Mange Kimambi naye hana huruma na uhai wa Watanzania

Kwa hiyo wale waliouwawa kwako. Wewe u ni sawa kwa sababu ni mchakato wa kutafuta mabadiliko.

Kama ni sawa maana yake sisi tunaopiga kelele kuhusu mauwaji hatujui kama ule ulikuwa ni mchakato wa kuyaendea mabadiliko.

Kama wewe unaona hivyo maana yake pia unaona ni sawa watu waliokufa
Viongozi wa Afrika hawaskii mpaka mauaji yawepo ndo akili kidogo huwarejea
 
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Kwa kutumia lugha ya kigeni, " If you can't use your brain properly, others will use your brain for their own benefits". Kwahiyo Dada wa Marekani ameona fursa ya kutokutumia akili vizuri kwa vijana wengi wa Tanzania, ameamua kutumia akili zao kwa faida anayoiona yeye na wenzie. Kabla hujafanya jambo lolote unatakiwa kufanya uchambuzi yakinifu kwa kuangalia faida na hasara, ukiona faida ni kubwa kuliko hasara nenda nalo ikiwa kinyume chake achana nalo. Sasa swali la msingi ulifanyika uchambuzi huo kwa vijana walio wengi? au ndiyo ilikuwa mob psychology, wakaamua kufata mkumbo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako.🙏
 
Kwa nini anashawishi watu waandamane huku yeye anajificha kwenye gari kwa kuogopa kudhirika?
Wacha upotoshaji,
Hakuna anayeandamana kwa kushawishiwa na Mange.
Wananchi wanaandamana kupinga maovu ya serikali kama utekaji uliokithiri, mauaji, wizi wa uchaguzi, ufisadi, nk
 
Kwa hiyo source ya yanayoendelea hapa nchini ni Mange?
 
Acha watu wafanye maamuzi kulingana na uwezo wao wa kufikiri, usiwapangie.
 
Mimi natoa maoni yangu tu kama ambavyo wao wanatoa maoni yao kupitia platform hizi.

Kama ambavyo wao wakitoa maoni hstusemi wanafupangia basi na sisi tukitoa maoni msiseme tunawapangia wao.
 
Kwa hiyo source ya yanayoendelea hapa nchini ni Mange?
Hiyo unahitimisha wewe kwa mujibu wa ulivyoelewa.

Nilichosema kwenye Uzi wamgu kiko wazi kabisa kwamba Mange nayeye pia hana huruma na ihai wa watanzania.

Kama kila mmoja anajua njia unayokwenda ina simba ansyeuwa alafu anatokea mtu mmoja(mange) anakuambia wewe nenda tu maana kuna watu wana silaha watawalinda dhidi ya simba hao(jeshi) alafu kumbe hao watu hawapo..

Kuna upande wa simbs muuwaji na upande wa anayeshawishi upite njia ya simba.

Je mtu huyu mshawishi anakutakia mema na uhai wako? Jibu unalo mwenyewe.
 
IMG-20251125-WA0025.jpg
 
Sasa swali la msingi ulifanyika uchambuzi huo kwa vijana walio wengi?
Kska ni kweli vijana wengi hawakufanya uchambuzi yakinifu,na tunasikia sana kwamba watanzania wengi hatuns uwezo wa kufanya uchambuzi yskinifu.

So naamini kabisa wale walioandamana hawakufanya upembuzi yakinifu ksma ilivyokuwa kawaida ya watanzania japokuwa hiyo haihalalishi wao kuuwawa kama hawakuwa.

au ndiyo ilikuwa mob psychology, wakaamua kufata mkumbo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako.🙏
Hiki ndicho kiliwaponza watanzania wengi,wanashindwa kupima maslahi na maafa waangalie wapi pabaya.

Kuandamana kwao ni kufuata mkumbo ndio maana maandamsno yale yalikuwa contagious kwa kusikia mkoa fulani kimenuka na sisi tukianzishe
.
 
1.kudanganya jeshi lipo nyums ya raia wakati yeye sio msemaji wa jeshi.
Huoni kama hii ni kauli ya kipuuuzi na mange lazima alaumiwe?

Nashangaa kwa nini Waandamanaji hawajamuhoji Mange hilo swala mpaka sasa wakati aliaminisha Umma kuwa Jeshi na polisi hawatakuwa na serikali linasubiri Raia watoke wafanye yao .
 
Sio kweli.

Kuna haki zipo na kuna haki zinadaiwa,haki zinazodaiwa zisikufanye uzikanushe haki unazozipata.
Raisi ateua tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo huyo anagombea uraisi tume iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi......
 
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
 
Attachments

  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB
Kati ya watu mashetani ni hako kadada

Hilo la kujificha kwenye gari kwenye maandamano ya Washington hata mimi nilijiuliza sana kwamba kumbe hata yeye pia anaogopa kuumia sasa mbona anawashawishi watoto wa wenzao nao wakaumie?

Ile siku ya maandamano sio Sativa,Hilda wala Maria waliopost video au picha kuwa wako barabarani lakini wao ndo wako mstari wa mbele kushawishi vijana wa kiTanzania wakauliwe

Wote tunahitaji mabadiliko lakini tujiulize kwanini hawa wanaharakati uchwara wanang'ang'ania tu njia ya maandamano yasiyo ya amani wakati kuna njia njia nyingi ya kusuluhisha haya mambo ikiwemo ya maridhiano tena hiki ndiyo kipindi kizuri na serikali washakiri kuwa wamekosea

Mange anawalipa hadi wanaomletea hizo taarifa zake na kasitisha huduma zake za kuuza umbea kupitia Mange kimambi app iliyokuwa inampa pesa nyingi kama anavyodai mwenyewe

So sio mjinga huyo ANALIPWA ili kuleta machafuko

Inaniuma kiseng* ndugu zetu walivyouwawa kinyama halafu kuna watu hata hawajali wanawarudisha tena barabarani watu wakauliwe tena huku wao wamejificha kusipojulikana na wakijitetea eti wao viongozi hawawezi kuwa fronti pumba kabisa
 
Kwa hiyo Mange ana akili kubwa kuliko serikali kiasi kwamba ilidanganyika ikaamua kuua watu wake?
 
Hata mimi sioni usahihi wa hilo mkuu, ila wao wasipokuwa sahihi haina maana na sisi tufanye yasiyokuwa sahihi hasa hasa kama hayo yasiyokuwa sahihi hayawezi kuleta mwisho mzuri.

Hili ndilo viongozi wanatakiwa wafanye, nimeona juzi Raisi amesema atasikiliza vijana wanadai haki gani, huwenda ni katika kuelekea kueasikiliza.

Na mimi najiuliza kama wewe sijapata majibu.

Nakubaliana na wewe mkuu moja kwa moja,ila kwa upande wa waandamanaji kuna mistake walifanya ambazo sisemi kama zilihalalisha wao kuuliwa hapana.

Hizo mistake ndio nazizungumzia mimi haoana mkuu, haina maana kwamba nakubali vifo vile hapana.

Naam nakubslisna na wewe, ni vyema tukasikilizana ili kuondoka kwenye hsya majanga.

Ila kupanga maandamano ambayo hayana polisi lazima vurugu zitokee kwa sababu kuna wahalifu wengi watapitia huo mlango.

Hata kama Raia wataona polisi wamekataa watu kuandamana basi raia wasithubutu kuandamana bila polisi kwa sababu ya usalama wao waa ndamanai fhidi ya wahalifu wanaojificha humo
Sasa ipo hivi ni mara chache sana hutokea kwa maandamano kufanyika huku kukiwa na support ya Serikali na Vyombo vya usalama kwasababu wananchi wanachukulia mihimili hiyo kama watuhumiwa wa mambo kutokwenda sawa,.. yaani makundi ya waandamanaji huwa wanafikisha ujumbe kwenda kwa Serikali,. ukizingatia na vyombo vya usalama vipo chini ya serikali sasa sio rahisi kwa serikali zetu hizi kutoa amri kwa Vyombo vya usalama viruhusu na visimamie maandamano kufanyika,.. na ndiyo maana maandamano mengi duniani huwa yanafanyika bila ruhusa kutoka kwa wenye mamlaka.

Wewe unavyoona inawezekana Serikali kuunga mkono maandamano😅?
Hata kama Raia wataona polisi wamekataa watu kuandamana basi raia wasithubutu kuandamana bila polisi kwa sababu ya usalama wao waa ndamanai fhidi ya wahalifu wanaojificha humo
Hapa nilivyokuelewa ni kwamba kwa kuwa raia hawana nguvu za kupambana na polisi au vyombo vya usalama kwa ujumla ni bora wakubaliane na mambo yalivyo ili wawe salama,. si ndiyo? kwamba lolote litakalotokea watu wakae kimya ili wawe salama,..
Kukaa kimya ni wazo zuri katika mazingira fulani, lakini uhalisia ni kwamba katika jamii yenye zaidi ya watu milioni 60, si wote wana uvumilivu sawa. Wapo watu watakaonyamaza, lakini wapo pia ambao wakiona mambo hayaendi sawa, wanachukua hatua au kutoa sauti.

Viongozi wanatakiwa kuelewa saikolojia hii ya kibinadamu. Watu wawili ukiwalaza chini na kuwakanyaga, mmoja anaweza kulia kimya kimya kwa uchungu, lakini mwingine atahangaika kutafuta namna ya kujinasua.

...........................Mimi kwa mtazamo wangu Serikali isitumie sana nguvu kudhibiti watu waangalie madai ya hao watu kama yanatatulika,. naamini wakiweza kutatua hata kwa asilimia 70% utulivu utarudi tu,..
 
Kwa kutumia lugha ya kigeni, " If you can't use your brain properly, others will use your brain for their own benefits". Kwahiyo Dada wa Marekani ameona fursa ya kutokutumia akili vizuri kwa vijana wengi wa Tanzania, ameamua kutumia akili zao kwa faida anayoiona yeye na wenzie. Kabla hujafanya jambo lolote unatakiwa kufanya uchambuzi yakinifu kwa kuangalia faida na hasara, ukiona faida ni kubwa kuliko hasara nenda nalo ikiwa kinyume chake achana nalo. Sasa swali la msingi ulifanyika uchambuzi huo kwa vijana walio wengi? au ndiyo ilikuwa mob psychology, wakaamua kufata mkumbo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako.🙏
Hata kipindi ukoloni umeenea Afrika watu wangefikiria faida na hasara za kupinga mambo waliyokua wanafanyiwa huenda wasingekubali wafe ili tu uhuru upatikane,... ndiyo maana narudia Binadamu ni kiumbe ambae ili umuongoze vizuri hakikisha unajiimarisha kiakili na si kutumia nguvu nyiingi maana kuna muda watu huona uhai hauna thamani iwapo mambo ambayo hawakubaliani nayo yanaendelea kufanyika...

Na kwa kuongezea sidhani kama mambo yakiwa sawa kuna Mtu atakuwa na nguvu ya kushawishi wengine waandamane,.. ukiona watu wameshawishika ujue kuna sababu,.. wewe kama kiongozi hutakiwi kuwaambia watu "usimsikilize yule" bali inatakiwa uondoe sababu ambayo itafanya watu wamsikilize mhamasishaji.......... Nakupa mfano mdogo tu Jiulize hivi Tanzania vyombo vya habari vinabanwa ama la? na kama vinabanwa je huoni kama ipo siku mbele huko wanaweza kushindwa kuvumilia wata react? Je, waki react kudai uhuru wa kufanya kazi utawashangaa? utawalaumu?
 
Mwaka 2001 mauwaji ya pemba kiomgozi gani alisikia?
Tofauti ni kwamba zama hizi teknolojia imekua, ukifanya kama kilichofanyika 2001 Dunia itajua kwa haraka na kwa ukubwa kiasi ambacho watu watakukalia kooni hata ladha ya uongozi unaweza usiione,.. utashindwa kulala chini ya Mti kwa amani bila khofu kama Umar Bin Khatwab...
 
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.

Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?

Gwajima
alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.

Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?

Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?

Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?

Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.

Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
bado HUJASEMA, tulia kwanza ICC waanze kazi yao!
 
Kwa hiyo aliye na huruma ni anayeua? Kwani Mange kawashikisha bunduki hao polisi na wanajeshi?
 
Back
Top Bottom