende sawa.

KWA SABABU na sisi raia ni watu tunahitaji kuwaelewa watu wengine, kiongozi unayetaka aelewe saikolojia ya raia ujue kabla ya kuwa kiongozi alikuwa raia hivyl inabidi awe na tabis hiyo tokea akiwa raia ili akishika uongozi aendeleze tabia hiyo.

Mimi kwa mtazamo wangu Serikali isitumie sana nguvu kudhibiti watu waangalie madai ya hao watu kama yanatatulika
Nakubalisna na wewe Mkuu, Nguvu zisitumike kupita kiasi, uhai uwe ni kipaumbele.

Ila na wanaohamasisha watu kufanya vurugu nao lazima tuwakemee.
 
Mkuu hapo umeingilia hiyo comment nilikuwa namjibu mtu anayesema kwamba viongozi wa afrika mpaka mauwaji yafanyike ndio watabadilika.

Ndio niksmuuliza mauwaji ya 2001 pemba nani alibadilika na alibadilika vipi kutokana na vifo hivyo?
Viongozi hawabadiliki kwasababu hata sisi raia wengi wetu ni wanafiki,.. tungekua tunasimama pamoja kukemea vitendo visivyo sawa nguvu ya umma ingekua kubwa na viongozi wangekua hawana la kufanya zaidi ya kubadilika na kuwajibika,.. Ili viongozi wabadilike inabidi akidhulumiwa mtu mmoja au wachache miongoni mwa jamii basi jamii nzima ichukulie changamoto hiyo kama changamoto ya jamii nzima...,

Nguvu ya umma inapokuwa dhaifu kwa sababu ya unafiki, ubaguzi, au kutanguliza maslahi binafsi, hata viongozi hawapati shinikizo la kutosha kubadilika au kuwajibika.

Kwa hiyo, ili mabadiliko yatokee, jamii nzima inapaswa kuchukulia madhila ya mtu mmoja kama ya wote bila kujali kabila, dini, undugu, au maslahi binafsi. Ndio maana hata tukirejea matukio kama ya Pemba 2001, tunaweza kujiuliza sababu ya viongozi kutobadilika,.. Je, jamii ilisimama kwa pamoja kukemea kwa uzito unaostahiki?
 
Je, jamii ilisimama kwa pamoja kukemea kwa uzito unaostahiki?
Umenitoa sana nje ya mada yangu mkuu,msda yangu ni kwamba mange kimambi hana huruma na uhai wa watanzania.

Umekuja na mawazo mazuri sana mkuu ila yako nje ya maudhui ambayo nimekuja nayo.

Sio sahihi mange kuwashawishi watu wakaandamane wakati yeye anakimbia maandamano ya ulaya kwa kuogopa atadhuriwa,hiyo ndo point yangu mkuu
 
Sina uhakika, Inaweza isiunge mkono ama inaweza kuunga mkono, lakini ninachojua ni kwamba serikali huwa inatoa ulinzi kupitia jeshi la polisi.

Kama ambsvyo mwaka jana lissu ns mbowe walifanya maandamano ya amani na mzzee muliro akawapa ulinzi wakamaliza salama.

Mbowe na lissu mwaka jana walifanya maandamano skina muliro wakawa wapo wawewapa ulinzi.

kwa mantiki hiyo vyombo vilisimamia maandamano kufanyika, unaweza kufiatilia youtube.
Kwa maoni yangu maandamano hayo yaliruhusiwa kwasababu ni maandamano ya kisiasa tu na sio kwa ajili ya mabadiliko ya kweli,. Na ndiyo maana umeona maandamano yale hayajazaa matunda yoyote,.. Maandamano yanayogusa haki za maisha ya watu Duniani kote ni ngumu kupewa ruhusa na mamlaka kwasababu mara nyingi huwa yanataka changes zitokee kweli,. na kumbuka mara nyingi mtu ambae ananufaika na mfumo uliopo kwenye jamii husika huwa hapendi mabadiliko ambayo yatamuathiri hata kama ni kwa maslahi mapana ya Umma,..
Hakuna aliyesema kwamba watu wakae kimya,kuna njia nyingi za kusema kama vile..

Mitandao ya kijamii.
Maandamano.
Kuhudhuria makongamsno ya viongozi na kutoa maombi.
Kuchapisha mashati yenye ujumbe.
N. K. Lakini sio maandamano ambayo hayana ulinzi wa polisi.

Hizi zote ni njia za kufikisha ujumbe, ni ujasiri wa mtu tu kuamua kufanya hivyo kama anaweza.
Ni kweli kuna njia nyingi za kusema na nakiri wengine wachache huwa wanatumia lugha ambazo hazina staha kwenye kufikisha ujumbe ila wapo wanaofikisha kistaarabu kama raia wema tu ,.. ila si unajua kinachowakuta wanaosema?
Lengo la maandamano sio kupambana na polisi, kama lengo ni hilo basi hakuns mantiki ya polisi kuwa walinzi wa maandamano wakati hao wanaoandamana lengo ni kupambana na polisi, hizo zitakuwa ni vurugu.

Hivyo watu hao wapo pande zote, anayeandamana ni vyema akajua kwamba kama yeye anakosa uvumilivu na subira basi ajue kuna watu wana silaha nao wanaweza kukosa uvumilivu na subira, nani ataumia katika mazingira kama hayo?
Ni kweli lengo la maandamano sio kupambana na polisi,.. ila ikiwa Polisi watatumia nguvu kupitiliza itatengeneza ionekane kama kuna mapambano kati ya raia na polisi kitu ambacho sio kizuri na kinaweza kupelekea machafuko yasioisha na uasi na hatutakiwi kupita njia hiyo maana machafuko hayana mshindi ni madhara na maumivu yasiyoisha.

Ni kweli viongozi wanatakiwa kujua raia wao saiokolojia zao, ila hata sisi Raia inatakiwa tujue saikolojia ya Viongozi na utawala wao ili mambo yaende sawa.

KWA SABABU na sisi raia ni watu tunahitaji kuwaelewa watu wengine, kiongozi unayetaka aelewe saikolojia ya raia ujue kabla ya kuwa kiongozi alikuwa raia hivyl inabidi awe na tabis hiyo tokea akiwa raia ili akishika uongozi aendeleze tabia hiyo.
Hiki ulichosema pia ni hatari kwasababu,.. iwapo Raia atajua kwamba saikolojia ya kiongozi endapo atadaiwa jambo fulani ni kutumia nguvu zilizopitiliza na kuua,.. Basi kwa kuwa binadamu ana tabia ya kuchoka itafikia kipindi ataona liwalo na liwe atajua atapatia wapi silaha ya kujitetea,.. (Sasa kwanini tufike huko?,..ilhali inawezekana viongozi na raia wao kusikilizana)
 
Kwa maoni yangu maandamano hayo yaliruhusiwa kwasababu ni maandamano ya kisiasa tu na sio kwa ajili ya mabadiliko ya kweli,. Na ndiyo maana umeona maandamano yale hayajazaa matunda yoyote,.. Maandamano yanayogusa haki za maisha ya watu Duniani kote ni ngumu kupewa ruhusa na mamlaka kwasababu mara nyingi huwa yanataka changes zitokee kweli,. na kumbuka mara nyingi mtu ambae ananufaika na mfumo uliopo kwenye jamii husika huwa hapendi mabadiliko ambayo yatamuathiri hata kama ni kwa maslahi mapana ya Umma,..

Ni kweli kuna njia nyingi za kusema na nakiri wengine wachache huwa wanatumia lugha ambazo hazina staha kwenye kufikisha ujumbe ila wapo wanaofikisha kistaarabu kama raia wema tu ,.. ila si unajua kinachowakuta wanaosema?

Ni kweli lengo la maandamano sio kupambana na polisi,.. ila ikiwa Polisi watatumia nguvu kupitiliza itatengeneza ionekane kama kuna mapambano kati ya raia na polisi kitu ambacho sio kizuri na kinaweza kupelekea machafuko yasioisha na uasi na hatutakiwi kupita njia hiyo maana machafuko hayana mshindi ni madhara na maumivu yasiyoisha.

Hiki ulichosema pia ni hatari kwasababu,.. iwapo Raia atajua kwamba saikolojia ya kiongozi endapo atadaiwa jambo fulani ni kutumia nguvu zilizopitiliza na kuua,.. Basi kwa kuwa binadamu ana tabia ya kuchoka itafikia kipindi ataona liwalo na liwe atajua atapatia wapi silaha ya kujitetea,.. (Sasa kwanini tufike huko?,..ilhali inawezekana viongozi na raia wao kusikilizana)
Umeongea fact sana mkuu ila ni Nje na maudhui yangu kwamba mange kimambi na yeye hana huruma na uhai wa watanzania.

Asante sana mkuu, nina mengi ya kuchangia ila nitatoka nje ya Maudhui yangu
 
Umenitoa sana nje ya mada yangu mkuu,msda yangu ni kwamba mange kimambi hana huruma na uhai wa watanzania.

Umekuja na mawazo mazuri sana mkuu ila yako nje ya maudhui ambayo nimekuja nayo.

Sio sahihi mange kuwashawishi watu wakaandamane wakati yeye anakimbia maandamano ya ulaya kwa kuogopa atadhuriwa,hiyo ndo point yangu mkuu
Sawa Mimi ngoja niishie hapa,..
 
Umeongea fact sana mkuu ila ni Nje na maudhui yangu kwamba mange kimambi na yeye hana huruma na uhai wa watanzania.

Asante sana mkuu, nina mengi ya kuchangia ila nitatoka nje ya Maudhui yangu
Sawa upo sahihi,.
 
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Pumba tupu.
 
Kosa la kuandamana ni kuuliwa?
Kosa la kuandamana sio kuuliwa.
Na hakuna aliyesema walipaswa kuuliwa.

Hoja ni kwa nini mange kimambi anawashawishi watu wakaandamane huku akijua watapata madhara?
 
Kwa sababu ni haki yao kuandamana nkama serikali haisikilizi.

Ungewashauri serikali waache kuua raia. Maandamabo hayazuiwi kwa risasi.
 
Mange ndiye aliyetoa order ya shoot to kill?
 
Hao ma kmkm wanaoleta Madhara kwa waandamanaji serikali ina wajibu wa kuwadhibiti. Ufaransa inapataga maandamano makubwa sana yenye uharibifu mkubwa wa mali lakini hutakuta waandamanaji wameuawa kinyama
 
Mange ndiye aliyetoa order ya shoot to kill?
Mange ndio aliyewahamasisha wananchi wakimbilie kwa watu waliopewa order ya shoot to kill...

Waliouwa hawakuwa sahihi, je na mange ambaye aliwaelekeza watu kwenye njia ambayo kuna simba anayeuwa pia hakuwa sahihi ns yeye inabidi akemewe ili suala hili lisijirudie
 
Kwa sababu ni haki yao kuandamana nkama serikali haisikilizi.
Nimekuelewa na nakubaliana na wewe kwenye hilo.
Ungewashauri serikali waache kuua raia. Maandamabo hayazuiwi kwa risasi.
Serikali tumeishauri na tumeikosoa ila na mange naye tunamshauri na tuna haki ya kumkosoa
Ungewashauri serikali waache kuua raia. Maandamabo hayazuiwi kwa risasi.
Swali langu ni lile lile..

Back
Top Bottom