ww ndo unatoa uraia wa watu?aTaandamanaje wakat yeye siyo mtanzania
ww ndo unatoa uraia wa watu?aTaandamanaje wakat yeye siyo mtanzania
unamaanisha tunaongozwa na vichaa ? ndio maana unaona wao sahihi kumpiga mtu risasi ila sio sahihi kwa Mange kukemea maovu ya watumishi wa umma ?Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
ww ni shogah mtupu , haya yanayoendelea Tz ni ya kukalia kimya ? au ww ni miongon mwa wauaji na wafujaji wa mali za nchiKwa hiyo wale waliouwawa kwako. Wewe u ni sawa kwa sababu ni mchakato wa kutafuta mabadiliko.
Kama ni sawa maana yake sisi tunaopiga kelele kuhusu mauwaji hatujui kama ule ulikuwa ni mchakato wa kuyaendea mabadiliko.
Kama wewe unaona hivyo maana yake pia unaona ni sawa watu waliokufa
Hakuna sehemu nimeona sahihi mtu kuuwawa,unaweza ukatulia vyema na kujaribu kuelewa msingi wa hoja yangu..ndio maana unaona wao sahihi kumpiga mtu risasi
Je, asipowashawishi.... yale ambayo jamii inaona hayaendi sawa yataisha au yataendelea kufanyika? Na kama yataendelea kufanyika njia gani isiyo na madhara unashauri itumike kuondoa changamoto zilizopo ili kila mmoja aishi kwa amani na haki za msingi?Swali langu..
Hoja ni kwa nini mange kimambi anawashawishi watu wakaandamane huku akijua watapata madhara?
HIlo swali ungeuliza serikali. Kwa nini wanatumia silaha za moto?Nimekuelewa na nakubaliana na wewe kwenye hilo.
Serikali tumeishauri na tumeikosoa ila na mange naye tunamshauri na tuna haki ya kumkosoa
Swali langu ni lile lile..
Hoja ni kwa nini mange kimambi anawashawishi watu wakaandamane huku akijua watapata madhara?
kipaombele chako ni watu wakae ndan wauluwe kama kuku , watekwe kama nyumbu na wafirw km ndo fantasy yaoHakuna sehemu nimeona sahihi mtu kuuwawa,unaweza ukatulia vyema na kujaribu kuelewa msingi wa hoja yangu..
Mangs kimambi sio mtume, kama ambavyo haikuwa sahihi kuuwa watu, na yeye haikuwa sahihi kuwashawishi watu waingie mfomo wa mambo huku akijua hilo...
Swali langu..
Hoja ni kwa nini mange kimambi anawashawishi watu wakaandamane huku akijua watapata madhara?
Sawa mange akemewe, Je watawala wasishauriwe kuacha utekaji na mauwaji halaiki ya raia?Mange ndio aliyewahamasisha wananchi wakimbilie kwa watu waliopewa order ya shoot to kill...
Waliouwa hawakuwa sahihi, je na mange ambaye aliwaelekeza watu kwenye njia ambayo kuna simba anayeuwa pia hakuwa sahihi ns yeye inabidi akemewe ili suala hili lisijirudie
Sio kweli.
Kuna haki zipo na kuna haki zinadaiwa,haki zinazodaiwa zisikufanye uzikanushe haki unazozipata.
Kwahiyo tatizo kubwa lipo upande upi? Mange? raia? Au watawala?Lazima nao washauriwe mkuu.
Hao huwezi kuwaacha kwa sababu ni upande mmoja unaosababisha tatizo kwa % kubwa